Kijana wetu anataka ushauri wa mahusiano

HONEST HATIBU

Member
Aug 19, 2020
23
48
KIJANA WETU ANATAKA USHAURI

Read Carefully
🦠Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa nikihudumia kwakua kipato kilikua cha shida, lakini sikumpa talaka kwani sisi wote ni waislamu. Kwa miaka kama tisa hivi nilikua sijakanyaga nyumbani nilianzisha familia nyingine nikawa naishi na huyo dada, sikuhudumia si kwakua sikutaka bali kwakua sikua na kazi.

🦠Mwaka jana huyo mwanamke niliyekua nikiishi naye alimua kuniacha, aliondoka na kwenda kuishi na mwanaume mwingine. Aliniacha kwa dharau na matusi nikaona kwakua hatukufunga ndoa basi niondoke, aliondoka na wanangu wawili na mpaka sas ahataki hata nihudumie watoto. Kwanza niliona aibu kurudi nyumbani lakini baada ya kuongea na marafiki zangu walinishauri nirudi kulea familia. Mimi kwetu ni shinyanga na huyo mwanamke niliyekua naishi naye alikua akiishi Mwanza.

🦠Nilirudi nyumbani lakini cha ajabu niliambiwa kuwa mke wangu alikua kaondoka mua mrefu kaondoka na watoto wangu. Roho iliniuma sana, kwani alikata mawasiliano kabisa na ndugu zangu na walikua hawajui kama yuko wapi? niliamua kwenda mpaka kwao, Moshi Kilimanjaro, mke wangu yeye ni mpare, nilienda na kuongea na ndugu zake, kwanza walinishangaa na kuniambia kuwa mke wangu alirudi nyumbani na kuwaambia kuwa nimempa talaka, alianza maisha na sasa anishi Dar anafanya kazi.

🦠Baada ya kuondoka kwetu nilipokua nimemuacha alirudi akawaacha watoto nyumbani kwao akaenda kusoma chuo kwani wakati nilimuoa alikua na Diploma. Alimaliza Digrii na sasa hivi anafanya kazi kwenye benki moja ni mtu mkubwa tu. Niliamua kwenda dar kumtafuta, niliwaambia ndugu zake ninachotaka mimi ni kuwaona watoto wangu basi. Nilienda nikamfuata ofisini, alinipokea vizuri tu na kuniruhusu kuwaona watoto lakini hakuruhusi niende kwake. Tatizo nikuwa mimi nimejirudi, nataka kurudiana na mke wangu lakini yeye alikua hataki.

🦠Amefunga ndoa na mwanaume mwingine wakati mimi bado nilikua sijampa talaka, nimeuambia hata anipe mtaji ili nimuache nimpe talaka lakini hataki hata kunisikia. Naomba kuuliza hivi sina haki zozote kwa mke wangu? Je mimi sitambuliki kama mume halali wakati sikumpa talaka?

🦠 Kwisha 🦠
 
Hahah mkuu unapotezea kipaji chako huku jf Comedy nowdays ni hela tu
 
"nimeuambia hata anipe mtaji ili nimuache nimpe talaka lakini hataki hata kunisikia".

Una ujasiri sana aisee.
Miaka 9 bila umeoa mke mwingine,bila kutuma chochote wala mawasiliano then umerudi unataka upewe mtaji na mke uliyemtelekezea watoto!!.
 
KIJANA WETU ANATAKA USHAURI

Read Carefully
🦠Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa nikihudumia kwakua kipato kilikua cha shida, lakini sikumpa talaka kwani sisi wote ni waislamu. Kwa miaka kama tisa hivi nilikua sijakanyaga nyumbani nilianzisha familia nyingine nikawa naishi na huyo dada, sikuhudumia si kwakua sikutaka bali kwakua sikua na kazi.

🦠Mwaka jana huyo mwanamke niliyekua nikiishi naye alimua kuniacha, aliondoka na kwenda kuishi na mwanaume mwingine. Aliniacha kwa dharau na matusi nikaona kwakua hatukufunga ndoa basi niondoke, aliondoka na wanangu wawili na mpaka sas ahataki hata nihudumie watoto. Kwanza niliona aibu kurudi nyumbani lakini baada ya kuongea na marafiki zangu walinishauri nirudi kulea familia. Mimi kwetu ni shinyanga na huyo mwanamke niliyekua naishi naye alikua akiishi Mwanza.

🦠Nilirudi nyumbani lakini cha ajabu niliambiwa kuwa mke wangu alikua kaondoka mua mrefu kaondoka na watoto wangu. Roho iliniuma sana, kwani alikata mawasiliano kabisa na ndugu zangu na walikua hawajui kama yuko wapi? niliamua kwenda mpaka kwao, Moshi Kilimanjaro, mke wangu yeye ni mpare, nilienda na kuongea na ndugu zake, kwanza walinishangaa na kuniambia kuwa mke wangu alirudi nyumbani na kuwaambia kuwa nimempa talaka, alianza maisha na sasa anishi Dar anafanya kazi.

🦠Baada ya kuondoka kwetu nilipokua nimemuacha alirudi akawaacha watoto nyumbani kwao akaenda kusoma chuo kwani wakati nilimuoa alikua na Diploma. Alimaliza Digrii na sasa hivi anafanya kazi kwenye benki moja ni mtu mkubwa tu. Niliamua kwenda dar kumtafuta, niliwaambia ndugu zake ninachotaka mimi ni kuwaona watoto wangu basi. Nilienda nikamfuata ofisini, alinipokea vizuri tu na kuniruhusu kuwaona watoto lakini hakuruhusi niende kwake. Tatizo nikuwa mimi nimejirudi, nataka kurudiana na mke wangu lakini yeye alikua hataki.

🦠Amefunga ndoa na mwanaume mwingine wakati mimi bado nilikua sijampa talaka, nimeuambia hata anipe mtaji ili nimuache nimpe talaka lakini hataki hata kunisikia. Naomba kuuliza hivi sina haki zozote kwa mke wangu? Je mimi sitambuliki kama mume halali wakati sikumpa talaka?

🦠 Kwisha 🦠
Kumbe kuna mpaka makahaba wa kiume?

Halafu ujana mwisho ni miaka 35 kwa mujibu wa UN.
 
😂😂kama hauna mawasiliano na mkeo 3 months km sikosei mkeo akitoa malallamiko anahaki ya kupewa talak na bakwata Yani bila shida sembuse miaka hapo akitaka talaka anapewa na baraza hata wewe usipotaka

Kwanza hii ni chai 😀😀
 
Back
Top Bottom