Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

Allah! Kumbe wewe ni mwanume, mi nilijua ni demu, duh ndo unalalamika unachoka? Mwanaume hachoki bana ila wanasema mtumikie kafiri upate mtaji wako, so kaza buti meeeen!

he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!
 
nduguu unachekeshaa sanaaa...vijanaa hizo chips yai nomaa,je ingekuwaa kilaa siku mtoto wa watu anakuletea jumapili kwa juma piliii yani wee kupigaa hiyo mashine unakuwaa mvivuu,pigaa mashine kijanaa mpakaa ukisikiaa inatoaa mgurumu wa trektaa juaa imekuwaa mahali yake
kwani nimebisha Lizzy! Tatizo mi nikifika round ya 4 ye ndo anashusha 1 sasa hapo mpaka mnaeoda saaana! Aagh! Mi nachokaga sana!
 
ujue inashangaza hv me nilijua nataka nishauri mwanamke kumbe mtoto wa kiume? hii sijaipenda kabisa hasa ile eti anakata mkwanja pole sana
 
mwanamme mzima huna haya unajisifia unavyopewa pesa na wanamke halafu eti dume la mbegu... hebu tuondolee ujinga hapa, dume la mbegu tangu lini likahongwa na mwanamke. Tafuta jina lingine, hilo halikufai...
 
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?

No Pain, No Gain; Weigh out kati ya vitu hivyo viwili hapo kwenye red. Ukiona unatumika sana utapima mwenyewe kuacha mshiko au kutumika ipasavyo.
 
mwanamme mzima huna haya unajisifia unavyopewa pesa na wanamke halafu eti dume la mbegu... hebu tuondolee ujinga hapa, dume la mbegu tangu lini likahongwa na mwanamke. Tafuta jina lingine, hilo halikufai...

Looh, kumbe dume! Mayai mayai!
 
Mheshimiwa mchungaji jukwaa hili halikufai! Umepita kutafuta nini mtumishi? Anyway asante kwa ushauri.
mzee mimi cyo mchungaji! beside i dont believe in christianity!!
ila nawaambia tu vjana wenzanguu!!! tusijisahau!!!
 
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?

acha uvivu jitume uendelee kupewa mshiko
 
mi mwenyewe nampenda sana! Tena sana tu! Ila leo nimechoka na ye ndo hataki kusikia neno kuchoka,kwa kuwa ananijua navyokuwa ktk mudi tatizo nafasi yake ni j,pili tu! Na leo ndo hivyo niko hoi!
Pole na hayo majukumu,starehe ni gharama sana. Kwa kukusaidia nipe contacts za ili niweze kuongea naye na kumpanga kisaikolojia,halafu akirudi kwako utaona mabadiliko.
 
usiogope mwenzio anafidia kuanzia ya j3 hadi j2 yan assume kila siku round moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom