Nimekuta mbao za matangazo udsm

Watu kama hawa wakinyimwa mikopo wanalalamika. Wanaanza kuandamana.
 
huyo no bwabwa anatafuta njia ya kumrahisishia dume wa kwenda kumkaza tu, kwa wapenzi wa hiyo kitu haya, kazi kwenu, hakuna mambo ya sina bahati tena kwa hapo.
 
Binafsi sioni tatizo hapa, nashangaa watu mnavyo mshambulia. Jamaa kawa muwazi, kuwa na mwanamke/mwanamme sio mbaya na haijalishi umempataje so hana tofauti na ww ambaye ulitumia njia nyingine. Jamaa naamini yupo timamu na yupo qualified kupata mkopo. Nionavyo mimi.
 
haya sasa hao ni viongozi wetu wajao si vibaya kutafuta mpz lakini sikuona kama kuna ulaqzima wa yeye kubandika kitu kama hicho kwenye noticeboard
 
Back
Top Bottom