Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

kajinyonge sasa hivi tena umechelewa,uzinzi wako ndo unatueleza hapa,wakati una mtaka huyo mtoto wa watu hukujua una msichana mwingine?na wakati unafanya hilo tendo hukujua matokeo yake?na mwisho wakati ukiwa naye hukujua anauwezo mdogo wa kuchambua mambo na uachane naye? hebu kajinyonge haraka huko!mtu mwenyewe karne hii unaenda peku!!
 
Lea mimba acha usharobaro bwana mdogo shida mnakimbilia mapenzi yasiyo salama halafu mnaanza kusumbua ushauri....Umegundua uwezo wa kufikiri baada ya kumpa mimba?
 
jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?

grow up..........na uache ujinga!!!!
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
<br />
<br />
hata ww uwezo wako wakufikiria ni mdogo. Unawezaje ku do bila kutumia dawa ya penzi.
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?

Bwana weye jina lako na visa vyako sawasawa, umejua uwezo wake wakofikiri mdogo lakini uwezo wake wakubinjuka kitandani ulikua mkubwa sio? na wewe kama smart ungetumia condom au kama kusoma hujui hata matangazo huyaoni? au unajua condom ni kwa ajili ya H.I.V peke yake?
usijitoe fahamu ukataka kukimbia majukumu yako alipo kuvuliachupi ulikua unausikilizia utamu wake na ulijua matoke yake ninini,kaa chini ujue utamtunza vipi huyo binti na ndio utatia akili,nilidhani utajiua una H.I.V kumbe umetia binti mimba Utajijuuuuuuuuuu....
 
jinyonge tule futari na daku kwenu. Tena kwa sisi wenye uwezo duni, ndo kwanza tutahamia msibani. Raha iiyoje...
 
Ungewaita wote wawili kisha uwaambie unajinyonga na sababu za kujinyonga, hao ndio watakupa jibu sahihi unalolitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom