Nguvu kubwa zimetumika? Haya ndo wanaelezewa pale UDOM sasa hivi.

Tatizo wachangiaji wengi hamjui kuwa kuwa hapa udom kuna kikundi cha wanafunzi wachache wanaoishobokea ccm na cku zote hupewa airtime ya kutosha ktk media kwa upuuz wowote wanaosema either kwa kuponda upinzan au kuicfia ccm so nawaomba mnapogeneralize na kuponda wanaudom wote mzingatie hlo cz kuna usemi usemao 'no research no right 2 speak'
 
Samaki mmoja akioza wote wameoza. FFU zidisha kipigo mpaka UDOM wajue maana ya neno usomi. Ni kujua mazingira yako na jinsi ya kukabiliana nayo. Usomi siyo kushabikia ufisadi ili uweze kuwa fisadi. Usomi ni kuwa na elimu na hekima katika kuleta maendeleo katika maisha yako pamoja na ya wale wanaokuzunguka. FFU tumieni risasi za moto
 
Du lakini hawa polisi inabidi wapewe mafunzo jinsi ya kupiga jamani! INGEKUWA CHADEMA WAMEINGIA MADARAKANI UNGESIKIA, CHADEMA WAMWAGA DAMU UDOM GAZETI LA MTANZANIA HILII!
 
Kamwe huwezi kumnyamazisha kwa kumpiga! kwa taarifa yenu, wapo wanafunzi ambao wako vizuizini vijijini kwao tangu ule mgomo wa mwaka jana udom! leo ni huko kesho ni pengine!! CCM imezeeka
 
Imekaa vizuri sana hii, nimeipenda
 
Tatizo wachangiaji wengi hamjui kuwa kuwa hapa udom kuna kikundi cha wanafunzi wachache wanaoishobokea ccm na cku zote hupewa airtime ya kutosha ktk media kwa upuuz wowote wanaosema either kwa kuponda upinzan au kuicfia ccm so nawaomba mnapogeneralize na kuponda wanaudom wote mzingatie hlo cz kuna usemi usemao 'no research no right 2 speak'
MKUU TUNAJUA YOTE HAYO BUT KWANINI MUWAPE UONGOZI WAPUUZI HAO ANI VYUO AU UNADHANI VYUO VINGINE HAVINA WATU WA HIVYO?? PIGENI CHINI UONGOZI WAMAPAPET HUO UPO KILA SEHEMU! n
 
Tatizo wachangiaji wengi hamjui kuwa kuwa hapa udom kuna kikundi cha wanafunzi wachache wanaoishobokea ccm na cku zote hupewa airtime ya kutosha ktk media kwa upuuz wowote wanaosema either kwa kuponda upinzan au kuicfia ccm so nawaomba mnapogeneralize na kuponda wanaudom wote mzingatie hlo cz kuna usemi usemao 'no research no right 2 speak'

Kwani UDOM hakuna student org? kama ipo mbona matamko anapotolewa hawajitokezi kuyakanusha?
 
pole zao lkn hawa vijana hawanaga msimamo sasa hivi wanapewa kibano wkt juzi kwenye kampeni walikuwa began kwa bega na jk mashairi na mashati ya kijani sasa hawakuwa wamemwambia matatizo yao au aliwaahidi kuwatatulia akawatosa manake ni juzi tu wamepat naye sanjari na kumpa another udr leo wakilia inaacha maswali au waliokuwa wakimshabikia kawarekebishia?

Kwani wanafunzi ndio walitoa/mpa JK udoctor? Acha kuwahukumu wadogo zetu.
Ila wanatakiwa wajifunze kutokana na uzoefu waliopata kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita na kujua aina ya Viongozi wa kuchaguliwa ikiwa ni pamoja na wale wa serikali yao ya Wanafunzi.
 
Kamwe huwezi kumnyamazisha kwa kumpiga! kwa taarifa yenu, wapo wanafunzi ambao wako vizuizini vijijini kwao tangu ule mgomo wa mwaka jana udom! leo ni huko kesho ni pengine!! CCM imezeeka
 
Tatizo wachangiaji wengi hamjui kuwa kuwa hapa udom kuna kikundi cha wanafunzi wachache wanaoishobokea ccm na cku zote hupewa airtime ya kutosha ktk media kwa upuuz wowote wanaosema either kwa kuponda upinzan au kuicfia ccm so nawaomba mnapogeneralize na kuponda wanaudom wote mzingatie hlo cz kuna usemi usemao 'no research no right 2 speak'

No ninyi ni wasomi mnabidi muelezane kisomi pale yanapotokea,mbona wanapotoa kauli za general hamzipingi? wote ni wanafiki na waoga.
 
Acha kuleta umbea hapa,source ni muhimu. Tumewasiliana na wadogo zetu haya unayoongea hayajatokea. Ila kichapo wamekula

Unakosea kuuita umbea. Mtoa mada amesema wazi kuwa hizi habari zinahitaji uthibitisho zaidi (Yaani ni tetesi). Sasa umbea unatoka wapi? Kama huyo uliyewasiliana naye alitoroka shule siku hiyo utajuaje? Kwa sasa vyanzo vyote ni sahihi mpaka utakapovithibitisha vinginevyo.
 
Tatizo wachangiaji wengi hamjui kuwa kuwa hapa udom kuna kikundi cha wanafunzi wachache wanaoishobokea ccm na cku zote hupewa airtime ya kutosha ktk media kwa upuuz wowote wanaosema either kwa kuponda upinzan au kuicfia ccm so nawaomba mnapogeneralize na kuponda wanaudom wote mzingatie hlo cz kuna usemi usemao 'no research no right 2 speak'

Sasa nyie wasomi mmeona wazi usaliti wa hao ccm puppets halafu mkawaachia tuuu..wamefanya waliyofanya, ambapo yamewachafua wote..ilitakiwa muwadhibiti mapema kabisa, yaani tangu day one!!
Ok, sasa ni wakati wa mavuno..of course, mnavuna mlichopanda.
Nataraji nyie kama wasomi, kuanzia sasa m-define the way forward..anyway, hakuna wa kuwasaidia, ni jukumu lenu ninyi wasomi.
Kuna usemi rahisi kabisa: ukimchekea nyani utavuna mabua!
 
Tatizo wachangiaji wengi hamjui kuwa kuwa hapa udom kuna kikundi cha wanafunzi wachache wanaoishobokea ccm na cku zote hupewa airtime ya kutosha ktk media kwa upuuz wowote wanaosema either kwa kuponda upinzan au kuicfia ccm so nawaomba mnapogeneralize na kuponda wanaudom wote mzingatie hlo cz kuna usemi usemao 'no research no right 2 speak'

Na nyie mlio wengi mnawaachaje watu wachache waipe UDOM hiyo image. Kwani kukanusha kwenye vyombo vya habari hayo wanayosema wenzenu mnashindwa nini. Mmenyamaza kimya mpaka kila mtu anaamini kuwa nyie wote ni CCM.

Its your fault guys!
 
ahaaaaa!!!! Hawa watoto wananiabisha yaani wwanakimbia ffu!!!
Jamani tunaomba wale vijana wetu wa UNIVERSITY OF DARFU (UDSM) Muwape mafunzo wadogo zenu namna ya kuendesha migomo na kukomaa na polisi la sivyo nchi hii haitakomboleka.
Tunahitaji wasomi wengi wenye kujua dira ya nchi yetu na mapungufu yake ili tuweze kujikomboa.
 
Hawa polisi hawana adabu kabisa kuwapiga wana ccm, kichapo hicho walistahili kupewa wana chadema, kwani wana ccm ni malaika.Watoto wa watu walimchangia mkwere 1m leo polisi wanawashushia kipondo cha mbwa mwizi ama kweli siasa mchezo mchafu. CCM iliwatumia kama kondom wamemaliza shida zao wana kong'oli hivyo.

Wale FFU ni wa CHADEMA na walikuwa wanalipiza kisasa baada ya wanafunzi wa udom kushirkiana na Chama Cha Majambazi (CCM) ukizingatia FFU hawaelewani na majambazi
 
Kukwete kwanini huwatetei wafuasi wako. Kuwa na fadhila hata kwa kudanganya jamani. Nchi inakoelekea siko. Jaribu kufanya chochote kitu.
 
tunajifunza nini kati ya wanfunzi na serikali ya tanzania hivi ni kukosa uvumilivu kwa wanafunzi mwa miaka hii au serikali inashindwa kutoa huduma vizuri kwa wanfunzi
 
Kuna haja ya kupata ukweli wa kilichotokea UDOM maana kilichoandikwa humu ktk JF kinaonekana kama kuna chumvi ndani yake. Hebu mtoa habari atuambie chanzo cha mgomo ni nini?
 
Hivi waliogoma ni wanafunzi wa Chuo wote au ni wale wa Sociology tu? Kiongozi wao ni muumini wa Chama gani?
 
Back
Top Bottom