Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you.

Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku mara north pole mara South Pole.

Nakwambia hivi kwa sababu Nina experience ya kuwa baba kijana mwenye mtoto wa kike.

I am 16 years older than my first daughter. She is more of my younger sister than my daughter.

Mimi mwenyewe mwanzoni when she was still a young girl nilikuwaga muhanga wa tatizo la kisaikolojia linalo wasumbua wanaume wengi walio pata watoto wa kike kwa mara ya kwanza na ambao bado hawaja vunja ungo ambalo linaitwa " a proud daddy"

Kwa bahati mbaya au nzuri, tatizo hilo hata wewe mdogo wangu Shetta uko nalo.

Ni hivi, mwanaume mwenye tatizo hili la kisaikolojia, pamoja na mambo mengine, huwaga ana amini kwamba :👇

1. Binti yangu ni innocent.

2. She is a virgin and very smart.

3. Anaogopa wanaume kwa sababu anajua wanaume ni waharibifu ( 🤣🤣🤣 wazo la kitoto kweli)

4. She will remain a virgin until she becomes of full age ( Ataanza kuwa na boy friend atakapo fika chuo kikuu huko ambako tayari amesha kuwa mtu mzima.

Wakati wewe unawaza kwamba binti yako ataanza kudili na wanaume atapo fika chuo kumbe mwenzako kaanza tangu usiku wa manane.

Binti akianza kudili na wanaume akiwa bado mdogo anakuwa ana defy the 1st Newton's Law of Motion which is to the effect that " A body at motion will remain at its motion unless it acted upon by an outside force"

Jambo hili litakuwa kinyume na matarajio ya mgonjwa wa " a proud daddy syndrome "

Huyu mwanaume au wanaume au mapenzi na mahusiano kwa ujumla kwenye maisha ya binti yako yata act kama outside force which will push your daughter away from her orbit to her destiny.

Badala ya safari kwenda :
Nursery 👉 Primary 👉Seco👉 high school 👉 University 👉 then starting her life.

Something else can happen in between na safari kuwa like👇

Nursery 👉 Primary 👉Seco👉 becoming a mother to child whose father is unknown 👉 ( U can mention it)

Mi mwenyewe niliwahi kuwa muhanga wa tatizo hilo la kisaikolojia.

I was fronting like a very proud daddy. Mapicha picha kibao . My daughter this my daughter that..Treating her like a queen, kumsomesha kwenye shule za gharama na kufanya kila kitu ndani ya uwezo wangu kuhakikisha she reaches her dream.

But when she entered puberty age ndio nikajua what is the difference between over all and all over.

Mtoto wa kike akisha anza kuwa na boy friend she sacrifices the part of you in her heart and put her boy friend in the stead.

You become a surplus. Cause she has already replaced your authority with that of her boy friend

Anaanza kumsikiliza na kumtii zaidi boy friend wake kuliko wewe..

Wewe ukisema aende akakae boarding kiboy chake kikimwambia asome day the word of her boy friend will prevail over yours.

Kama shule unayo taka kumtoa ni mbaya mtoto amefeli hajafeli?

Mi mwenyewe utotoni videmu vyangu vilikuwaga vinatii amri zangu kuliko baba zao..

Kuna mmoja siku moja nimemwambia aje gheto saa 4 asubuhi akaja saa 5.

Me : mbona umechelewa hivyo kuja?
Yeye : baba leo alinituma.

Me : unamaanisha nini barbra? Are you serious? Ina maana kati ya Mimi na baba ako nani zaidi?

Yeye : baby me naona wote mpo sawa tu.

Mimi ( kwa sauti ya ukali) : unasemaje wewe ????

Yeye ( kwa sauti ya chini na ya kuomba msahama) ;

Basi mpenzi wewe ndo zaidi.

Mimi : Eboo!!!

Ndio maana zamani mtoto wa kike akisha vunja ungo tu anaozeshwa.

Hata hivyo mtoto huyu wa kike alie asi mamlaka ya baba ake nyumbani huwaga anajirudi akiwa na around miaka 20 hadi 25 hivi wakati huo tayari:👇

1. Ameisha jua dunia tayari.

2. Ameshakuwa single mother.

3. Amepigwa matukio kwenye mahusiano.

4. Classmates wake wa secondary wamemaliza chuo wana kazi zao na maisha yao tayari.

5. Ambao hawakubatika kwenda chuo lakini hawakuwa asi baba zao wapo kwenye ndoa zao wana biashara na shughuli zao.

Bahati mbaya ni kwamba binti huyu anajirudi kwa baba ake katika kipindi ambacho baba ake tayari amesha move on. Ameshakubaliana na matokeo .Ameshakubali ukweli mchungu kwamba watoto wote wa kike wapo hivyo. ( mtu kama p.funky ameshakubali matokeo kwa Paula muda mrefu sana )

And he has nothing to do with her. ( not p.funky am talking about the father who has already move on )

Binti anarudi home anamwambia baba nataka kwenda kusoma QT.

Baba anakuwa hana tena interest with her daughters education. Huu ushirikiano ambao binti anauonyesha now alipaswa kukuonyesha at the right time when she was 15 or something sio tayari amesha kuwa lishangazi.

SULUHISHO.

1. NEVER BE A PROUD DADDY TO YOUR DAUGHTER CAUSE AT THE END OF THE DAY YOU WILL BE DIS APPOINTED BIG TIME.

2. ISHI NA UKWELI HUU:
Huwezi kumzuia mtoto wako wa kike asigongwe. Ila unaweza Kumchelewesha. Badala ya kuanza kugongwa akiwa na miaka 12 basi at least aanze akiwa na 15 au zaidi.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-08-17-16-20-08-01.jpg
    Screenshot_2023-08-17-16-20-08-01.jpg
    34.9 KB · Views: 9
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you.

Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku mara north pole mara South Pole.

Nakwambia hivi kwa sababu Nina experience ya kuwa baba kijana mwenye mtoto wa kike.

I am 16 years older than my first daughter. She is more of my younger sister than my daughter.

Mimi mwenyewe mwanzoni when she was still a young girl nilikuwaga muhanga wa tatizo la kisaikolojia linalo wasumbua wanaume wengi walio pata watoto wa kike kwa mara ya kwanza na ambao bado hawaja vunja ungo ambalo linaitwa " a proud daddy"

Kwa bahati mbaya au nzuri, tatizo hilo hata wewe mdogo wangu Shetta uko nalo.

Ni hivi, mwanaume mwenye tatizo hili la kisaikolojia, pamoja na mambo mengine, huwaga ana amini kwamba :👇

1. Binti yangu ni innocent.

2. She is a virgin and very smart.

3. Anaogopa wanaume kwa sababu anajua wanaume ni waharibigu ( 🤣🤣🤣 wazo la kitoto kweli)

4. She will remain a virgin until she becomes of full age ( Ataanza kuwa na boy friend atakapo fika chuo kikuu huko ambako tayari amesha kuwa mtu mzima.

Wewe unawaza binti yako ataanza kudili na wanaume atapo fika chuo kumbe mwenzako kaanza tangu usiku wa manane.

Kwa mindset ya baba mwenye tatizo hili la kisaikolojia, binti akianza kudili na wanaume akiwa bado mdogo anakuwa ana defy the 1st Newton s Law of Motion which is to the effect that " A body at motion will remain at its motion unless it acted upon by an outside force"

Huyu mwanaume au wanaume au mapenzi na mahusiano kwa ujumla kwenye maisha ya binti yako yata act kama outside force which will push your daughter away from her orbit to her destiny.

Badala ya safari kwenda :
Nursery 👉 Primary 👉Seco👉 high school 👉 University 👉 then starting her life.

Something else can happen in between na safari kuwa like👇

Nursery 👉 Primary 👉Seco👉 becoming a mother to child whose father is unknown 👉 ( U can mention it)

Mi mwenyewe niliwahi kuwa muhanga wa tatizo hilo la kisaikolojia.

I was fronting like a very proud daddy. Mapicha picha kibao . My daughter this my daughter that..Treating her like a queen, kumsomesha kwenye shule za gharama na kufanya kila kitu ndani ya uwezo wangu kuhakikisha she reaches her dream.

But when she entered puberty ndio nikajua difference between over all and all over.

Mtoto wa kike akisha anza kuwa na boy friend she sacrifices the part of you in her heart and out hee boy friend in the stead.

You become a surplus. Cause she has already replaced your authority with that of her boy friend

Anaanza kumsikiliza na kumtii zaidi boy friend wake kuliko wewe..

Wewe ukisema aende akakae boarding kiboy chake kikimwambia asome day the word of her boy friend will prevail over yours.

Kama shule unayo taka kumtoa ni mbaya mtoto amefeli hajafeli?

Mi mwenyewe utotoni videmu vyangu vilikuwaga vinatii amri yangu kuliko baba zao..

Kuna mmoja siku moja nimemwambia aje gheto saa 4 asubuhi akaja saa 5.

Me : mbona umechelewa hivyo kuja?
Yeye : baba leo aliituma.

Me : hee unasemaje barbra? Are you serious? Ina maana kati ya Mimi na baba ako nani zaidi?

Yeye : baby me naona wote mpo sawa tu.

Mimi ( kwa sauti ya ukali) : unasemaje????

Yeye ( kwa sauti ya chini na ya kuomba msahama) ; Basi mpenzi wewe ndo zaidi.

Mimi(kimoyomoyo) nilitaka kushangaa.

Ndio maana zamani mtoto wa kike akisha vunja ungo tu anaozeshwa.

Hata hivyo mtoto huyu wa kike alie mamlaka ya baba nyumbani huwaga anajirudi akiwa na around miaka 20 hadi 25 hivi wakati huo tayari:👇

1. Ameisha jua dunia tayari.

2. Amekuwa single mother.

3. Amepigwa matukio kwenye mahusiano.

4. Classmate wake wa secondary wamemaliza chuo wana kazi zao na maisha yao tayari.

5. Ambao hawakubatika kwenda chuo lakini hawakuwa asi baba zao wapo kwenye ndoa zao wana biashara na shughuli zao.

Bahati mbaya ni kwamba binti huyu anajirudi aka baba wakati huo baba tayari amesha move on. Ameshakubali kwamba watoto wote wa kike wapo hivyo. ( mtu kama p.funky ameshakubali matokeo kwa Paula muda mrefu sana )

And he has nothing to do with her.

Binti anarudi home anamwambia baba nataka kwenda kusoma QT.

Baba anakuwa hana tena interest with her daughters education. Huu ushirikiano ambao binti anauonyesha now alipaswa kukuonyesha at the right time when she was 15 or something sio tayari amesha kuwa lishangazi.

SULUHISHO.

1. NEVER BE A PROUD DADDY TO YOUR DAUGHTER CAUS E AT THE END OF THE DAY YOU WILL BE DIS APPOINTED BIG TIME.

2. ISHI NA UKWELI HUU:
Huwezi kumzuia mtoto wako wa kike asigongwe. Ila unaweza Kumchelewesha. Badala ya kuanza kugongwa akiwa na miaka 12 basi at least aanze akiwa na 15 au zaidi.

Kimombo wanasema

Live, and let live!

Zingatia.hili.
 
Kamuweka kwenye siasa awe kama Kuna joketi ,,hajui kina joketi walianza Kwanza kupigwa paipu na wahuni mataani ,mond ,kiba mpaka akarudi Kwa mwenyezi Mungu ndio akafika pale alipo ....

Najua shetta anataamin Yule mtoto awe kwenye malezi mazuri ,aje kuwa kiongozi WA kuigwa nchi hii ....lakin Nampa taarifa kuwa apunguze matarajio kabisa .....
 
Ukweli mchungu sana huu mkuu
 
Ukweli mchungu huu.
 
Wabongo kwa uchawi tumezidi ..Mimi nampa hongera sana shetta kwa malezi anayo mpa mwanae na pia binti yetu Mungu amjalie maisha mema.Sasa kukaa tunamwobea mabaya tunafaidika na nn mfano mtoto akasoma comment kama hizi si anaona utiifu wake na upambanaji wake hauna faida azibuke tu awe mshenzi kisa kuna wazee wameshindwa kulea watoto wao.
 
Inategemea na malezi ngono ni starehe inayomsumbua masikini kwasababu anakuwa Hana Adventure za kuijenga akili ,mwili na roho.

Sheta yupo sahihi Sana anajitambua .

Personally nimeshuhudia watoto wengi wa kike wakitoboa hadi chuo wakiwa wapo vizuri ,mentality ,spiritual , and physically.

Negativity is going to sink in ur Family if you will keep it on ur mind.
 
Back
Top Bottom