Ni kewli kina dada wanapenda pikipiki?

Oooops! Umefikiria mbali mkuu!!
1. Bajaji na Pikpiki ni Bei nafuu kuliko Tax.
2. Bajaji na Pikipiki wanapata hewa safi si unajua joto la siku hizi coz wenye Tax hawawashi AC.
Ni maoni 2!!

Kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, Nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.
 
Lakini mbona wanatongozwa sana kwenye foleni za Dar wawapo wanaendesha mikoko yao? Kwa ishara tu huwa wanalazimika kutoa namba zao za simu...........basi tena!!!!!!!

Eti nini? Sijasikia naomba urudie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111
 
Tunapanda pikipiki kwa sababu kwanza kwa vile zipo zinapatikana kwa bei rahisi, na fasta fasta haziangalii sana foleni,

Duhh mm nikipakia dada kwa tuktuk napenda anishike kiuno tu kama Ubungo- k.koo natumia saa moja
 
Duhh mm nikipakia dada kwa tuktuk napenda anishike kiuno tu kama Ubungo- k.koo natumia saa moja

Mmmm kaka, mwone vile ndo maana unachungulia wenzako.
Mi ukinipa lift sishiki kiuno wala nini!!!
 
Wanachopendea kule nyuma ni ile kutingishwa tingishwa wanajisikia rahaaaa na utamuuuuuu:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Wanaepuka gharama bwana sasa kama unalipa 500 kwa bajaji ukichukua tax ni 3000 wewe utachukua nini??

Nakuunga mkono DESIDII hawa wenzetu walio wengi wana nguvu ndogo za kiuchumi hivyo siyo rahisi kwa wao kutumia taxi mara kwa mara.
 
Pikipiki na bajaj zote abiria hukaa nyuma, na nyuma kuna raha yake

avatar13443_6.gif
bujibuji yuko kazini utaona tu mambo yake
 
Nakuunga mkono DESIDII hawa wenzetu walio wengi wana nguvu ndogo za kiuchumi hivyo siyo rahisi kwa wao kutumia taxi mara kwa mara.

Kipato kidogo mh, labda ungeniambia wanajua kubana matumizi.... hela wanazo saaana.
 
Mmmm kaka, mwone vile ndo maana unachungulia wenzako.
Mi ukinipa lift sishiki kiuno wala nini!!!

ha ha haaaa LD unaogopa nini wakati huyo Fidel80 atakuwa mbele yako?
 
CHEAP.....mara nyingi mademu wanaopanda pikipiki na bajaj either hawana boyfriend, au boyfriend hana usafiri.......jaribu kuangalia mademu wenye boyfriend/husband anayeendesha gari la ukweli, uone kama wanapanda hii kitu.
 
madada hata wakiwa peke yao, utaona wanashare chips na soda, eti diet.....mpe ofa uone anavyoagiza kuku mzima.
 
WanaJF Nimekaa Tanga kwa muda kama wa Mwaka Mmmoja nilichijifunza kule ni kwamba Wanawake wa kule wanapenda sana Pikipiki yaani ukiwa na ndinga (gari) wewe sio kitu. Nilichogundua ni kuwa wanapenda show Off kwa wanzao waliojikoki na kupumzika vibarazani huku wakisubiri Haruwa na tende. Kuna siku jamaa mmmoja ambaye anaenesha Boda boda Pikipiki akinipa senario Moja ambayo kimsingi ilinipa uhakika zaidi kuwa tanga na pikipiki ni balaa, jamaa akaniamabia kuwa alimpakiza dada mmoja kumtoa Chumbageni kumpupeleka sahare kupitia barabara inayoenda bombo hospital cha ajabu yule dada akamwamuru jamaa apite Taifa road eti kwa kuwa ndio baaraba ina watu wengi na anataka aonekane kule, alivyofika maeneo karibu na Uwanja wa Tangamano demu alimkumbatia jamaa wa bodaboda hadi jamaa akapata mfadhaiko coz alikuwa anafanya kama anapapasa hadi kunako Jembe. Nilihisi pengine jamaa alipakiza Changudoa lakini alinieleza kuwa hiyo ni kawaida kwa watoto wa Tanga ila kila mmoja huwa anakuja na staili yake mwingine akushika mabega, mwingine kiuno, mwingine anakukumbatia basi ili mradi tu aonekane kuwa yupo na anaendeshwa kwenye pikipiki sijui ndo kuonesha mapenzi yalipozaliwa?

Kwa hiyo hali hiyo pengine ndiyo inasambaa ikitokea Tanga na kuenea kwingineko!!
 
Back
Top Bottom