Ni Ujinga..

Ujinga kuyaacha Magamba yaliyo kili kuwa hayawezi kulipa Mishahara Mizuri ni Bora Yapishe wawezao...
 
Ni ujinga kufanya haya
1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov
2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu.
3.Kununua misumari nje ya nchi.

Hiyo namba 3 kama nchi haitaki kuzalili kwanini tusinunue nje
 
Ni ujinga wewe kuwa mgeni kwenye nyumba flani, then akaja mgeni mwingne. Akapiga "hodi" na we ukaitikia kwa sauti "karibu" utafikiri kwako
 
Kesi za wizi wa kuku zinakatwa mara moja, hukumu ni miaka 15, kesi za mafisadi haziishi na vyeo vinapanda--huu nao ni ujinga
 
Ujinga ni 1.kuangalia balance yako baada ya kupigiwa 2.kupiga brush viatu wakat unaend kupiga passport size 3.kumuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya ucngz
 
Ji ujinga kuishi kwa dadaako afu uhakikishe anatoka Wa wanaume tofautitofauti na we unhakikisha!
 
1.Kuulizia ukoko wa chai,....
2.kujifanya mbahili kunywa chai na big G
3.kumtuma mtoto kuwasha sigara
 
Niujinga kuzima kuzima jua kwakupuliza niujinga kukimbiza kivuli chako niujinga kupiga mbizi kwenye rami
 
Teh teh teh, umenikuna mdau kwa kwel n ujinga, bt wez wa kuku wakamatwe tu mana wana2ongezea umaskin mafukara
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom