Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Namjua huyu.....jirani yangu aliingia mteo kama huohuo......akagundua kumbe mumewe karudishwa kijijini kwao akamalizie siku zake,baada ya kuugua muda mrefu.....nadhani umenielewa....watchout
 
Elia issue niliogundua hapa ni kwamba usha jua kua hafai kua nae karibu na ni dhahiri kua anakuvutia in one way or another uwe nae hasa kwa njia ya kuiba - mumewe kuwa msafiri kama advantage... Ni wanawake wachache walo olewa wana guts ya kujitongozesha kwa wanaume na kama anafanya hivyo kwako naomba ujue wee sio mtu wa kwanza... na bora hata ungekua na wife ... labda angekua na soni kidogo... Hivyo kweli la kufanya la kwanza ni kuacha kuambatana nae na kumchukua kazini as if tayari wewe ndo mumewe.... Kwanza ni hatari hata kama mlikua hamfanyi hivyo wengi watafikiri hivyo... na mjini hapa.... habari zinatembea kwa kasi ya ajabu...

Noted hasa kwenye hizo bluu na hiyo RED inanitisha zaidi, shuruba za usafiri wa hapa Bongo ndio zilizo nifanya nimsaidie Ninakawaida ya kuto beba watu nisio wafahamu kwenye gari yangu i don't know what happened to me . But Thanks
 
Ushauri wangu ni kuwa "spend muda mwingi na mpenzi wako" acha kutoa lift kwa wake wa watu, na lift zenyewe ni za makusudi.

Dokta Remmy aliimba "muke wa mwenzio usimupatie lift" ametoa onyo kwako weeeee kama ndugu; tabia hiyo sio nzuri hapa duniani.
 
This reminds me of one story:
Ukimtamani Mke/mume wa mtu wewe tayari ni matehemu mtarajiwa!

UTAKAPOTEMBEA NA MKE/MUME WA MTU, wewe ni marehemu, uko ndani ya jeneza, ndugu na jamaa wameshatoa last respect na wanasubiri kwenda kukuzika!

Ask yourself, does she/he worth that sacrifice?

Jamii haitashangaa kusikia umechomwa kisu/kupigwa risasi au kuuawa kwa njia yoyote ile, kwa sababu ya kutembea na mke wa mtu. watasema umejitakia!

Mkuu Elia, hadi sasa wewe ni marehemu mtarajiwa, next step, marehemu na mengineyo! Usione vimeelea, vimeubwa!
 
Elia ndugu yangu! tunakupenda sana, hatupo tayari kukupoteza, kuna msemo unasema MSITU UNA MASIKIO! ni hadithi ya zamani lkn lengo ni kwamba unavyompa lifti watu wanakuona! ingawa nyie mtadhani hamuonekani lkn mnapishana au kukaa foleni na daladala mle ndani watu kibao hujui nani anakuona na anamjua huyo mke wa mtu. so please mwepuke sana huyo dada ingawa ni mke wa mtu lkn anaonekana si mwaminifu ktk ndoa yake. mapenzi ni km chafya baba inapokuja huwezi kuizuia ukimlamba huyo dada atataka akumiliki na hapo ndo atakapokuaribia kwa mchumba wako. mwisho jaribu kujiweka kwenye nafasi ya mme wa huyo dada, umesafiri halafu mkeo anajitongozesha kwa mwanaume mwingine, roho yako itaumaje?
 
Namjua huyu.....jirani yangu aliingia mteo kama huohuo......akagundua kumbe mumewe karudishwa kijijini kwao akamalizie siku zake,baada ya kuugua muda mrefu.....nadhani umenielewa....watchout

Nashukuru mkuu, thanks
 
Elia ndugu yangu! tunakupenda sana, hatupo tayari kukupoteza, kuna msemo unasema MSITU UNA MASIKIO! ni hadithi ya zamani lkn lengo ni kwamba unavyompa lifti watu wanakuona! ingawa nyie mtadhani hamuonekani lkn mnapishana au kukaa foleni na daladala mle ndani watu kibao hujui nani anakuona na anamjua huyo mke wa mtu. so please mwepuke sana huyo dada ingawa ni mke wa mtu lkn anaonekana si mwaminifu ktk ndoa yake. mapenzi ni km chafya baba inapokuja huwezi kuizuia ukimlamba huyo dada atataka akumiliki na hapo ndo atakapokuaribia kwa mchumba wako. mwisho jaribu kujiweka kwenye nafasi ya mme wa huyo dada, umesafiri halafu mkeo anajitongozesha kwa mwanaume mwingine, roho yako itaumaje?
Inauma mkuu ndio maana sitaki kumla huyu dada isitoshe sijaoa lakini hata mimi kazi zangu huwa zina husisha kusafiri safiri kidogo
 
This reminds me of one story:
Ukimtamani Mke/mume wa mtu wewe tayari ni matehemu mtarajiwa!

UTAKAPOTEMBEA NA MKE/MUME WA MTU, wewe ni marehemu, uko ndani ya jeneza, ndugu na jamaa wameshatoa last respect na wanasubiri kwenda kukuzika!

Ask yourself, does she/he worth that sacrifice?

Jamii haitashangaa kusikia umechomwa kisu/kupigwa risasi au kuuawa kwa njia yoyote ile, kwa sababu ya kutembea na mke wa mtu. watasema umejitakia!

Mkuu Elia, hadi sasa wewe ni marehemu mtarajiwa, next step, marehemu na mengineyo! Usione vimeelea, vimeubwa!
Nimekupata Okada, thats why nimekuja kwenu nipate inputs kabla sijafa na kuzikwa au kupendezesha headlines za magazeti ya akina shigongo
 
Tamaa ikiisha kukomaa huzaa dhambi,na dhambi ikikomaa huzaa mauti! Ndugu yangu usijaribu kuoegelea kwenye bwawa la mamba! angalia pia usije ukawa unafuatiliwa pia!
 
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.

Yaaani unatia hata huruma...pole lakini ni majaribu ya kawaida kwa binadamu. Kinachonisikitisha umeshagundua huo mtego lakini hautaki kutoka wataka kunasa sio? wewe una mchumba wako, yeye ana mumewe.... ehe... Plz haya mazingira mnayotengeneza ni ya kusaliti wenzi wenu halafu mje msingizie ni Shetani alinidanganya. (alafu ni mke wa mtuuu ooooohoooo.... nisiwasemee walio oa ngoja waseme wenyewe lol)
 
Yes nina mchumba ndio maana nataka nisiingie ndani zaidi kuharibu. but she keep on texting and calling me
wewe ndo umempa nafas ya kuendelea na mambo hayo ebu mchunie kavukavu uone itakuaje
 
umeshagundua analolitaka na umeona kuna madhara kwanza kwa mchumba wako na pili ni mke wa mtu kuna balaa linakunyemelea .........kumbuka kuna watu wanawaona na pengine wanamfahamu mumewe taarifa zitamfikia huko alipo ijapokuwa hakuna baya ulilolifanya kumbuka binadamu anaweza sema chochote hata kwa kutunga bila kuwa na ushahidi....epuka kumpa lift kabisa na kupokea simu zake atakapoona hivyo atajua jamaa imeingia mtini............heri lawama kuliko fedheha..........kuna kitu kingine nakiona hapo kama roho yako imeshamdondokea vile
 
Hiyo avatar yako tu inatoa majibu ya kutosha kwa hii thread yako......wanajua saikolojia watakubali kuwa wewe ni "Topaz"
 
Mkuu..kosa moja kubwa umeshafanya ..kugawa namba ya simu.. Kosa la pili.. tayali umeshamweka kwenye akili yako kuwa ni mzuri n.k.. yaani unataka JF watu wakufagilie..hiyo "guilty consciousness" yako.

Umeshaambiwa na wengi.. kimbia... Jinsi ya kukimbia utajua wewe mwenyewe bila ya kumdhalilisha au kum- offend huyo mama/Bint? Ningekuwa mimi.. ningebadili namba.. Gharama ya marafiki zangu kunitafuta kwa namba mpya ni ndogo kuliko mtego huo.. Kwanza huwezi jua anamatatizo gani na familia yake..unaweza kujikuta kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti ya uwazi..

Mkuu..hilo bomu..usilishike labda kama unataka kujitoa muhanga..
 
mtego huo,ukiingia,kunajinasua itakuwa ngumu.usimpe tena lift,usijibu msg zake au mwambie usinitumie msg,mimi na mchumba wangu,huo u loniless wake,anatafuta pa kujipumzikia,jaribu usiwe weak mbele yake,ukiingia tu,mwanzo utaona raha za ajabu,lakini baadae ni majuto,epuka before is too late
 
wewe endelea tuu, huyo mchumba wako atakuacha na mme wa huyo dada atakapojua *&^%$#*&&^^%$$# shauri yako. kimbia kabla hujawapa magazeti skendo.
 
Back
Top Bottom