Ujinga wa Watanzania unawafanya hata kuzijua haki zao kikatiba hawawezi

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,042
Hii NCHI ina Watu Wajinga sana na ndio maana HAYATI Baba wa Taifa Aliutaja UJINGA kama ADUI wa Nchi hii kwani ALIJUA kuna WAJINGA WENGI. Kutokana na VIONGOZI WETU kulijua hilo Wamekuwa Wakiutumia UJINGA wa Watanzania kufanikisha MAMBO yao kwa mfano

1. Dini au Makanisa ya Watu binafsi Kilokole yamekuwa yanakusanya Mabilioni ya Fedha kama SADAKA kwa Waumini Wajinga Wajinga

2. CCM imekuwa inautumia UJINGA wa Wananchi kwa Kuwadanganya MIAKA yote kwa zaidi ya MIAKA 60 na kuwapa Tshirt Vitenge Pilau na Pombe za kienyeji ili kupata kura

3. Wabunge wamekuwa Wakiwadanganya Wananchi kuwa wanawatetea Wananchi na Watumishi lakini hawana lolote zaidi ya kupigania Matumbo yao na Familia zao Kwa Mfano Mbunge analipwa Mshahara wa Tsh. Milioni 16 kwa mwezi na Posho ya Tsh.320,000/= kwa kukaa tu Bungeni na akistaafu analipwa Tsh.Mil.300 kwa Miaka 5 tu huku Mtumishi wa umma analipwa Mshahara wa Tsh 360,000/= kwa Mwezi akistaafu baada ya kufanya kazi kwa zaidi ya Miaka 30 analipwa sh.Mil.30 tena baada ya kuyasotea hayo Mafao kwa miaka 2 wote huo ni UJINGA wa Watumishi.

Serikali imekuwa ikifuja Pesa kwa Matumizi ya ANASA kwa Viongozi wake huku HALI n MAISHA ya Wananchi yakiwa DUNI Kabisa lakini kwa Ujinga wa Wananchi hawajui waifanye nini SERIKALI hiyo ya KIFAHARI.

Hivi sasa kumezuka KUNDI la VIJANA na baadhi ya Wazee kutokana na Ujinga wao wameamua kuwa MACHAWA kazi yao ni kuwasifia tu Viongozi na Viongozi kwa kuwatambua kuwa wana UJINGA MWINGI wamekuwa wanawatumia kuwasifia.

Je, ni NANI Alituroga Watanzania ili tuendelee kuimarika na UJINGA HUU?
Je, ni MUNGU ndivyo alivyotuumba tuwe WAJINGA HIVI?
JE, NI NINI KIFANYIKE ili kukiepuka KIKOMBE hiki cha UJINGA?
 
Hii NCHI ina Watu Wajinga sana na ndio maana HAYATI Baba wa Taifa Aliutaja UJINGA kama ADUI wa Nchi hii kwani ALIJUA kuna WAJINGA WENGI. Kutokana na VIONGOZI WETU kulijua hilo Wamekuwa Wakiutumia UJINGA wa Watanzania kufanikisha MAMBO yao

Je, ni NANI Alituroga Watanzania ili tuendelee kuimarika na UJINGA HUU?
Je, ni MUNGU ndivyo alivyotuumba tuwe WAJINGA HIVI?
JE, NI NINI KIFANYIKE ili kukiepuka KIKOMBE hiki cha UJINGA?
Naunga mkono hoja.
Niliwahi kuuliza Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!"

P
 
Hii NCHI ina Watu Wajinga sana na ndio maana HAYATI Baba wa Taifa Aliutaja UJINGA kama ADUI wa Nchi hii kwani ALIJUA kuna WAJINGA WENGI. Kutokana na VIONGOZI WETU kulijua hilo Wamekuwa Wakiutumia UJINGA wa Watanzania kufanikisha MAMBO yao kwa mfano

1. Dini au Makanisa ya Watu binafsi Kilokole yamekuwa yanakusanya Mabilioni ya Fedha kama SADAKA kwa Waumini Wajinga Wajinga

2. CCM imekuwa inautumia UJINGA wa Wananchi kwa Kuwadanganya MIAKA yote kwa zaidi ya MIAKA 60 na kuwapa Tshirt Vitenge Pilau na Pombe za kienyeji ili kupata kura

3. Wabunge wamekuwa Wakiwadanganya Wananchi kuwa wanawatetea Wananchi na Watumishi lakini hawana lolote zaidi ya kupigania Matumbo yao na Familia zao Kwa Mfano Mbunge analipwa Mshahara wa Tsh. Milioni 16 kwa mwezi na Posho ya Tsh.320,000/= kwa kukaa tu Bungeni na akistaafu analipwa Tsh.Mil.300 kwa Miaka 5 tu huku Mtumishi wa umma analipwa Mshahara wa Tsh 360,000/= kwa Mwezi akistaafu baada ya kufanya kazi kwa zaidi ya Miaka 30 analipwa sh.Mil.30 tena baada ya kuyasotea hayo Mafao kwa miaka 2 wote huo ni UJINGA wa Watumishi.

Serikali imekuwa ikifuja Pesa kwa Matumizi ya ANASA kwa Viongozi wake huku HALI n MAISHA ya Wananchi yakiwa DUNI Kabisa lakini kwa Ujinga wa Wananchi hawajui waifanye nini SERIKALI hiyo ya KIFAHARI.

Hivi sasa kumezuka KUNDI la VIJANA na baadhi ya Wazee kutokana na Ujinga wao wameamua kuwa MACHAWA kazi yao ni kuwasifia tu Viongozi na Viongozi kwa kuwatambua kuwa wana UJINGA MWINGI wamekuwa wanawatumia kuwasifia.

Je, ni NANI Alituroga Watanzania ili tuendelee kuimarika na UJINGA HUU?
Je, ni MUNGU ndivyo alivyotuumba tuwe WAJINGA HIVI?
JE, NI NINI KIFANYIKE ili kukiepuka KIKOMBE hiki cha UJINGA?

Kiongozi umetema madini lakini walalahoi wajingawajinga mfano baadhi ya Boda wa Mwanza kukuelewa ni mtihani
 
Back
Top Bottom