Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Salaamu,

Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.

Je aitoe mimba ama aendelee nayo?

Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?

Wana JF nahitaji ushauri
 
Salaamu
Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa.
Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushaur toka kwangu,je aitoe mimba ama aendelee nayo?
Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?
Wana jf nahitaji ushaur
Tena tena ikibidi Mpige na picha Umpelekee mkeo umwambie rafiki yake ni Mjamzito na na anaomba umsaidie kutafuta jina la Mtoto kwani ni mimba yako...ulisahau kutumia condomu....Atafurahi sana sana Mkuu atakuchagulia jina Zuri sana la Mtoto
 
Subiri boyfriend wake akirudi ndio ngoma itanoga, maana jamaa akifamu yaliyojiri, atamfuata mkeo kumpa full story, na wao watafanyana ili ngoma iwe drooo!!!! Patamu hapo. Uliyataka mwenyewe... Kweli unabii wa mkeo umetimia...
 
Huyo mtt hana kosa,na hautakiwi atoe hiyo mimba ,Mung amekuonuesha kuwa ukimkomoa mkeo naye atakukomoa,achen michepuko matokeo yake ni haya....

>Umeua uhusiano wa dda wawatu na boyfriend wake

>Umeongeza bajet kwenye familia yako

>Umeua ndoa yako mwwnyewe

>Umesababisha kuwaweka watt katk hatar ya kuwa wa mitaan

>Umekaribisha magonjwa kama ulsers pressure

>Umepunguza sku za kuish maana kwa stress hiyo hutokaa utabasam kamwe,na.uspotabasam unapunguza mda wa kuish dunian

Hilo ni kusud la Mungu sasa wew kamshaur atoe hiyo mimba uone utaish maisha ya kula funza

>
 
Salaamu,

Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.

Je aitoe mimba ama aendelee nayo?

Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?

Wana JF nahitaji ushauri
Adui mkubwa wa mkeo ni wewe ulie chepuka

Pambana na janga
 
Salaamu,

Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.

Je aitoe mimba ama aendelee nayo?

Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?

Wana JF nahitaji ushauri
Mwache awe SINGO MAZA !!.

Akili kichwani... Ila umuhudumie sawasawa .
 
Saa nyingine wanawake uwa tunasababisha mambo ambayo hayakuepo ,pale unapo mzushia kitu inauma sana najua ilikuuma na huyo dada ilimuuma mpaka mkafikia kufanya hicho kitendo,mlicho kibugi ni kutokwenda vema na karenda ,sasa huyo dada nae mjinga kama alijua ana mtu kulikuwa hakuna sababu ya kujiachia kiasi hicho ,dada ana makosa nae hana msimamo,chakufanya mimba hasitoe azae alee mana kuuwa nako dhambi ila chanzo kikubwa ni sisi akina mama kuzua ugomvi kana kwamba mwanaume ulitoka nae tumbo moja tusiwe tunabeba mambo ya kuwaumiza wenzetu mioyo yao pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom