naona mida ya kuliwa imefika
jamaa kapotea, sijui atarudi salama maana leo kachoka!!
he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!
kwani nimebisha Lizzy! Tatizo mi nikifika round ya 4 ye ndo anashusha 1 sasa hapo mpaka mnaeoda saaana! Aagh! Mi nachokaga sana!
Jaribu kumuomba ndogo......
nipe namba yake basi ..
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?
mwanamme mzima huna haya unajisifia unavyopewa pesa na wanamke halafu eti dume la mbegu... hebu tuondolee ujinga hapa, dume la mbegu tangu lini likahongwa na mwanamke. Tafuta jina lingine, hilo halikufai...
Aaa washkaji nimerudi fresh! Ila mbinu zenu zimeniokoa!
mzee mimi cyo mchungaji! beside i dont believe in christianity!!Mheshimiwa mchungaji jukwaa hili halikufai! Umepita kutafuta nini mtumishi? Anyway asante kwa ushauri.
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?
unafikiri sigangamali wangu! Najitoa muhanga mpaka round 7,ila duh! Mwenzangu hachoki haraka!
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?
Pole na hayo majukumu,starehe ni gharama sana. Kwa kukusaidia nipe contacts za ili niweze kuongea naye na kumpanga kisaikolojia,halafu akirudi kwako utaona mabadiliko.mi mwenyewe nampenda sana! Tena sana tu! Ila leo nimechoka na ye ndo hataki kusikia neno kuchoka,kwa kuwa ananijua navyokuwa ktk mudi tatizo nafasi yake ni j,pili tu! Na leo ndo hivyo niko hoi!