Ni kewli kina dada wanapenda pikipiki?

Babaubaya hili inawezekana lina ukweli! Halafu anapita kwa X- wake teh teh tehh!
 
mi nitaanzisha biashara ya pikipiki, mdada ukija nakupa VIP service, unaenda mwenyewe mi nakaa nyuma.
 
Ha ha haaa , Hii kali utapata ajali.

si ndio maana zinaongoza kwa ajali we unafikiri ni nini kinasababisha halafu na nyie wanaume mnaopanda pikipiki unakuta umemshika mwanaume mwzio kiuno mnasababisha ajali eti
 
Sa akipanda taxi viwalo vyake utavionaje?

Akipanda tax ujue amerudia kuvaa nguo ya jana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom