Nini kinasababisha wanawake wengi wa kizazi hiki kuzaa kabla ya ndoa?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
692
1,570
Nini kinasababisha wanawake wengi wa Hii generation kuzaa kabla ya ndoa? Je ni,

1. Bahati mbaya

2. Kuona umri unaenda na hakuna muoaji

3. Kuona mwanume Ana potential so nizae ili mtoto aishi maisha mazuri

4. Kuona ni fashion na mimi nionekane nina mtoto

5. Kubakwa

6. Au kuwa na health conditions zinazokubidi uwahi tu kuzaa
 
????????????
Wanaona ndoa hazitabiriki
Binafsi nawaunga mkono
 
Nini kinasababisha wanawake wengi wa Hii generation kuzaa kabla ya ndoa? Je ni,
1. Bahati mbaya
2. Kuona umri unaenda na hakuna muoaji
3. Kuona mwanume Ana potential so nizae ili mtoto aishi maisha mazuri
4. Kuona ni fashion na mimi nionekane nina mtoto
5. Kubakwa
6. Au kuwa na health conditions zinazokubidi uwahi tu kuzaa

????????????
Kuolewa ni kufugwa na kuongezeana frustration na kujiingiza kwenye utumwa
 
Back
Top Bottom