Niko njiapanda Sijielewi Jamani

tupe mrejesho Leah ushatupa kule
Blaki Womani ,kwa kweli mkuu katika suala la mapenzi nimejifunza jambo moja...kama una tatizo la kuumizwa dont keep quiet...you have to shout..watu watakusaidia..watakupatia Counselling..hatimaye utaona ni mambo ya kawaida.......huwezi kuamini siku hizi Leah hata hayupo akilini kwangu ...namwona mtu wa kawaida sanaaaa....na hua najiona nilikua mjinga sana kuwa katika hali kama ile...Hua namshukuru sana Mungu na marafiki zangu hasa wa JF kunivusha katika wakati ule.....Nimetupa kule...Ana maisha yake nina maisha yangu...tuko mikoa tofauti,.....sijui anachokifanya.....hajui ninachokifanya
 
Last edited by a moderator:
Ulipewa likizo ya mwez mzima kwenye probation..?? Duuhh

Mkuu ile hali ilikua haifai.....nashukuru Bosi alikua very understanding....ni mmama....nadhani alinichukulia kama mtoto wake....Ila siku hizi najiona mjinga kweli...ningeweza kupoteza kazi kwa mambo ya hovyo kabisa
 
Indeed long time...nimekumbuka ujinga wangu wa wakati ule ndio nikaukumbuka na uzi huu.....natamani hawa watu wanaofanya mauaji kwa ishu za mapenzi wangekuwa wanapata nafasi ya kuongea na watu kabla ya kuyafanya hayo

I was just reading the comments dah was long time ago aise
Asante mkuu kama ulipata la maana kutoka katika comments zangu sikujua kuwa nakushauri kitu kizuri was just comments na zikapita
Asante kwa kurudi na kukumbuka haya Freeland
 
Last edited by a moderator:
Blaki Womani ,kwa kweli mkuu katika suala la mapenzi nimejifunza jambo moja...kama una tatizo la kuumizwa dont keep quiet...you have to shout..watu watakusaidia..watakupatia Counselling..hatimaye utaona ni mambo ya kawaida.......huwezi kuamini siku hizi Leah hata hayupo akilini kwangu ...namwona mtu wa kawaida sanaaaa....na hua najiona nilikua mjinga sana kuwa katika hali kama ile...Hua namshukuru sana Mungu na marafiki zangu hasa wa JF kunivusha katika wakati ule.....Nimetupa kule...Ana maisha yake nina maisha yangu...tuko mikoa tofauti,.....sijui anachokifanya.....hajui ninachokifanya

safi mkuu maisha yanasonga ingekuwa leo tungesema mengine kama unavyoyaona Mungu ana makusudi nawe.....
 
Last edited by a moderator:
Indeed long time...nimekumbuka ujinga wangu wa wakati ule ndio nikaukumbuka na uzi huu.....natamani hawa watu wanaofanya mauaji kwa ishu za mapenzi wangekuwa wanapata nafasi ya kuongea na watu kabla ya kuyafanya hayo

unapovumilia machungu yanahamasisha hasira na kichaa unapopata watu wenye ushauri mzuri unaona kama umetua zigo na kuwapatia wao wewe kuwa mwepesi
 
"Ingekuwaje kama Binadamu angepewa uwezo wa kutambua kilichopo ndani ya moyo wa mwanadamu mwenzake" tatizo watu hawawezi kutambua kinachokuumiza moyoni...you have to say it..Halafu hii ishu inawakumba sana wanauma...Kwa nature wanaume sio watu tunaokubali kushindwa kirahisi...nadhani hilo pia ni jambo lilikua linaniumiza...kwamba how comes mimi nishindwe hivihivi...but ukijipa mda na kuongea na watu unayahamisha matatizo yako mnaanza kushare na watu.....then huwezi kupandwa na kichaa cha kuua
 
Mchezo wa mapenz bwana! Unaempenda HAKUPENDI, usiempenda ANAKUPENDA TENA KWA DHATI. Na anaweza kupoteza uhai wake kwa ajili yako. Ni kwel unampenda Leah bt hakupendi hata kdg. Mpotezee.
 
katika maisha muda ni dawa/tiba nzuri sana tatizo hatuna subira......niliwahikupata tatizo kwa kweli sikujua namna ya kulibeba baada ya kumtafuta rafiki na kuwaeleza walinipatia ushauri mzuri na baada ya muda kila kitu kilikwenda safi.....hongera sana utakuwa umejifunza mengi
 
Mchezo wa mapenz bwana! Unaempenda HAKUPENDI, usiempenda ANAKUPENDA TENA KWA DHATI. Na anaweza kupoteza uhai wake kwa ajili yako. Ni kwel unampenda Leah bt hakupendi hata kdg. Mpotezee.

kweli mpendwa lakini waweza kubahatika kupendana .........alishampotezea leah sasa anasonga mbele
 
sasa bro hakuna fahari kama kupendwa na hakuna kazi ngumu kama kupenda,kaka jifunze kumpenda huyo bint na akigundua huna mapenzi naye anaweza kuondoka then sasa ukakosa hata msichana atakayekupenda au utampenda msichana then yeye wala michipa ya ufahamu wa kupendwa kwake unakuwa umepasuka.ukishikwa shikamana.by the way nakupongeza kwa kwa kupata anayekupenda ni kazi sana so ukishikwa shikamana.i feel the way u feel that situation.take care
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom