Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!

Kha we kidume unafugwa na mwanaume alafu unasubutu kuleta hapa Jf, badala akutaftie kazi na wewe uwajibike unategemea ukae akuletee tu, mwisho wake akikuacha utaishite au ndo utahamia kwenye yale mambo ya Kameroon. Labda nikushauri jambo moja ni bora mtu anaekutaftia au kukupa kazi kuliko yule anaekupa hela kwani hela ikiisha matatizo yanarudi palepale ila kazi itakusaidia kipato cha kila siku.
 
Kuliwa ndo huko, kwamba unashughulika na anakutoa kimtindo,it goes both way, wala usichukie na ukidume wako wa mbegu...mbegu zinapanga nyumba na kununua mali na chakula??

Mwambie huyo hapa mjini "nipe nikupe" usitegemee kupewa tu
 
Kha we kidume unafugwa na mwanaume alafu unasubutu kuleta hapa Jf, badala akutaftie kazi na wewe uwajibike unategemea ukae akuletee tu, mwisho wake akikuacha utaishite au ndo utahamia kwenye yale mambo ya Kameroon. Labda nikushauri jambo moja ni bora mtu anaekutaftia au kukupa kazi kuliko yule anaekupa hela kwani hela ikiisha matatizo yanarudi palepale ila kazi itakusaidia kipato cha kila siku.

jamani mbona nimeshasema hata mi nakazi yangu! Simtegemei kiviile! Labda kwa kunitoa weekend kdg na vitu km ivyo! Msinifikirie vibaya nipe mbinu ya kumchosha mapema acha kukimbilia cameroun!
 
Aaa mkuu JKT mbona simpo tu! Kazi ya raha ila basi iwe kwa kiwango!

Kwamaana hiyo ww kiwango chako kidogo? kwani anataka kila siku au kila weekend? sasa usichokiweza hapo ni kipi? au unashindwa kutayarisha ndio mana anakushinda?
 
Hapa JF kwa jinsi uzi ulivyokaa hutaeleweka vizuri maana uzi wako umekaa kaa ni chalii usiye na kazi unasubiri hilo jimaa ili likunusuru na maisha hayo!!!!

Halafu kwa nini mfanye mapenzi weekend tu? Jaribu kumshawishi muwe mnatembeleana na kufanya mapenzi hata siku za kawaida ambazo anakuwa yupo busy na amechoka ili kupunguza ratiba ya kufanya mapenzi weekend kwa vurugu kama mnadaia na lazima ulipe!!!!

jamani mbona nimeshasema hata mi nakazi yangu! Simtegemei kiviile! Labda kwa kunitoa weekend kdg na vitu km ivyo! Msinifikirie vibaya nipe mbinu ya kumchosha mapema acha kukimbilia cameroun!
 
Kwamaana hiyo ww kiwango chako kidogo? kwani anataka kila siku au kila weekend? sasa usichokiweza hapo ni kipi? au unashindwa kutayarisha ndio mana anakushinda?

yani iko hivi,mi leo mwili wangu hauko vizuri yani nadhani ni malaria au nini ila ye huwa hataki excuse yoyote inapofika j'pili!
 
Cheza na angle bao saba za kazi gani halafu jifunze kujitegemea mtoto wa kiume usipende mteremko.
 
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?

I don't comment on this forum - this will me my first time. I simply advise you to learn how to satisfy your lover - number of rounds don't mean she get satisfied - she may be enjoying your fore-plays but she doesn't get there. Ask JF members to give you more techs otherwise you are so naive in love-making. That is what I can offer!

Cheerz
 
Mtumikie kafiri upate ujira wako.

Imagine wewe unafanya kazi ya kupata raha, mie mwenzio kuli bandarini.
Silalamiki na naipenda kazi yangu.
 
naona mida ya kuliwa imefika
jamaa kapotea, sijui atarudi salama maana leo kachoka!!
 
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?

HONGERA. Jikaze kijana si unajua fimbo uliyopewa mali so mchape nayo mpaka akimbie ila mie nlijua we demu kumbe meni then unaomba poo mpaka asije.
 
Tatizo sio raundi saba unaweza ukaennda raundi saba ukajiona we kidume kumbe umemchafua tu mwenzio wavulana mna tabu sana
unafikiri sigangamali wangu! Najitoa muhanga mpaka round 7,ila duh! Mwenzangu hachoki haraka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom