Nguvu kubwa zimetumika? Haya ndo wanaelezewa pale UDOM sasa hivi.

...next time kabla ya kugoma, tengenezeni mabomu ya petroli kwenye chupa.....wakija hao 'angels of death' wa CCM (FFU) inakuwa jino kwa jino na pua kwa pua!!! hadi vurugu zinaisha kila upande unaenda kuzika maiti zake!!!!
 
Hawa polisi hawana adabu kabisa kuwapiga wana ccm, kichapo hicho walistahili kupewa wana chadema, kwani wana ccm ni malaika.Watoto wa watu walimchangia mkwere 1m leo polisi wanawashushia kipondo cha mbwa mwizi ama kweli siasa mchezo mchafu. CCM iliwatumia kama kondom wamemaliza shida zao wana kong'oli hivyo.


nimependa hapo knye rangi tu basi
 
Wache wale kichapo,tunapowaambia chuo ni zaidi ya madesa hawasikii,hongereni polisi kwa kazi nzuri japo mmezidisha kipimo
 
Tusichekelee sana jamani. mimi niliona kupitia TBC1 wale vijana walikuwa wakionyesha alama ya Vidole viwili a.k.a V. Sasa kuona hivyo polisi wakajua kumbe hatupambani na wanafunzi bali wanasiasa. Ndipo wakaanza kuvurumisha machozi ya Moshi.

Ni kikundi kidogo tu ndani ya wana UDOM wanashabikia CCM pale. Wengi wao ni washabiki wa vyama vingine. Tusije shabikia sana kumbe aliyedhurika ni ndugu yako.

Tujadili sababu za kugoma , utii kwa amri ya polisi, Utii kwa serikali iliyopo madarakani na namna Serikali inavyolishugulikia suala la wanafunzi kupewa field.
 
Sidhani kuwa ni wanafunzi wote wa UDOM wanashabikia CCM. Nashawishika kuamini kuwa media inatengeneza mazingira waonekane wanashabikia CCM ( i can be corrected though). Could be 5-10 percent of the students population ambao wanashabikia CCM.

Watakuwa wasomi gani hao wasiojua mbivu na mbichi!
 
Jana nilisoma posting mmoja ikieleza kuwa tofauti na wengi tunavyofikiri zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi UDOM si mashabiki wa CCM bali wa CDM. Tatizo ni kuwa kikundi kidogo cha wana-CCM hapo chuoni kimeachiwa kunadi mambo yao kwenye media kiasi cha kuonekana kinaongea kwa niaba ya wanafunzi wote. Basi tuseme hao ndio waliofanikisha kuleta mtazamo hasi kwa wenzao wote kama inavyodhihirika hapa JF.

Pamoja na hayo, ningeshauri tusifurahie sana maafa ya aina hii kwa vijana wetu au hata wananchi wengine yanayotokana na kuendekeza utawala mbovu wa CCM nchini. Huu ni msiba wa kitaifa. Hebu fikiria hata OCD anapigwa ngwala na mwanasiasa wa CCM halafu mabosi wake wanasema sio tatizo; ni suala la kibinafsi tu. Kuna udhalilishaji zaidi ya huu? Yaani tumebakia kukanyagana kuwafurahisha walio madarakani! Hakuna cha polisi, jeshi, mtumishi wa serikali, raia wa kawaida: wote wahanga tu!
 
Nafikiri kuna haja ya wananchi kuacha woga sasa na kuwa tayari kusimama kidete na kupambana na hao wanaojiita FFU. Tunaona nchi nyingine wanapoamua kusimamia haki zao hawatishwi na polisi au mabomu ya machozi au maji ya kuwasha. Inakuwa ni kichekesho kuona ati wanafunzi karibu 8000, wakikimbizwa na askari wapatao 20 tu, kisa ati wana mabomu ya machozi na maji ya kuwasha, jamani hii haiingii akilini. Hebu tuseme kama wanafunzi wangeamua kupambana nao kila askari angelipambana na wanafunzi karibu 400. Hata kama kila askari angekuwa na mabomu mia angeweza kuwajeruhi wanafunzi kama 200 tu, na hawa wengine 200 wangeweza kumshughulikia vizuri huyo askari. Jamani inabidi sasa tuseme basi, tabia ya mtu anabebwa na FFU wengine mnakimbia haina maana kabisa. Ni bora basi msingegoma kabisa. Haya siku hizi inajulikana duniani kote kuwa mabomu ya machozi dawa yake ni kuwa na maji ya kunawa usoni, ukinawa tu moshi huo hauna tena nguvu. Hayo maji ya kuwasha dawa yake ni kupaka mafuta mwilini, maji yakikufikia hayana uwezo tena wa kuwasha. Jamani kuna haja ya kutoa fundisho kwa hawa askari wetu maana wanajiona kana kwamba wanaweza fanya lolote kwa raia na raia wasifanye kitu. Afterall hawa askari tunawalipa mshahara kwa pesa ya kodi zetu, hayo magari na mabomu yananunuliwa na pesa za kodi zetu halafu wanakuja kutuumizia watoto wetu, HAPANA HAIKUBALIKI KATU
 
Inasikitisha kwa kweli. Hebu tujiulize sisi tungekuwa raisi kwenye mazingira ya raisi wa sasa tungefanyaje?

Hilo la leadership vacuum (umbwe la uongozi) nimeliona, sababu yake kubwa ni kwamba Raisi wetu kwa namna fulani amekosa uhalali (Moral legitimacy) miongoni mwa waTanganyika kutokana na namna tume ya uchaguzi ilivosimamia ujumuishaji na utangazaji wa matokeo. Hata yeye yaweza kuwa inamnyima raha na kumpunguzia utashi wa kutawala kwa kanuni na maadili. Watu walio karibu naye wanajiona wana uwanja mpana wa kucheza (playing field) kwa sababu bosi wao hana nguvu (Moral mandate) ya kuwakemea. Tumeyaona kwa wikileaks leo kwenye gazeti, mwenye macho haambiwi tazama..... PM anasema kwa wahariri nitamshauri raisi! Mawaziri kila kukicha wanatamka la kwao! Polisi wana uhuru wa kuingia kwenye kikao cha wawakilishi wa wananchi na kuanza kupiga Mbunge - mwakilishi wa wananchi. Nimechukia sana! ni kiwango cha juu cha kumshushia hadhi (insubordination) Mheshimiwa Lema. Kama polisi wakimfanyia hivi mbunge vipi kwa wanafunzi tu ambao nao ni watoto wa walala hoi. Ndiyo maana askari wataalamu wa uokoaji walishindwa kupata mwili wa mtu aliyezama kwenye bwawa hadi mtu wa kawaida (a lay person) akazamia na kuutoa. Juzi waziri mhusika eti anasema yule kijana atafutwe, apewe mafunzo na kuajiriwa! Mafunzo gani wakati anawazidi wataalamu au kwa kiingereza tunasema wampe mafunzo ya kum-unlearn? yaani kufuta kile anachokijua na kumtia ujinga wao! HILO NALO NIMECHUKIA.

Uongozi wa nchi ni kazi ngumu, yataka mtu kujitoa kikamilifu na kuuvua kabisa ubinafsi. Uongozi hauna ubia - raisi tunaye mmoja tu na mambo yakiharibika atawajika yeye. Misingi ya uimara wa taifa hili japo ndani ya lindi la umaskini, ujinga na maradhi inaanza kubomoka na hilo ndilo litakalonifanya nimkumbuke kiongozi wetu wa sasa. Ana nafasi ya kurekebisha mambo akionyesha nia ya wazi wananchi tuko tayari kushirikiana. Lakini kazi ipo!
 
Acha wachezee kichapo ulitaka upigwe wewe? Wamezidi mno kujipendekeza. Na habari ya watu 2 kufa wamejuaje kama wao wanasema kuna wengi hawajarudi chuoni? Wameiona hiyo miili ya Marehemu? Hebu waache kudanganya umma eti uwaonee huruma, hakuna kitu kama hicho! FFU kaeni chonjo wakirudia mnawapa kisago kingine tena!!
 
Lakini hawa wanafunzi si ndio juzi tu walikuwa wanampongeza rais Mwizi. Hivi wanafikiri Mwizi hugeuka kuwa rafiki?
 
Unajua kama mbwa hajaungua mkia hupenda kukaa jikoni....ni kamethali ka kabila fulani. Sasa hawa wasomi feki kwa vile mikia imeungua pengine watajua hatari ya kucheza na kaa la moto kwenye nyumba ya majani! FFU, hicho kipigo hakikutosha kabisa!!
 
nadhani tuanze kuandaa orodha ya viongozi watakaopelekwa ICC mara muda utakapowadia na wasije wakakataa.
 
Kichapo kimeanza tena................mida hii mkongoto unashushwa kisawa sawa!
 
Acha kuleta umbea hapa,source ni muhimu. Tumewasiliana na wadogo zetu haya unayoongea hayajatokea. Ila kichapo wamekula
MPONOLI nawe acha hizo si uulize! ni kweli mimi nimeongea na ndugu yangu sasa hivi kasema ni kweli WALIPIGWA TV ZILIONYESHA 2.WALIPOKUWA WANAFUKUZWA WAKIKUKAMATA WANAKUDAI RUSHWA ILI WAKUACHIE rushwa ndiyo hizo simu,pesa, ngono kwa wasichana maana ni porini. MPAKA HAPO NI KWELI
ILA ni sahihi maana udom walichonga sana wakati wa kampeni pesa zao walizomchangia kikwete zimewatokea puani walifikiri anawapenda hawajui ccm hawana urafiki na kapuku. NYINYI wanachuo acha mpigwe maana mlikigeuza chuo kikuu kama shule za msingi mnatunga nyimbo za kwaya kumsifia kiongozi as if hamjui uongozi wake ulivyo hamkujua kweli hivi nyinyi mna akili kweli nadhani mlifeli mkapewa upendeleo sasa onjeni joto la jiwe mlisema jk ni chaguo la mungu ametuma majeshi yake yamewaangamiza kama majeshi ya misri sisi wananchi mliotupuuza na musa wetu dr slaa tumevuka salama poleni lakini je bado mwampenda mtu wenu pia mkipata nafasi azimeni magazeti muone jk alivyomalizwa dr hosea najua hamna pesa za kuingia mtandaoni na bado adui yako mwombee njaa mliombea chadema wapigwe kwa kitendo cha kutoka njee mungu amejibu kwenu je mwesigwa amepigwa naye au hakushiriki
 
Vijana waache kujipendekeza kwani hiyo ndio faida yake. Tatizo lingine jeshi la polisi limekuwa genge la wahuni, maana wanaokwenda kule siku hizi ni watu waliochoka mtaani hawana mbele wala nyuma, matokeo yake ndio haya, wanaambiwa wakajisaidie haja ndogo wao wanajisaidia zote yaani kubwa na ndongo. Hivi huku ni kutuliza ghasia?

UDOM jifunzeni
 
Wakome pumbafu zao! Mtu kama hutumii akili kusoma nyakati hi ndo faida yake!
 
mi nawashauri wachkue baskeli na wavae nguo za kijani,waendeshe baskeli kutoka udom mpaka ikulu wakampongeze waliempa hela ya kuchukulia fomu
hhaaaahaaaaaaaaaahahahaaaaaa Hii nimeipenda sana mkuu. yaanii waende na baskeli na kwa miguu kabisa
 
Mponjoili tafadhali mambo mengine si ya ushabiki wa kisiasa, Gazeti la Mtanzania la leo limeripoti wanafunzi 120 wako ndani FFU wamewapora pesa,simu,vitambulisho vya benki,na kuwanyanyasa kijinsia,hii ni hali mbaya sana ,maandamano ya amani yanaruhusiwa katika katiba hii hii mbovu tuliyonayo hawana kosa wanafunzi hao na hakuna sababu ya kuwanyanyasa kama vile ni wageni katika nchi yao, Serikali ya CCM inajenga chuki bure kwa wananchi
Sasa inaonekana kama vile hakuna serikali kabisa nina maana kuna vacuum ya uongozi kila mtu anafanya kile yeye anaona kinapendeza ,nchi imeingia kwenye machafuko baado tuu kufikia kilele,tulioyaona Arusha kwa Jeshi la polisi kutumia nguvu kubwa kwa madiwni na mbunge wa Chadema yanonyesha kabisa jinsi KIKWETE alivyo dikteta na anavyo tawala kibabe,nchii iko kwenye maafa makubwa

Niliwahi kumuita Kikwete Dikteta ,watu wakabadili jina ya thread yangu inakuwaje leo tena haya yanatokea.Pamoja na upendo mkubwa kwa UDOM sina huruma,malipo ya mtu anaye uumiza moyo wa mwingine huwa ni hapahapa duniani,Ridhiwani yuko wapi awatete?????????????????
 
Babayah67 nakuunga mkono kwa kweli hawa askari wetu wamezidi kutumia nguvu hatakatika mazingira ambayo hakuna vurugu. Jana sikuona vurugu zozote zilizasababisha askari watumie nguvu kiasi hicho. Ukweli ni kwamba umefika wakati sasa hawa askari wanaojiita FFU wapewe somo siku moja kuna haja ya kupambana nao kisawasawa bila woga hata kama watatumia silaha za moto ilimradi watambue kwamba tumechoka kuonewa bila sababu za msingi. Nawashangaa watu wanaoshabikia upuuzi uliofanywa na FFU kwa wanafunzi wa UDOM eti mnawalaumu kwamba wana support CCM mnashindwa kufahamu kwamba political propaganda inafanya kazi yake kuwaaminisha kwamba UDOM wana support CCM kitu ambacho si cha ukweli. inashangaza kuona wanafunzi wa UDOM wakianzisha mgomo FFU wanaitwa mapema eti kwenda kutuliza ghasia. Mbona UDSM walipokuwa wakigoma FFU hawasogei eneo la chuo vinginevyo kuwe na uvunjifu wa amani, na hata kama FFU watasogea basi watapaki magari yao nje ya geti mpaka watakapo ruhusiwa kwenda kufanya kazi yao. Inakuwaje UDOM kukiwa na tishio la mgomo tu FFU wanavamia eneo la chuo??????. Najua uongozi wa chuo unachangia sana katika hili kwa sababu eti hawataki kuharibu image ya chuo. Wanadai wanataka UDOM kisiwe chuo cha migomo kama kilivyo UDSM japokuwa na chenyewe sasa kimepoa. Viongozi wa chuo wasijidanganye hawawezi kuzuia migomo chuoni, sasa hivi wanawanyanyasa hao wanafunzi kwa sababu chuo bado ni kipya ndio kwanza kimemaliza miaka 3 kwa hiyo wanafunzi bado hawajafahamu strategies za kuendesha migomo vyuoni. Wameingia chuo bila kukuta watangulizi ambao wangewaongoza but am sure miaka inavyosonga mbele wata gain experience ya kutosha na hivyo hawataendelea kunyanyaswa kiasi ambacho wananyanyaswa hivi sasa. Nakuhakikishieni chuo hicho kinachotarajiwa kuwa na wanafunzi 40,000 miaka michache ijayo kitakuja kua mwiba mkali kwa serikali. Sipati picha endapo wanafunzi wote wataamua kugoma hali itakuwaje maana hata hao FFU wa dodoma hawataweza kudhibiti mgomo huo labda wachukuliwe na FFU wa Morogoro na Singida ndo watahimili vishindo vya watu 40000.
 
Back
Top Bottom