Nimechoka kusubiri ajira za walimu

pole sana kijana ila takwimu inaonyesha kuwa vijana wengi mlioamua kusomea ualimu mwanzo hamkuwa na nia ya kusomea ualimu....katika mambo ya imani kile kitu unawaza kukifanya kipindi upo mdogo ni kitu ambacho ulipangiwa kukifanya hivyo mtu kusomea kitu ambacho hukuwa na nia yake matokeo yake ndio haya unasoma ajira zinakuwa ngumu kupatika but pole sana kwa kusubiri utapata ajira muda si mrefu ila kikubwa muombe sana MUNGU ikiwezekana jifunze kutoa sadaka pia.
 
Miezi miwili n kama imeisha, cjui wanaajenda gan tena.
Lilitoka tamko kuwa ni siku 90.
Halafu hapa tatizo ni mfumo wa elimu yetu, unamuandaa kijana awetegemezi wa kuajiriwa tu. Mlio maliza ualimu mnazaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa je hicho kipindi chote umefanya lipi ilikukuingizia kipato kwa elimu na ujuzi ulio upata?
 
Acha kujishaua kaka...... Angalia nyuma yako, angalia ulikotoka.
 
kwa taarifa zilizopo chini ya kapeti mwaka huu serikali haitoa ajiri watumishi wapya mana bajeti iliyoandaliwa sasa itatumika kuhamisha serikali toka dsm kwenda idodomya.
 
walimu wataajiriwa nchi bado inauhitaji mkubwa sana n hasa wale w sayans n hisabati muwe wavumilivu t
 
Back
Top Bottom