- Thread starter
- #21
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
elewa kwanza! Shule ilikuwa ya kanisa kabla ya kuwa ya serikali. Na kanisa lipo nje ya eneo linalomilikiwa na shule kwa sasa.