Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?

Kweli wewe ni strit boy.....kama kweli unampenda huyo binti mwingine ungemfanyia hayo??? utapeli tu...:(
 
Mimi mzima wa afya namshangaa huyu jamaa kuna watu wanatafuta watoto mwaka wa 8 au 10 hawajahi kupata mtoto yeye anatuletea habari za kujinyonga sababu ya mimba yaani kama mtu una fimbo karibu unamchapa masaburi yake

umeona ee!!...Yaani watu kama hawa wanastahili bakora za uhakika......yaani wanaudhi kweli...!
 
fanya haraka nenda upesi kajinyonge, sasa mbona unachelewa????
 
Hujajinyonga tu? mi nishanunua ndizi kabisa ya kulia ubwabwa wako, masikio nimeyaweka wazi kusubiri taarifa ya kifo hapa pumbaf sana wewe
 
Sredi kama hili wakongwe kama sisi tukilichangia tunakosa thawabu mbinguni.

Ngoja nihamie jukwaa la Maria Roza nikaongeze ujuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom