Nimemkuta yu mjamzito!

Mwanaume akizaa nje ya ndoa inakuwaje hapo?ila mwanamke ndo hasameheki?

Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya kitu gani?
sijui kwa sasa
ila kwa mudsa huo nmaaamuzi yatakuja...................

NN hawa wanajisemea tuu ila sidhani kama atakuwa na la kujieleza.
Kama huko nje nilichakachua ila sijaleta kiumbe bana yeye inakuwaje achakachue mpaka abebe na mimba
Aende huko huko alikojanzwa huo ujauzito wake

Mhhh kubakwa mhhh sijui kama nitaamini hiyo story
Kuna kesi ilifunguliwa
Je ndugu zangu wana taarifa
Je mbakaji walikutana wapi mpaka afikie kumbaka

Mr. Rocky, hili suala kwangu halina mjadala kabisa. Najua kila mtu ana namna yake ya kukabiliana na changamoto mbalimbali na watu tumetofautiana viwango vya uvumilivu lakini kwenye hili hapana. Kwangu halikubaliki hata chembe.

Sasa kwa vile watu tumetofautiana, sitashangaa wakiwepo wanaume ambao wanaweza kusamehe. Mimi kuna jamaa namjua alimfumania mkewe akifanya mapenzi na mwanaume mwingine na akamsamehe. Binafsi siwezi lakini jamaa aliweza kusamehe.

Mwisho wa siku haya mambo hutegemea na mtu na mtu. Wapo wanaoweza kusamehe na sisi tusioweza kusamehe pia tupo.

Mwanaume akizaa nje ya ndoa inakuwaje hapo?ila mwanamke ndo hasameheki?

Mwanaume nikizaa nje ya ndoa nitajitetea kwamba nataka kumuoa awe mke wa pili.Sasa wewe mwanamke utajiteteaje!!!!!!!!!!!!!!!???????????

nitachunguza kama kuna ukweli.

Hiyo ya kubakwa na kupata mimba ni very unlikely. Licha ya hivyo, wewe ni mke wa mtu na supposedly eti umebakwa. Sasa kwa nini unaihifadhi hiyo mimba?

Ni mtu mzima wewe. Unapobakwa unajua nini cha kufanya. Kuna morning after pills ambazo ungeweza kutumia lakini ukaamua vinginevyo. Hata kama ni kweli ulibakwa bado nadhani utakuwa na wakati mgumu sana wa kuaminika. Binafsi sitakuamini.

Msamehe tu,kwani wewe huko hukumega?tofauti tu ni kwamba yeye kapata mimba.Msamehe msonge mbele
anaweza kusamehe lakini vipi kuhusu mtoto wa nje?

KUngono ni tofauti sana na kupata mimba nje ya ndoa

Mhhh kubakwa mhhh sijui kama nitaamini hiyo story

Kuna kesi ilifunguliwa

Je ndugu zangu wana taarifa

Je mbakaji walikutana wapi mpaka afikie kumbaka

vitu kama hvyo ndio vitakuwa uthibitisho. Kuna mdada alibakwa (sikuridhika na mazingira aliyonisimulia). Alikuwa anaomba ushauri kama amuelezee mchumba ake au avunje tu uhusiano bila kumwambia chochote. Nilimshauri amwelezee. Huwezi amini jamaa alisamehe na akamwambia yule binti ndugu zake(mwanaume) wakimuuliza aseme ni ya ndugu yao asiseme kama alibakwa. Sahv wanalea mimba.

Mwanaume nikizaa nje ya ndoa nitajitetea kwamba nataka kumuoa awe mke wa pili.Sasa wewe mwanamke utajiteteaje!!!!!!!!!!!!!!!???????????

Mimi pia nataka kuolewa nae awe mme wa pili.

Hiyo ya kubakwa na kupata mimba ni very unlikely. Licha ya hivyo, wewe ni mke wa mtu na supposedly eti umebakwa. Sasa kwa nini unaihifadhi hiyo mimba?

Ni mtu mzima wewe. Unapobakwa unajua nini cha kufanya. Kuna morning after pills ambazo ungeweza kutumia lakini ukaamua vinginevyo. Hata kama ni kweli ulibakwa bado nadhani utakuwa na wakati mgumu sana wa kuaminika. Binafsi sitakuamini.

kwahiyo unataka niue kiumbe? Mambo yashaharibika na kwa vyovyote wewe ndio utabaki kuwa mwamuzi mimi nitaomba huruma yako tu.
Ikitokea hvyo mwanamke anakuwa kashajipanga nyani. Anajua kabisa lolote laweza tokea. Ila wanaume msikimbilie kuacha kisa umemkuta na mimba. Mi naamini kosa kubwa kama hilo ukimsamehe sidhani kama atakuja kukukosea tena.

kwahiyo unataka niue kiumbe? Mambo yashaharibika na kwa vyovyote wewe ndio utabaki kuwa mwamuzi mimi nitaomba huruma yako tu.

Ukiamua kulea mimba ya mbakaji wako mimi siwezi kuishi na wewe tena kama mume na mke. Nitakuacha niendelee na maisha yangu.

Ikitokea hvyo mwanamke anakuwa kashajipanga nyani. Anajua kabisa lolote laweza tokea.

Ooh kama ni hivyo basi mbona atakuwa karahisisha kazi. Nitakachofanya ni kusepa na kusonga mbele na maisha yangu. Yeye hanipi uhai wangu. Nilikuwepo kabla yake na nitakuwepo baada yake.

Ila wanaume msikimbilie kuacha kisa umemkuta na mimba. Mi naamini kosa kubwa kama hilo ukimsamehe sidhani kama atakuja kukukosea tena.

Hudhani kama atakuja kukukosea tena? Kama hakushindwa kujizuia kukosea mara ya kwanza ni nini kitakachomfanya asikosee safari zijazo? Na kwenye kuchiti hakuna cha eti ulikosea mara moja maana hilo tendo la ngono ukiondoa kubakwa huwaga ni la kupangwa.

Kuna mchakato mzima unaolitangulia. Kuna kupapasana, kuna kuvua au kuvuana nguo, kuna kujiweka sawa katika mtindo mtakaotumia na kadhalika na kadhalika. Sasa hilo mtu unaweza ukaliita ni kosa la bahati mbaya? Abadani asilani, hilo ni kosa la kupangwa.

Ila mwisho wa siku, kilicho muhimu na cha msingi ni uamuzi wa mtu husika. Kama mtu akiamua kumsamehe mwenzake baada ya kutendwa hivyo basi huo ni uamuzi wake na ana haki ya kuamua alivyoamua. Binafsi siwezi kusamehe. Nitakuacha papo hapo pasipo hata na majadiliano. Wanawake wako wengi mno kuendelea kung'ang'ania kubakia na wewe kama vile sina options zingine maishani.

Ukiamua kulea mimba ya mbakaji wako mimi siwezi kuishi na wewe tena kama mume na mke. Nitakuacha niendelee na maisha yangu.

Ooh kama ni hivyo basi mbona atakuwa karahisisha kazi. Nitakachofanya ni kusepa na kusonga mbele na maisha yangu. Yeye hanipi uhai wangu. Nilikuwepo kabla yake na nitakuwepo baada yake.

Hudhani kama atakuja kukukosea tena? Kama hakushindwa kujizuia kukosea mara ya kwanza ni nini kitakachomfanya asikosee safari zijazo? Na kwenye kuchiti hakuna cha eti ulikosea mara moja maana hilo tendo la ngono ukiondoa kubakwa huwaga ni la kupangwa.

Kuna mchakato mzima unaolitangulia. Kuna kupapasana, kuna kuvua au kuvuana nguo, kuna kujiweka sawa katika mtindo mtakaotumia na kadhalika na kadhalika. Sasa hilo mtu unaweza ukaliita ni kosa la bahati mbaya? Abadani asilani, hilo ni kosa la kupangwa.

Ila mwisho wa siku, kilicho muhimu na cha msingi ni uamuzi wa mtu husika. Kama mtu akiamua kumsamehe mwenzake baada ya kutendwa hivyo basi huo ni uamuzi wake na ana haki ya kuamua alivyoamua. Binafsi siwezi kusamehe. Nitakuacha papo hapo pasipo hata na majadiliano. Wanawake wako wengi mno kuendelea kung'ang'ania kubakia na wewe kama vile sina options zingine maishani.

YAni NYANI unavyoandika hizi message zazko kwa hisia hata sielewi hiyo siku ,mungu epushia mambo yawe salama kwako maana lol...una hasira

Back
Top Bottom