Hivi kumbe kuna wanaokuwa ndani ya mbao? Nimepata jibu sasa.I suffered the same issue, nilichokiona ni kuwa wale wadudu wako ndani kabisa na wamekuja na mbao, ni kama yule mdudu wa embe, ukisikia analia, ni amekuwa anatafuta way out.
Nimejaribu kupaka oil chafu, nasibiri nione
Yani wale unaosikia wakigegeda mbao, ni mdudu yuko ndani, anakula hadi akifika kwenye kutoboa ndo anatoka, ndo mana akishatoka shimo linakua empty.Hivi kumbe kuna wanaokuwa ndani ya mbao? Nimepata jibu sasa.
Asante sana mkuu. Sasa hapa hamna njia ya kuondokana na hii kero? Nikisikia mdudu analia nachukia sanaYani wale unaosikia wakigegeda mbao, ni mdudu yuko ndani, anakula hadi akifika kwenye kutoboa ndo anatoka, ndo mana akishatoka shimo linakua empty.
Mantiki ya dawa ya mbao ilikua ni mbao ilale kwenye dawa, iingie hadi ndani iue wale lavas, but wahuni wanachovya wanatoa.
Diesel unaipaka tu kwa juu siyo?Bila Diesel utatwanga maji kwenye kinu nilitumia dawa nyingi ila Diesel ndiyo ilimaliza mchezo na hiyo Diesel yenyewe kwa wale walio ndani kabisa haipenyi.
ukipaka haitopenya ndani vyema, binafsi nilitumia zile compressor ndogo za kusafishia gariDiesel unaipaka tu kwa juu siyo?
“Treated” bongo, kuna wanachovya na kuzotoa zisotimie dawa nyingi, kuna wanapa rangi zionekane zinadawa,Kwani zile mbao zinazouzwa treated dawa wanayotumia ni ipi?? Nadhani ukiipata hiyo inaweza kumaliza tatizo,
mtindue na patasiAsante sana mkuu. Sasa hapa hamna njia ya kuondokana na hii kero? Nikisikia mdudu analia nachukia sana
Mafundi watakukimbia hawapendi kupaua mbao za oil chafu“Treated” bongo, kuna wanachovya na kuzotoa zisotimie dawa nyingi, kuna wanapa rangi zionekane zinadawa,
Uhakika ni kabla hukapaua ziloweke kwenye oil chafu zilale humo,
Mafundi ni matozi wanaogopa kuchafukaMafundi watakukimbia hawapendi kupaua mbao za oil chafu
Basi wakalale kwao. Wanaleta ubitozi kwenye kazi.Mafundi watakukimbia hawapendi kupaua mbao za oil chafu
Nenda kawaone Nabaki Afrika. wanazo mbao zilizokuwa treated kwa uhakika.“Treated” bongo, kuna wanachovya na kuzotoa zisotimie dawa nyingi, kuna wanapa rangi zionekane zinadawa,
Uhakika ni kabla hukapaua ziloweke kwenye oil chafu zilale humo,
Mimi kwenye apartments zangu alikuja fundi na wenzie wawili. Akasema aaargh boss zina oil chafu hii sasa inakuwa ngumu itabidi uongeze pesa. Hakuna fundi anapiga mbao zikiwa hivi. Nikawaambia kesho wife atawapigia simu ye ndo atakuwepo.Mafundi ni matozi wanaogopa kuchafuka
Mimi kwenye apartments zangu alikuja fundi na wenzie wawili. Akasema aaargh boss zina oil chafu hii sasa inakuwa ngumu itabidi uongeze pesa. Hakuna fundi anapiga mbao zikiwa hivi. Nikawaambia kesho wife atawapigia simu ye ndo atakuwepo.Mafundi ni matozi wanaogopa kuchafuka