Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Acha kuzunguka sana, ameshakuambia yeye ni mke wa mtu, halafu mume wake ni mtu wa safari, then anakupigia na kutaka kudumisha mawasiliano, anakuuliza wkend plans, kwani wewe ni mgeni katika gemu mpaka usijue kuwa anakutaka? Mbaya zaidi unamsifu kuwa ni mzuri, yaani unatuambia mpaka ongea yake jinsi inavyokuvutia. Moyoni mwako umeshaanza kuwaza ufuska, na hata tukikushauri tayari unajua nini chakufanya. Kabla hujafanya huo ufuska, jiweke katika nafasi ya yule mume wake halafu imagine how would you feel? Imagine mchumba wako akijua itakuwa hasara kwa nani? Mume wake akijua na labda ndoa ikavunjika,mtoto wao ataishi katika mazingira gani? Mbaya zaidi unaweza kuondoka dunia hii siku si zako.Kama hiyo ni tabia ya huyo mwanamke unaweza kuwa msaada kwake, muoneshe kuwa wapo wanaume wanaojali wake za wenzao. Mwekee mazingira ya kuelewa kuwa sisi wanaume hatupendi kuwa mbali na familia zetu, tunafanya hivyo kwa sababu wakati mwingine hatuna jinsi, na tunajua wazi kuwa sisi sote ni dhaifu, lakini tunawaamini kuwaacha nyumbani tukaenda kutafuta riziki, na kwamba tunawapenda sana. Kwa wivu tulionao tungeamua kukaa tu nyumbani kuwalinda, lakini upendo tulionao umezaa imani kwao kuwa watalinda na kuheshimu ndoa zetu kama tunavyo linda na kuheshimu tunapokuwa mbali nao.
Nimependa sana maelezo yako. Kama asipokuelewa basi tena. Kwa nyongeza amuheshimu na kumuogopa MUNGU
 
Angalia usije ukapanda magugu kwenye shamba lako la ngano. hakika hutaweza kuyang'oa na kuiacha ngano salama. kosa la kwanza ni kukubali kujadiliana na shetani wakati huna ubavu wa kumshinda.
 
sina hakika kama kuna jipya saana uloshauriwa hapa na hukulijua kabla...kuna ukimwi, kuna hatari ya kuvunja uchumba wenu nk. Yote hayo ni dhahiri shahiri...unayafahamu.Acha kutafuta vijisababu vya kujustfy huo upuuzi. Mtapeanaje namaba ya simu kwa ajili ya lifti eti asbh na jioni?Wee mwenyewe unam intertain, ndo maana anakuganda.
 
My boy, my boy, simple change your way home, don pickup her call, (bora lawama kuliko fedheha), as per what you wrote, i think yo life is little bite good, just enjoy yo life with yo bros and sis and yo wife to be, try to accomplish yo dreams to be someone, do not mix up things.
MKE WA MTU HATARI DONT TRY. UTAKUJA JUTA.

(ZINAA, its only sin which has different approach in bible, you can not overcome it by Jesus name, its writen IKIMBIENI ZINAA.)
 
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.

Unataka kushikishwa ukuta wewe usione vyaelea kuna jamaa anajinyima kumpendezesha huyo mwanamke
 
Tayari ame declare interest kwamba ni Mke wa Mtu, sio halali kwako kuendelea na mawazo ya kufanya nae mapenzi. Umedai kwamba ni mzuri mno, nakuhakikishia huo ni msukumo wa tamaa zako tu.

'Mungu hamjaribu mtu, lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe'.

Ni ushauri wangu kuwa msaidie lift kama dada yako na usiwe na mawazo ya kimapenzi. Siku moja mualike mwende kwa mchumba wako wakafahamiane na hizo tamaa zako zote zitatoweka kabisa.
 
sina hakika kama kuna jipya saana uloshauriwa hapa na hukulijua kabla...kuna ukimwi, kuna hatari ya kuvunja uchumba wenu nk. Yote hayo ni dhahiri shahiri...unayafahamu.Acha kutafuta vijisababu vya kujustfy huo upuuzi. Mtapeanaje namaba ya simu kwa ajili ya lifti eti asbh na jioni?Wee mwenyewe unam intertain, ndo maana anakuganda.

Come on BHT....a man can be a little bit kind...........and he said she is cute.
 
No matter how cute she is dont try that at home! Mke wa mtu ni mwiba mchungu! Don't live with that guilty in your life

Huyo mke naye ni hasara tu. Kwanza hastahili hiyo 'title' ya mke. Ni kinguchiro tu. 'Mke' mwenye staha hawezi kuchekea chekea wanaume kiholela.

In this day and age of the information super-highway, finding a decent partner who has an unimpeachable moral rectitude is like trying to find a needle in a haystack.
 
Unasikitisha sana! Huyo mchumba wako siku ukimuoa nawenzako wapenda kuwa na uhusiano naye,wewe utafurahi?
Acha uhuni kwa wake wa wenzio kwa sababu ya lift.
Mke wa mtu ni sumu!!!!! Fikiria angekuwa mke wako!!!
Lift isiwe sababu! Mwambie upo bussy na mchumba wako! Kwani mchumba wako ni KIMEO?
KIMSINGI,mwanamke huyo ni Malaya asiye mpenda mme wake, amekuingiza mjini nawe sasa unaingia!!! Ni hatari sana,mbona mademu bomba wapo wengi sana??
 
Kama angekudanganya kuwa hajaolewa,hapo tunge kusamehe! Kama unajua tayari kuwa ni mke wa mtu,mwepuke kama ukoma!!

Atakuletea matatizo.
 
Huyo mke naye ni hasara tu. Kwanza hastahili hiyo 'title' ya mke. Ni kinguchiro tu. 'Mke' mwenye staha hawezi kuchekea chekea wanaume kiholela.

In this day and age of the information super-highway, finding a decent partner who has an unimpeachable moral rectitude is like trying to find a needle in a haystack.

Napendaga kusoma post zako hasa kwasababu ya kujifunza ki-inglishi......Ngabu we ni noma!
 
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.
what goes around comes around, leo ukichukua wa mwenzako kesho watachukua wa kwako utajisikiaje, hata kama yule mume hakuoni acha. just think like this.. mpo wewe na yeye wa tatu ambaye atamwambia mume wake ni Mungu wenu, so do no think mko wawili tu, na zimkufikia mume wakeee... wafaaa ... sumu hiyo wadau wengine wameshasema.. acha , na vile vile mchumba wako akisikiaaaa, utakosa yote wewe..

shinda majaribu kijana,usipokee simu yake , uki-ignore mara kadhaa basi ata-lose interest
 
Well then weka akili yako kwa mpenzi wako...hiyo mitego unayoongelea hata sijaiona...we unachotaka ni huruma ili ukiamua kufanya kweli urudi hapa kupokea huruma zaidi.Naamini kila mtu anaweza kua na msimamo akitaka....na wewe kua na msimamo.Kam kumpa lift ni tatizo sana mjulishe kwamba hutoweza tena na unaomba msitishe mawasiliano pia.Sidhani kama kuna anachokudai kinachokufanya usiwe na maamuzi juu ya kutaka au kukataa mawasiliano/ukaribu nae.

Thanks, nimekuelewa
 
Back
Top Bottom