Wale tuliokimbiwa na wanawake kwasababu ya kutikisika kiuchumi/ kufulia tukutane hapa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Niliweza kupata ajira nikiwa na miaka 23 miezi michache baada ya kuhitimu chuo, mambo yalikuwa mazuri si haba kwa umri huo, niliweza kutembelea gari, sim nzuri, geto limepambika + muziki munene.

Katika pita pita zangu nikamnasa binti kwa gia ya lifti, nilimpenda sana yule binti na nilikuwa namuhudumia vingi sana nguo, vocha mpaka chupi yaani mahitaji yake mengi sana ela ilitoka mfukoni kwangu.

Aliniomba ahamie ghetto kwangu, kiukweli sikufikiria mara mbili hasa kwa umri niliokuwa nao nikaona hapa ndio penyewe, game zitakuwa za kutosha.

Kazi ilikuwa ni ya mwaka moja tu japo kwenye mkataba walificha ficha, nilifukuzwa kwa surprise nikiwa hata sijajipanga, uwezo wangu wa kumhudumia ukapungua, hakuna rangi sikuiona, na maneno aliyatamka siwezi kuja kuyasahau.

Gari niliirudisha, pesa zilianza kukata, mambo ya out yaliisha, alinimwaga kama mtu ambaye hatujawahi kujuana maishani.

Baada ya mwaka nili nesa upya kwa kishindo zaidi, itoshe kusema kuna wanawake ni mashetani, alianza kujigonga upya ila nilimtolea nje kama vile simjui.
 
Kuna kipindi niliweza kupata ajira nikiwa na miaka 23 miezi michache baada ya kuhitimu chuo, mambo yalikuwa mazuri si haba kwa umri huo, niliweza kutembelea gari, sim nzuri, geto limepambika + muziki munene.

Katika pita pita zangu nikamnasa binti kwa gia ya lifti, nilimpenda sana yule binti na nilikuwa namuhudumia vingi sana nguo, vocha mpaka chupi yaani mahitaji yake mengi sana ela ilitoka mfukoni kwangu.

Aliniomba ahamie ghetto kwangu, kiukweli sikufikiria mara mbili hasa kwa umri ule.

Kazi ilikuwa ni ya mwaka moja tu japo kwenye mkataba walificha ficha, nilifukuzwa kwa surprise nikiwa hata sijajipanga, uwezo wangu wa kumhudumia ukapungua, hakuna rangi sikuiona, na maneno aliyatamka siwezi kuja kuyasahau.

Gari niliirudisha, pesa zilianza kukata, mambo ya out yaliisha, alinimwaga kama mtu ambaye hatujawahi kujuana maishani
Nashangaa siku hizi wasanii wetu hawaimbi jumbe km hizi sijui wana matatizo gani? Hilo ni funzo
 
We jamaa hujui maisha mie mke wangu nimeachana nae mwe wa kwanza wa Saba kaolewa kwa harusi ,nilipmpenda but alintamkia hajawahi tembea na mwanaume maskin na Mimi sio mwanaume kati ya wanaume alio tembea nao.
Dah! Hata mwingine akija,utakuwa unasitasita aise. Mwaliumu wao sijui anavutaga bangi
 
Nilipokuwa nagonga kokoto mtaani alafu akipita ananiona vumbi limenijaa usoni kinoma.

Skuwa na raman yeyote ile ila nilimwambia maneno haya.

LEO UNAPITA HAPA NA HUNISALIMII SABABU SINA PESA LAKINI SIKU MOJA NITAKUWA MFANYAKAZI WA KAMPUNI FLANI AU BOSS WA KAMPUNI YANGU.

Na kweli asee haachi kuniulizia kwa machizi wangu.

Nakumbuka ilikuwa 2012.
 
Zamani,mwanaume alikuwa radhi ashinde au alale njaa,lakini alichopata amletee mkewe. Hekima na heshima vilikuwepo. Kila mwanamke aliogopa wazazi wake wakijua hashikiki atakua mgeni wa nani. Leo hii unaleta dagaa,unaambiwa kampelekee mama yako. Mchicha na kabichi,unaulizwa nani kakwambia hapo ni kibanda cha sungula? Basi ukipata hata buku 10,unaenda baa unajilia zako unarudi home. Sasa,yamezoea kula huku na kule. Rude Boy aliimba Reason with me! Nadhani ni mfano wa hali yako
 
mchizi aliimba kwa hisia sana
 
Back
Top Bottom