Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

Saa nyingine wanawake uwa tunasababisha mambo ambayo hayakuepo ,pale unapo mzushia kitu inauma sana najua ilikuuma na huyo dada ilimuuma mpaka mkafikia kufanya hicho kitendo,mlicho kibugi ni kutokwenda vema na karenda ,sasa huyo dada nae mjinga kama alijua ana mtu kulikuwa hakuna sababu ya kujiachia kiasi hicho ,dada ana makosa nae hana msimamo,chakufanya mimba hasitoe azae alee mana kuuwa nako dhambi ila chanzo kikubwa ni sisi akina mama kuzua ugomvi kana kwamba mwanaume ulitoka nae tumbo moja tusiwe tunabeba mambo ya kuwaumiza wenzetu mioyo yao pole sana.
Umeongea ukweli mtupu ndugu. Maana ilifika mpaka mke kunishtaki kwa wazazi wangu. Nilikalishwa kikao na familia na kuonywa sana. Niliumia mno maana ni uzushi wa mchana kweupe
Kabla hapo tayar wife alishamfuata dada wa watu na kugomvana nae na kumpiga.
Niliumizwa sana sana
 
Hivi wale walookunywa gongo kule kimara, kuna wengine walipona?maana hizi post zingine mhh.
 
Mwanaume uliekamilika utamshaurije mwanamke atoe mimba uliyompa.pambana na majukumu ya malezi tu.
 
Wanaume bwana kwani mangapi unasemewa na yote umeenda kuyafanya ili iwe ushahidi? Ishini na wake zenu kwa akili
 
Ungeomba ushauri kabla hamjafanya ingekuwa vizuri.
Any way;
Mlifanya pasi na kufikiri sawia,basi na muamue pasi na kufikiri sawia.
Matokeo mtayabeba wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom