Kuna muda askari tigo ni waelewa

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Nimetoka kukamatwa na askari tigo wale wanaopakizanaga kwenye pikipiki...kwanza picha linaanza Mimi mwenyewe nimeishiwa mafuta ndio nimetoka kumshusha abiria wangu achukue usafiri mwingine ..wakati napiga hesabu ninaeendaje Petro station Sina hili Wala lile Mara jamaa hao...walivofika sikuwa na Chochote zaidi ya kusema tu Sina hela yoyote ila pikipiki hii hapa Kama mnanipeleka polisi sawa...wakasema sawa hakuna shida ngoja tukupige mguu Hadi kituoni...nikawaambia sawa

Wakaanza kuniambia ko huna hela yoyote Ile ..mi nikawajibu Sina Nina 3500 tu ndio hio ya mafuta na ndio nilitaka nisukume pikipiki hadi sheli,...bhasi wakaachana na mimi wakaenda zao...kiukweli wamenishika Sina hela yoyote Ile wamekosa namna..
 
Mkuu Mimi niliwaambia ni mwanaume mwenzao Kama wanashindwa kunielewa basi wanipeleke kituoni
Umefikia hatua ya kusifu askari waliokudai rushwa lakini kwa bahati mbaya ukawa huna cha kuwapa? Unatania jukwaa? Kabla sijasoma mpaka mwisho nilidhani utasema walikusaidia kwa kukupunguzia mafuta kidogo ili ufike kituo cha mafuta cha karibu.
 
Wabongo kwa kutungia watu vitu majina eti askari tigo. Siyo watu tu hata magari eti Harrier tako la nyani. Kulikuaga balloon, chaser mayai yani wabongo.

Ndo maana ma national disgrace kina mwijaku kila mwaka yanachipuka na kuibuka.
20240313_133001.jpg


Halaaaaa!

Mr Q
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom