Duduwasha JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,703 3,653 Aug 5, 2012 #41 Ujinga kuyaacha Magamba yaliyo kili kuwa hayawezi kulipa Mishahara Mizuri ni Bora Yapishe wawezao...
danizzo JF-Expert Member Mar 19, 2011 278 38 Aug 6, 2012 #43 niujinga kutema big G kwa kalanga zakuonja
Rjohn JF-Expert Member Feb 28, 2012 613 128 Aug 6, 2012 #45 KANCHI said: Huu c ujinga bwana. Click to expand... ila akili hyo enh! akikwambia karibu unafanyaje unaingia au ?
KANCHI said: Huu c ujinga bwana. Click to expand... ila akili hyo enh! akikwambia karibu unafanyaje unaingia au ?
Rjohn JF-Expert Member Feb 28, 2012 613 128 Aug 6, 2012 #46 ujinga kutema mate ukiona mav badala ya kutoa kamas
mkubwawakaya Member Jul 3, 2012 12 1 Aug 6, 2012 #47 ni ujinga kulamba bahasha wakati haina utamu wowote.................
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Aug 6, 2012 #48 Mateka said: Ni ujinga kufanya haya 1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov 2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu. 3.Kununua misumari nje ya nchi. Click to expand... Hiyo namba 3 kama nchi haitaki kuzalili kwanini tusinunue nje
Mateka said: Ni ujinga kufanya haya 1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov 2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu. 3.Kununua misumari nje ya nchi. Click to expand... Hiyo namba 3 kama nchi haitaki kuzalili kwanini tusinunue nje
July Fourth JF-Expert Member May 2, 2012 2,240 794 Aug 7, 2012 #49 Ni ujinga wewe kuwa mgeni kwenye nyumba flani, then akaja mgeni mwingne. Akapiga "hodi" na we ukaitikia kwa sauti "karibu" utafikiri kwako
Ni ujinga wewe kuwa mgeni kwenye nyumba flani, then akaja mgeni mwingne. Akapiga "hodi" na we ukaitikia kwa sauti "karibu" utafikiri kwako
Manager JF-Expert Member Apr 21, 2011 531 73 Aug 7, 2012 #50 Kesi za wizi wa kuku zinakatwa mara moja, hukumu ni miaka 15, kesi za mafisadi haziishi na vyeo vinapanda--huu nao ni ujinga
Kesi za wizi wa kuku zinakatwa mara moja, hukumu ni miaka 15, kesi za mafisadi haziishi na vyeo vinapanda--huu nao ni ujinga
S Slaker JF-Expert Member May 11, 2012 237 28 Aug 7, 2012 #51 Ujinga ni 1.kuangalia balance yako baada ya kupigiwa 2.kupiga brush viatu wakat unaend kupiga passport size 3.kumuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya ucngz
Ujinga ni 1.kuangalia balance yako baada ya kupigiwa 2.kupiga brush viatu wakat unaend kupiga passport size 3.kumuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya ucngz
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Aug 8, 2012 #52 Ji ujinga kuishi kwa dadaako afu uhakikishe anatoka Wa wanaume tofautitofauti na we unhakikisha!
Chakuchambuka JF-Expert Member Aug 4, 2012 342 63 Aug 8, 2012 #53 1.Kuulizia ukoko wa chai,.... 2.kujifanya mbahili kunywa chai na big G 3.kumtuma mtoto kuwasha sigara
1.Kuulizia ukoko wa chai,.... 2.kujifanya mbahili kunywa chai na big G 3.kumtuma mtoto kuwasha sigara
danizzo JF-Expert Member Mar 19, 2011 278 38 Aug 10, 2012 #54 Niujinga kuzima kuzima jua kwakupuliza niujinga kukimbiza kivuli chako niujinga kupiga mbizi kwenye rami
Niujinga kuzima kuzima jua kwakupuliza niujinga kukimbiza kivuli chako niujinga kupiga mbizi kwenye rami
S Shuju Member Jun 22, 2012 63 8 Aug 10, 2012 #55 Teh teh teh, umenikuna mdau kwa kwel n ujinga, bt wez wa kuku wakamatwe tu mana wana2ongezea umaskin mafukara
Teh teh teh, umenikuna mdau kwa kwel n ujinga, bt wez wa kuku wakamatwe tu mana wana2ongezea umaskin mafukara
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,444 25,591 Aug 10, 2012 #57 Ni ujinga ku Quote thread ndefu ili hali unaweza uka comment bila ku qoute.
Z ZeRo zero sEven Member Aug 10, 2012 22 1 Aug 11, 2012 #58 Ni ujinga kufungua kinyozi {saloon} jamaica.
C Chabo JF-Expert Member Jul 20, 2011 1,083 1,135 Aug 25, 2012 #59 Ujinga kuandika neno "TANGAZO"kwenye tangazo.
mchemsho JF-Expert Member Jun 8, 2011 3,212 867 Aug 25, 2012 #60 Ni ujinga Kuanzisha thread kama hii.