Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Ningekuwa na bunduki wakati ule...i would have done something...thanks GOD sikua nayo na nikavuka salama....thanks Mr Rocky
tupe mrejesho Leah ushatupa kule
Last edited by a moderator:
Ningekuwa na bunduki wakati ule...i would have done something...thanks GOD sikua nayo na nikavuka salama....thanks Mr Rocky
Blaki Womani ,kwa kweli mkuu katika suala la mapenzi nimejifunza jambo moja...kama una tatizo la kuumizwa dont keep quiet...you have to shout..watu watakusaidia..watakupatia Counselling..hatimaye utaona ni mambo ya kawaida.......huwezi kuamini siku hizi Leah hata hayupo akilini kwangu ...namwona mtu wa kawaida sanaaaa....na hua najiona nilikua mjinga sana kuwa katika hali kama ile...Hua namshukuru sana Mungu na marafiki zangu hasa wa JF kunivusha katika wakati ule.....Nimetupa kule...Ana maisha yake nina maisha yangu...tuko mikoa tofauti,.....sijui anachokifanya.....hajui ninachokifanyatupe mrejesho Leah ushatupa kule
Ulipewa likizo ya mwez mzima kwenye probation..?? Duuhh
You played a significant part ndugu yangu....thanks
I didnt know that mkuu Freeland na naona topic ya muda sana
Thanx mkuu for the appreciation
Indeed long time...nimekumbuka ujinga wangu wa wakati ule ndio nikaukumbuka na uzi huu.....natamani hawa watu wanaofanya mauaji kwa ishu za mapenzi wangekuwa wanapata nafasi ya kuongea na watu kabla ya kuyafanya hayo
Blaki Womani ,kwa kweli mkuu katika suala la mapenzi nimejifunza jambo moja...kama una tatizo la kuumizwa dont keep quiet...you have to shout..watu watakusaidia..watakupatia Counselling..hatimaye utaona ni mambo ya kawaida.......huwezi kuamini siku hizi Leah hata hayupo akilini kwangu ...namwona mtu wa kawaida sanaaaa....na hua najiona nilikua mjinga sana kuwa katika hali kama ile...Hua namshukuru sana Mungu na marafiki zangu hasa wa JF kunivusha katika wakati ule.....Nimetupa kule...Ana maisha yake nina maisha yangu...tuko mikoa tofauti,.....sijui anachokifanya.....hajui ninachokifanya
Indeed long time...nimekumbuka ujinga wangu wa wakati ule ndio nikaukumbuka na uzi huu.....natamani hawa watu wanaofanya mauaji kwa ishu za mapenzi wangekuwa wanapata nafasi ya kuongea na watu kabla ya kuyafanya hayo
unapovumilia machungu yanahamasisha hasira na kichaa unapopata watu wenye ushauri mzuri unaona kama umetua zigo na kuwapatia wao wewe kuwa mwepesi
"Ingekuwaje kama Binadamu angepewa uwezo wa kutambua kilichopo ndani ya moyo wa mwanadamu mwenzake" tatizo watu hawawezi kutambua kinachokuumiza moyoni...you have to say it..Halafu hii ishu inawakumba sana wanauma...Kwa nature wanaume sio watu tunaokubali kushindwa kirahisi...nadhani hilo pia ni jambo lilikua linaniumiza...kwamba how comes mimi nishindwe hivihivi...but ukijipa mda na kuongea na watu unayahamisha matatizo yako mnaanza kushare na watu.....then huwezi kupandwa na kichaa cha kuua
Mchezo wa mapenz bwana! Unaempenda HAKUPENDI, usiempenda ANAKUPENDA TENA KWA DHATI. Na anaweza kupoteza uhai wake kwa ajili yako. Ni kwel unampenda Leah bt hakupendi hata kdg. Mpotezee.