Wanapata kaupepo fulani natural kule mahala.
Ha ha haaa , Hii kali utapata ajali.
Kupakizwa mkuu, hawaendeshi.
Hizi style mpya nahisi, si unajua vipya vinavyokuwa vitamu mpaka basi.
KUPAKIWA BABU RAHA na dereva mbele awe anatema kikwapa weeeeee raha nakwambia utaweka pua pemben mpk ukome
Mmh,, kwa hiyo ikipita kwenye mashimo ndio mwapata uroda zaidi!Kupanda pikipiki Raha bwana hasa dereva akiwa anakurusha rusha.