Jamal Khashoggi: Mke wa mwanahabari aliyeuawa apata hifadhi ya kisiasa Marekani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Mke wa Jamal Khashoggi, Mwandishi wa Habari aliyeuawa katika Ubalozi mdogo wa Saudia Mjini Istanbul, amepewa hifadhi ya kisiasa nchini Marekani.

Khashoggi alifariki Oktoba 2018, ambapo ujasusi wa Marekani umesema unaamini Saudi Arabia ndiyo iliyohusika na mauaji hayo.

Hanan Elatr, mke wa Khashoggi, alihofia usalama wake na alifika Marekani Agosti 2020 kuomba hifadhi.

BBC ilikagua hati zinazoonyesha alipewa hadhi ya ukimbizi kwa muda usiojulikana mnamo 28 Novemba.

"Tumeshinda," Elatr aliambia BBC, hisia zikimshika kooni. "Ndio walichukua maisha ya Jamal na kuharibu maisha yangu, lakini tulishinda."

Imepita zaidi ya miaka mitatu tangu Elatr aombe hifadhi ya kisiasa Marekani. Ameshikilia maisha yake yangekuwa hatarini ikiwa atarejea Misri, ambako anatoka, au Umoja wa Falme za Kiarabu - nyumba yake ya zaidi ya miaka 25.

Mhudumu huyo wa zamani wa ndege ya Emirates alikuja Marekani na kuishi kwa kuhofia usalama wake huko Maryland kwa miezi mingi, akiacha kazi na maisha yake, wakili wake Randa Fahmy alisema katika mahojiano.

Hatimaye aliweza kupata kibali cha kufanya kazi mnamo Oktoba 2021 ili kuanza maisha yake mapya Marekani. Elatr sasa ana kazi na nyumba - ingawa anatatizika kupata riziki.
"Imekuwa mchakato mrefu," Fahmy alisema.

Licha ya muda uliochukua, Elatr alitoa shukrani kwa Rais Joe Biden na utawala wake kwa "kunifungulia mlango". Alisema "ametulizwa kutokana na kuogopa".

Elatr hatimaye alihojiwa na huduma za uhamiaji za Marekani mwezi Machi katika mchakato ambao wakili wake aliuelezea kuwa "wa kutisha sana" kwa kiwango cha maelezo na marudio ambayo ilihitaji.

Walitarajia kupokea jibu katika muda wa siku 60 hadi 90, lakini Bi Fahmy anaamini kwamba mchakato wa kutuma maombi uliendelezwa na mazungumzo yanayoendelea kati ya Marekani, Saudi Arabia na Israel.

Wanawake hao wawili waliomba usaidizi wa wanachama mbalimbali wa Congress, lakini wakamwita mbunge Don Beyer na Seneta Tim Kaine "mabingwa wao kwenye Capitol Hill".

Wabunge wote wawili waliambia BBC kwamba walifurahi kumsaidia Bi Elatr na walifarijika kusikia habari hizo. Bw Beyer alisema ni "kesi iliyo wazi zaidi kwa hifadhi ya kisiasa inayoweza kufikiria".

"Baada ya yote ambayo yeye na familia yake wamepitia, ni vyema kuona wakipewa kutambuliwa huku na kiwango cha usalama kitakachofuata," Bw Beyer alisema kwenye taarifa. "Nitaendelea kumuunga mkono Bi Khashoggi anapotafuta kuwajibika kwa mauaji ya mumewe, dhuluma mbaya ambayo sitaisahau."

Elatr na wakili wake walisema kwamba kupata hifadhi ya kisiasa kutatumika kama njia ya "kupeleka kesi yetu mbele zaidi ili kuleta haki kwa Jamal."


==== ======= ===========

Jamal Khashoggi: Wife of murdered journalist wins US political asylum

The wife of Jamal Khashoggi, the journalist who was murdered at the Saudi consulate in Istanbul, has been granted political asylum in the US.

Mr Khashoggi died in October 2018, and US intelligence has said it believes Saudi Arabia was behind the killing.

Hanan Elatr, Mr Khashoggi's wife, feared for her safety and came to the US in August 2020 to apply for asylum.

The BBC reviewed documents showing she was granted indefinite asylum status on 28 November.

"We did win," Ms Elatr told the BBC, emotion catching in her throat. "Yes, they took Jamal's life and they destroyed my life, but we did win."

It has been more than three years since Ms Elatr first applied for political asylum in the US. She has maintained that her life would be in danger if she returned to Egypt, where she is from, or the United Arab Emirates - her home of more than 25 years.

The former Emirates flight attendant came to the US and lived afraid for her safety in Maryland for many months, abandoning her job and life, her attorney Randa Fahmy said in an interview.

Eventually she was able to obtain a work permit in October 2021 to begin her new life in the US. Ms Elatr now has a job and apartment - though she struggles to make ends meet.

"It's been a lengthy process," Ms Fahmy said.

Despite the time it took, Ms Elatr expressed gratitude to President Joe Biden and his administration for "opening the door for me". She said she is "relieved from feeling scared".

Ms Elatr finally interviewed with US immigration services in March in a process that her attorney described as "pretty traumatic" for the level of detail and repetition that it required.

They expected to receive a response in 60 to 90 days, but Ms Fahmy believes that the application process was held up by ongoing negotiations between the US, Saudi Arabia and Israel.

The two women enlisted the help of various members of Congress, but called congressman Don Beyer and Senator Tim Kaine their "champions on Capitol Hill".

Both lawmakers told the BBC that they were happy to help Ms Elatr and were relieved to hear the news. Mr Beyer said it was "the clearest case for political asylum imaginable".

"After all that she and her family have been through, it is good to see them granted this recognition and the measure of security that will come with it," Mr Beyer said in a statement. "I will continue to support Mrs Khashoggi as she seeks accountability for her husband's murder, a terrible injustice which I will not forget."

Ms Elatr and her attorney said that obtaining political asylum will serve as a springboard "to take our case further to bring justice for Jamal".

Source: BBC
 
Atulie Sasa aache ugaidi wa kidini kama kaka zake.
Jamal na huyo mkewe ugaidi wapi na wapi. Jamal aliuawa wa kupinga utawala wa Saudia, aliyetoa maagizo ni Bw. salman. Marekani ilishindwa hata kumwekea vikwazo maana waliposema tu kuhusu hilo Bw. salman akataka wafungia vioo ikabidi waachane na vikwazo. Na mpaka sasa mojawapo ya sababu zinazosemekana kwanini Salman hampendi Biden ni hilo la kuwaza hata kumwekea vikwazo ndio maana hata anampotezeaga.
 
Jamal na huyo mkewe ugaidi wapi na wapi. Jamal aliuawa wa kupinga utawala wa Saudia, aliyetoa maagizo ni Bw. salman. Marekani ilishindwa hata kumwekea vikwazo maana waliposema tu kuhusu hilo Bw. salman akataka wafungia vioo ikabidi waachane na vikwazo. Na mpaka sasa mojawapo ya sababu zinazosemekana kwanini Salman hampendi Biden ni hilo la kuwaza hata kumwekea vikwazo ndio maana hata anampotezeaga.
Waislamu hamuaminiki dunia nzima,huyo kujilipua na mabomu ni dakika sifuri,ndio maana India ilitunga Sheria kabisa ya kuwazuia wahamiaji wa kiislamu na China inawadhibiti waislamu vilivyo ili wasilete ugaidi wao.
 
Waislamu hamuaminiki dunia nzima,huyo kujilipua na mabomu ni dakika sifuri,ndio maana India ilitunga Sheria kabisa ya kuwazuia wahamiaji wa kiislamu na China inawadhibiti waislamu vilivyo ili wasilete ugaidi wao.
Kwanza mimi si Muislamu na pili huyo dada ni Mturuki. Unaeneza chuki tu
 
Wewe ungejua kama marekani asingepaza sauti?,kisha uturuki akafuata,hii dunia bila marekani kuwadhibiti waislamu isinge kalika wallah
Toa ujinga wako hapa 😅😅😅Marekani ndio kaondoa uongozi wa maana kule saudia na kumpa kibaraka aliyeua mtu .


Marekani na wenzie ndio hao wanabadili dini yenu kuwa ya mashoga sasa.

Kumaliza watoto kule Gaza sio ugaidi? Kule libya .

Kijana tafuta elimu nahisi upo idle sana .!!
 
Watu hawakuwa na shida na yeye, waliyekuwa na shida nae yanajulikana yaliyomkuta.

Ni heri ajikalie kimya tu. US na Saudi Arabia ni kitu kimoja, hakuna mwenye afadhali wala kumjali hapo.
 
Sio chuki ni hivi,waislamu kwa Sasa wanaua binadamu wengi kuliko magonjwa,kwa kigezo cha sio Imani zao.
Nakubali ila pia nchi kama Marekani na Uingereza zimefanya hivyo hivyo kwa maslahi yake yenyewe. US imeua watu vietnam, imeua watu Korea Kaskazini, Iraq, Libya.
Kuna muda hadi wao wenyewe wanajilaumu kuwa uvamizi wao umeleta destabilization masharki ya kati kuliko ilivyokuwa awali
 
Waislamu hamuaminiki dunia nzima,huyo kujilipua na mabomu ni dakika sifuri,ndio maana India ilitunga Sheria kabisa ya kuwazuia wahamiaji wa kiislamu na China inawadhibiti waislamu vilivyo ili wasilete ugaidi wao.
Wewe punguani China kuna Waislam
Miliom 100 wewe hujui lolote zaidi ya chuki dhidi ya Waislam.
 
Nakubali ila pia nchi kama Marekani na Uingereza zimefanya hivyo hivyo kwa maslahi yake yenyewe. US imeua watu vietnam, imeua watu Korea Kaskazini, Iraq, Libya.
Kuna muda hadi wao wenyewe wanajilaumu kuwa uvamizi wao umeleta destabilization masharki ya kati kuliko ilivyokuwa awali
Kwanini wanakimbilia kuomba hifadhi kwa makafri? Egypt, Qatar, Iran zipo ni nchi zenye uchumi mzuri , kwanini wasiende huko ambako watakuwa na uhuru mzuri wa kuabudu na kufanya mambo yao ya kiimani kwa uhuru?
 
Kwanini wanakimbilia kuomba hifadhi kwa makafri? Egypt, Qatar, Iran zipo ni nchi zenye uchumi mzuri , kwanini wasiende huko ambako watakuwa na uhuru mzuri wa kuabudu na kufanya mambo yao ya kiimani kwa uhuru?
Itakuwa vizuri ukiwauliza wao mkuu
 
Back
Top Bottom