Siku nikiwa Rais, mnaozaa hovyo mtanikoma

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,410
(a) Yaani wewe mdada ambaye huna mume halafu una watoto 2 au zaidi wa baba tofauti utaozea jela.

(b) Wewe mwanaume ambaye hueleweki unafanya kazi gani halafu una watato 2 au zaidi utaozea gerezani.

(c) Madereva bodaboda/bajaji na machinga marufuku kuwa na watoto.

Nitaanzisha utaratibu wa kila mwanaume kabla ya kuoa lazima uombe kibali kutoka Serikalini. Uitwe kwenye usaili ujieleze una mipango gani, una mali kiasi gani, unafanya shughuli gani na inakulipa kiasi gani kwa sasa? Halafu utakadiriwa idadi ya watoto unaopaswa kuzaa.

Hakuna mtu ataruhusiwa kuzaa watoto zaidi ya watatu (3). Kwanini? Kuzaa hovyo ndiyo imekuwa chanzo kikuu cha:-
∆ . Wezi, vibaka, Panya Road, majambazi na maovu mengine mengi. Hivyo kupelekea mauaji, uporaji umaskini wa mtu mmoja mmoja.

∆. Idadi ya walipa Kodi kuwa ndogo. Maana ili ulipe Kodi lazima uwe na biashara kubwa. Sasa mtoto wa dereva bodaboda/bajaji na machinga ni lini atamiliki biashara kubwa? Hii hupelekea umasikini wa nchi.

∆. Serikali kushindwa kupanga mipango ya maendeleo kwa wananchi wake.

Mniombee niwe Rais niondoe umaskini nchi hii kwa kuzuia kuzaa hovyo hovyo.
 
(a) Yaani wewe mdada ambaye huna mume una watato halafu una watoto 2 au zaidi wa baba tofauti utaozea jela.

(b) Wewe mwanaume ambaye hueleweki unafanya kazi gani halafu una watato 2 au zaidi utaozea gerezani.

(c) Madereva bodaboda/bajaji na machinga marufuku kuwa na watoto.

Nitaanzisha utaratibu wa kila mwanaume kabla ya kuoa lazima uombe kibali kutoka serikalini. Uitwe kwenye usaili ujieleze una mipango gani, una mali kiasi gani, unafanya shughuli gani na inakulipa kiasi gani kwa sasa? Halafu utakadiriwa idadi ya watoto unaopaswa kuzaa.

Hakuna mtu ataruhusiwa kuzaa watoto zaidi ya watatu (3). Kwanini? Kuzaa hovyo ndiyo imekuwa chanzo kikuu cha:-
∆ . Wezi, vibaka, Panya Road, majambazi na maovu mengine mengi. Hivyo kupelekea mauaji, uporaji umaskini wa mtu mmoja mmoja.
∆. Idadi ya walipa Kodi kuwa ndogo. Maana ili ulipe Kodi lazima uwe na biashara kubwa. Sasa mtoto wa dereva bodaboda/bajaji na machinga ni lini atamiliki biashara kubwa? Hii hupelekea umasikini wa nchi.
∆. Serikali kushindwa kupanga mipango ya maendeleo kwa wananchi wake.

Mniombee niwe rais niondoe umaskini nchi hii kwa kuzuia kuzaa hovyo hovyo.
Yaani nikuombee uwe rais walah ntakuwa mwehu.🤣🤣🤣

Tutaendelea kuzaa hovyo na utaendelea kuutamani urais ambao kamwe hautaupata😅
 
Kwa hili hongera waislam kwa kuikuza dini yenu.
Sisi tunaangalia maendeleo ya kiuchumi wewe unaongelea upuuzi wa dini? Dini siyo genetical.

Hata mkristo kesho anaweza kuamua kuwa muislamu halafu baada ya mwaka akarudi ukristo.

Vivyo hivyo kwa waislamu wanaweza wakabatizwa. Si unawaona wanavyomiminika kwa Mwamposa?
 
Akili za kijinga haswa.Wewe hata kuwa msimamizi wa choo cha kulipia hufai.Bakia hapo ulipo.
 
(a) Yaani wewe mdada ambaye huna mume una watato halafu una watoto 2 au zaidi wa baba tofauti utaozea jela.

(b) Wewe mwanaume ambaye hueleweki unafanya kazi gani halafu una watato 2 au zaidi utaozea gerezani.

(c) Madereva bodaboda/bajaji na machinga marufuku kuwa na watoto.

Nitaanzisha utaratibu wa kila mwanaume kabla ya kuoa lazima uombe kibali kutoka serikalini. Uitwe kwenye usaili ujieleze una mipango gani, una mali kiasi gani, unafanya shughuli gani na inakulipa kiasi gani kwa sasa? Halafu utakadiriwa idadi ya watoto unaopaswa kuzaa.

Hakuna mtu ataruhusiwa kuzaa watoto zaidi ya watatu (3). Kwanini? Kuzaa hovyo ndiyo imekuwa chanzo kikuu cha:-
∆ . Wezi, vibaka, Panya Road, majambazi na maovu mengine mengi. Hivyo kupelekea mauaji, uporaji umaskini wa mtu mmoja mmoja.
∆. Idadi ya walipa Kodi kuwa ndogo. Maana ili ulipe Kodi lazima uwe na biashara kubwa. Sasa mtoto wa dereva bodaboda/bajaji na machinga ni lini atamiliki biashara kubwa? Hii hupelekea umasikini wa nchi.
∆. Serikali kushindwa kupanga mipango ya maendeleo kwa wananchi wake.

Mniombee niwe rais niondoe umaskini nchi hii kwa kuzuia kuzaa hovyo hovyo.
Hujatembea ukajionea hii inchi ikivyo kubwa. Haiwezi kujaa kwenye mwaka unaoanza na 2, yani mpaka 2099 hata nusu hatuwezi kufika kwa wameza p2 ka wewe.
 
Kuzaa sio tatizo ikiwa utazaa watoto ambao utawalea katika misingi bora ambayo itawafanya kuwa productive -Wazalisha Mali .

Kinachosumbua nchi yetu ni kuwa na Idadi kubwa ya watu waliolelewa na kukulia katika mazingira magumu hivyo wao hawawazi mambo makubwa tena na sio kosa Lao.

Jambo la pili Watz wengi Elimu wanayo Ila maarifa ndo hawana hivyo watu huzaa limradi tu Ila uwezo Wa kulea hawana.

Mwisho rais atakayeweza kufuta na kuondoa ujinga huyo ndo atakuwa amecheza karata dume.
 
(a) Yaani wewe mdada ambaye huna mume una watato halafu una watoto 2 au zaidi wa baba tofauti utaozea jela.

(b) Wewe mwanaume ambaye hueleweki unafanya kazi gani halafu una watato 2 au zaidi utaozea gerezani.

(c) Madereva bodaboda/bajaji na machinga marufuku kuwa na watoto.

Nitaanzisha utaratibu wa kila mwanaume kabla ya kuoa lazima uombe kibali kutoka serikalini. Uitwe kwenye usaili ujieleze una mipango gani, una mali kiasi gani, unafanya shughuli gani na inakulipa kiasi gani kwa sasa? Halafu utakadiriwa idadi ya watoto unaopaswa kuzaa.

Hakuna mtu ataruhusiwa kuzaa watoto zaidi ya watatu (3). Kwanini? Kuzaa hovyo ndiyo imekuwa chanzo kikuu cha:-
∆ . Wezi, vibaka, Panya Road, majambazi na maovu mengine mengi. Hivyo kupelekea mauaji, uporaji umaskini wa mtu mmoja mmoja.
∆. Idadi ya walipa Kodi kuwa ndogo. Maana ili ulipe Kodi lazima uwe na biashara kubwa. Sasa mtoto wa dereva bodaboda/bajaji na machinga ni lini atamiliki biashara kubwa? Hii hupelekea umasikini wa nchi.
∆. Serikali kushindwa kupanga mipango ya maendeleo kwa wananchi wake.

Mniombee niwe rais niondoe umaskini nchi hii kwa kuzuia kuzaa hovyo hovyo.
We ni mwehu
 
Ujio wa sensa ya 2022 unatudhihirishia kua ugonjwa wa Akili upo Tz na wagonjwa wengi tunao mitaani kuliko mahospitalini
 
Sasa mwanaume anaombaje kibali cha kuzaa? Nani atampa mimba hadi azae? Sasa ukishapeleka ma single mom jela watoto wao utawachukua wewe?
(a) Yaani wewe mdada ambaye huna mume una watato halafu una watoto 2 au zaidi wa baba tofauti utaozea jela.

(b) Wewe mwanaume ambaye hueleweki unafanya kazi gani halafu una watato 2 au zaidi utaozea gerezani.

(c) Madereva bodaboda/bajaji na machinga marufuku kuwa na watoto.

Nitaanzisha utaratibu wa kila mwanaume kabla ya kuoa lazima uombe kibali kutoka serikalini. Uitwe kwenye usaili ujieleze una mipango gani, una mali kiasi gani, unafanya shughuli gani na inakulipa kiasi gani kwa sasa? Halafu utakadiriwa idadi ya watoto unaopaswa kuzaa.

Hakuna mtu ataruhusiwa kuzaa watoto zaidi ya watatu (3). Kwanini? Kuzaa hovyo ndiyo imekuwa chanzo kikuu cha:-
∆ . Wezi, vibaka, Panya Road, majambazi na maovu mengine mengi. Hivyo kupelekea mauaji, uporaji umaskini wa mtu mmoja mmoja.
∆. Idadi ya walipa Kodi kuwa ndogo. Maana ili ulipe Kodi lazima uwe na biashara kubwa. Sasa mtoto wa dereva bodaboda/bajaji na machinga ni lini atamiliki biashara kubwa? Hii hupelekea umasikini wa nchi.
∆. Serikali kushindwa kupanga mipango ya maendeleo kwa wananchi wake.

Mniombee niwe rais niondoe umaskini nchi hii kwa kuzuia kuzaa hovyo hovyo.
 
Yule mwanaume aliyekutia mimba na kukimbia ulifanikiwa kurudiana nae.?
 
Jiwe alisema tufyatue tu watoto maana kwake elimu haina gharama. Wewe unasema tusifyatue maana srekali yako inashindwa kudhibiti wezi, machangudoa na panya rodi.
Sijui hapa kati yako na jiwe nani yupo sahihi.
 
Back
Top Bottom