Nimekuta mbao za matangazo udsm

Inji ya wapenda starehe na anasa!! Nguvu inayotumika kujistarahisha ingetumika kuistawisha nchi tungekuwa mbali sana.

Yaani karibu kila mtz ukitumia dk 5 kumchunguza utagundua yupo mbioni kubomoa nchi kwa namna moja au nyingine..lol
 
wapi Mzee wa Punch?
Nani kamuua?
Where is his generation?
Yule ndo alikuwa great thinker wa ukweli ukweli, wengine wote wazugaji tu.

The old good days of Mzee Punch. Kitu ambacho alikuwa ananiacha hoi ni kubandika writings zake juu ya cafteria juu kabisa tena usiku ambapo watu wamelala.
 
Sometimes tunailaumu serikali kwa kuwanyima mikopo wanafunzi, huenda sababu zenyewe ikawa ni hizi 'Attention'. Huyu huenda kapewa mkopo ambao hakustahili, angekuwa hajapewa angeweka ujumbe wa kudai mkopo, si malavidavi. Ni mtazamo tu
 
Kaweka na namba!
Ajitolee demu kumpigia then atupe feedback kama jamaa yuko serious au anatania
Iyo comment ya domo zege imenifurahisha atakuwa engineer uyu full kitabu kama katumwa na kijiji sasa amebanwa ili apunguze uzito
 
ubunifu silazima kutengeneza ndege hata kutafuta laazizi wako...
 
dah!!hawaa wasomii wenginee tabu kwelii,kwelii huyu atakuwaa na wazo endelevuu kwa jamiii.boraa mkopo wake wangesaidiwaa watoto wa somalia wanao kufaa kwa njaaa
 
Sometimes tunailaumu serikali kwa kuwanyima mikopo wanafunzi, huenda sababu zenyewe ikawa ni hizi 'Attention'. Huyu huenda kapewa mkopo ambao hakustahili, angekuwa hajapewa angeweka ujumbe wa kudai mkopo, si malavidavi. Ni mtazamo tu

I think this is just for fun. Jamaa kasoma mambo hayakupanda akaona asipoteze muda awafurahishe wenzie angalia saa anayooandi 2300HRS - 2400HRS. Naona tunakurupuka na kumlaumu bure na pia ku-conclude kuwa ni useless. Waweza kukuta ni "Kipanga " wa kufa mtu. Ni MTIZAMO TU!
 
Huyu si bangi na wala si pombe, sijui alipataje kudahiliwa hapo? nimeshangaa kwakweli. Hivi kuna mdada anaweza akampigia simu eeh? siku wakiachana au wakila tunda ataandika tena akaweke kwenye notice board yao! Pumbavu zake
 
Bola jamaa kwa mkweli kuliko kuchafua mashuka kila siku.Natumaini atafanikiwa kwa kuwa wapo pia wakinadada wenye shida kama yeye
 
Huyo mwanafunzi kapata mkopo kweli? Kama amepata ufanyike utaratibu wa kumnyang'anya hela inayotokana na kodi zetu kwani kuna kila dalili atakuja kuwa USELESS kwa taifa hapo baadaye. Wenzie wanataka katiba mpya, kuwawekea dhamana wenzao walio sero, yeye anashugulikia malavidavi. Ashukuru kitufe cha kubonyeza DISCO kimeibiwa na Kawambwa.

Huyu mwanafunzi lazima atakuwa anatoka kwenye familia za mafisadi ambaye kwake elimu kwa ajili ya kujipatia maendeleo yake yeye mwenyewe na taifa lake siyo priority tena. Yeye akili yake yote ipo kwenye kuponda mali ambazo wazazi wake wamejilimbikizia KWA KUHONGA MADEMU. Laana ya mwenyezi mungu ikae juu yake na janga kuu la ukimwi limwangukie kabla yajaleta hasara zaidi katika taifa
 
kwani tatizo lipo wapi!? Jamaa kaamua kueleza feeling zake public ambapo sioni ka ni tatizo, sidhani ka ana utofauti sana na wale wanaotafuta wachumba kupitia MAGAZETI, REDIO, FACEBOOK na hata Humu JF kuna Jamaa kaandika THREAD ya kutafuta DEMU....
 
Huyo mwanafunzi kapata mkopo kweli? Kama amepata ufanyike utaratibu wa kumnyang'anya hela inayotokana na kodi zetu kwani kuna kila dalili atakuja kuwa USELESS kwa taifa hapo baadaye. Wenzie wanataka katiba mpya, kuwawekea dhamana wenzao walio sero, yeye anashugulikia malavidavi. Ashukuru kitufe cha kubonyeza DISCO kimeibiwa na Kawambwa.
Kweli,user name yako imeniacha hoi.
 
kwani tatizo lipo wapi!? Jamaa kaamua kueleza feeling zake public ambapo sioni ka ni tatizo, sidhani ka ana utofauti sana na wale wanaotafuta wachumba kupitia MAGAZETI, REDIO, FACEBOOK na hata Humu JF kuna Jamaa kaandika THREAD ya kutafuta DEMU....
Wanamshangaa kwasababu jamaa kaamua kutafuta mchumba manually....
 
Back
Top Bottom