Ni kiongozi gani wa kisiasa amewahi kutumia bajaji na pikipiki kutekeleza majukumu yake? Je, Makonda akiwa RC aliwahi kufanya hivyo? Kwanini sasa?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,124
Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki.

Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake?

Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani?

Akiwa kwenye majukumu binafsi anatumia pikipiki au ni kwa ajili ya kupigia picha?

Huu ukoloni wa fikra.
 
Kwahiyo unatakaje sasa?

Coz naona umelalamika wanatumia v8 kisha pia ukalalamika kua wanatumia Bajaji na Pikipiki!!
 
Haisaidii kitu kwani pesa ya mafuta amepewa
 
Kuna pinda aliwahi kuikataa V8 na kujiita mtoto wa mkulima wa katavi?

Je, alikuwa hatumii shangingi?
 
Kwahiyo unatakaje sasa?

Coz naona umelalamika wanatumia v8 kisha pia ukalalamika kua wanatumia Bajaji na Pikipiki!!
Hoja ni kwamba huyo anadanganya kwasababu tayari pesa ya mafuta amelipwa, pikipiki ni danganya toto
 
Nadhani Nchi yetu elimu pia ni tatizo haiingii akilini kwa mtu mwenye wadhifa wa katibu mwenezi ccm kutoa hotuba isiyo yakistaalabu kama ile tena kwa nyakati za mwanzo, mjinga pekee ndo anaweza akatumaini kua atakisaidia chama kukua zaidi.
 
Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki.

Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake?

Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani?

Akiwa kwenye majukumu binafsi anatumia pikipiki au ni kwa ajili ya kupigia picha?

Huu ukoloni wa fikra.
Makonda Leo kanifurahisha sana kumtaja Magufuli badala ya Samia hapo dodoma wakati anatoa hotuba muda huu.
Kachemka kupitia channel 10.
Kweli Magufuli bado anaishi mioyoni mwa wengi hadi makonda.
Salaam hizi kwa rais.
 
Nadhani Nchi yetu elimu pia ni tatizo haiingii akilini kwa mtu mwenye wadhifa wa katibu mwenezi ccm kutoa hotuba isiyo yakistaalabu kama ile tena kwa nyakati za mwanzo, mjinga pekee ndo anaweza akatumaini kua atakisaidia chama kukua zaidi.
Siku atakapo anza kuwashika nyeti ndipo akili zitawarudi, bahati mbaya watakuwa wamechelewa, kama ni aibu watakuwa tayari wameshaipata.
 
Back
Top Bottom