Chechetuka
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 549
- 44
Nadhani kuna haja ya kupata ukweli. Wanafunzi walitoa muda wa siku ngapi kwa Uongozi wa Chuo kutekeleza madai yao? Je, mtoa habari hizi kuna sehemu yeyote amegusia kitendo cha waandaaji wa mgomo kuwalazimisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili waende kushiriki mgomo huo? Mbona sijasikia kuhusishwa kwa mwanasiasa mmoja mwenye taaluma ya sheria ktk sakata hili?