Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.

elewa kwanza! Shule ilikuwa ya kanisa kabla ya kuwa ya serikali. Na kanisa lipo nje ya eneo linalomilikiwa na shule kwa sasa.
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.

shule si ilikuwa ya kanisa? fuatilia shule zote zilizokuwa za kanisa utakuta kuna makanisa tena makubwa..okiii....wafuate taratibu watapewa hakuna mtu wa kuwabania ...nchi inaongzwa na waiskam .....na hata mimi sioni mantiki ya kuwakatalia...
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.

Kabla ya kutaifishwa kwa shule hizi na serikali, Ndanda ilikuwa chini ya Wabenedkitini ambao mbali na shule wana chuo cha ufundi, uuguzi, hospitali, kiwanda na mtambo wa kuzalisha nishati kwa kutumia chemichemi inayofoka.

Eneo la shule hakujajengwa kanisa labda jana, kanisa la kiroma lipo karibu shule, waislamu wana jengo lao maalum walilopewa kwa ajili ya kuabudia ni jengo kubwa na wana ofisi yao humo. Jumuiya nyingine hazina majengo na huwa zinaabudia madarasani kila jioni kwa saa moja na jumapili.

Siku za Ijumaa tulikuwa tukienda kusali Mwena, msikiti wa Ijumaa.

Nina imani vijana wamekurupuka tu na u-chimumuna ndo umewasukuma, endapo watakubaliwa basi na hizi jumuiya nyingine ziruhusiwe pia, hii mambo ya kutaka kuonesha kuwa tunaonewa inatufanya hata cha haki tunachopata kionekane kuwa ni cha upendeleo,
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Shule ilikuwa ya kanisa kabla serikali haijapewa kuiendesha
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Ungesoma comments za watu mbalimbali na kuzielewa, nadhani usingeandika hicho ulichokiandika..... Kuna Great Thinker mmoja kaandika haya........INAONEKANA HAO SI WAUMINI WA DINI BALI NI MASHABIKI WA DINI................
 
Waendeshe harambee ya ujenzi wa msikiti, wakati wenzao wanaendelea kusoma! Ila msikiti waujenge uraiani nje ya shule, kwani hata kanisa halipo kwenye eneo la shule. Gadaffi yuko wapi jamani?
 
Haya ni matokeo ya Serikali ya JK inayolea udini nchini

Kuna mtu alishasema kuwa kuna watu wanatamani nchi hii popote iwe misikiti tupu nimeamini. Lakini kwa upande mwingine, wakristo mmezidi kwa upole wenzenu wanareact palepale na nyie mmemwachia mungu kila kitu hata chakujitetea mnataka mungu awasaidie.

Pili wakristo umoja hakuna. wenzenu dini zao pia ziko nyingi lakini hawabaguani wakati wakuteteana na kupeana vyeo ktk idara mbalimbali na usishangae mkakati sasa ukaelekezwa kupata walimu wakuu waislamu nchi nzima mkome wakristo kwakubaguana.

Ktk chuo kikuu kimoja hapa Tanzania, waislamu wamepewa lecture room nakuwa msikiti ili hali wakristo waliomba nao chumba chakusalia nakutunzia vitu vyao walijibiwa hakuna na wakaridhika hadi leo. Nawauliza mnaona wanafunzi wa Tosamaganga wanavyodai eneo la msikiti kwa nguvu?
Watanzania tujiulize, wakristo nchi hii wameenda wapi kwani kila mkuu wa idara sasa atakaetajwa redioni, tv au gazetini ni muislamu ndo kusema baba wa nyumba hii kagombana na wakristo?

Nashauri wakristo tutafakari na tuchukue hatua mwaka 2015 tusirudie kosa hili tumedharauliwa sana, tunanyanyaswa sana na tunakomeshwa sana
 
linapokuja suala la imani ni bora tukaheshim iman za watu wengine bila kukosoa na ndio sababu ikaitwa "imani",kama ipo sehem ipo katika mazingira gani?je inaweza accomodate number ya watu wanaoihitaji?mfano me nilisoma shule moja maeneo ya kilimanjaro eneo lilikuwepo ila halikuwa conducive(jengo lipo waz na hali ya hewa ni barid sana) so wanafunzi waislam walipoomba kuongeza urefu wa ukuta ilikuwa ishu,but mwisho wa siku kila kitu kilikaa sawa na mambo mengine yaliendelea kama kawaida.
Alieileta hii habari sidhani kama aliconsult wadai wa hilo swala,nafikiri tunge-judge baada ya kuwasikia hao 'waandamanaji' tchao!
 
Narudia hivi wakristo mmezidi kuzubaa kwakukosa umoja. Wenzenu japo wanatofautiana kimadhehebu wanaumoja wanbebana hata pasipo na maana. Nchi hii nyie waislamu mnataka iwe misikiti tu ndo muwe na amani? mbona chuo kikuu kimoja hapa nchini waislamu wamepewa lecture room nakuwa msikiti hali wakristo waliomba na hawakupewa hadi leo wapo na hawajaleta fujo?
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.

Kwenye shule za kiislam zinazochukua wanafunzi wa dini zote, wakristo wanaruhusiwa kujenga kanisa?

Hao si wamepewa eneo kuswali, kama ilivyo kwa Casfeta na Ukwata?
 
Huu ni upuuzi.
Kwanini wanafunzi watake kujenga nyumba ya ibada kwenye eneo la shule?
Wanajua taratibu za ujenzi kwenye taasisi za serikali?
Kila kikundi kikitaka eneo la kujenga itakuaje...maofisni je? Jeshini? Magerezani?

acheni upumbavu vijana.
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.

FF, umezaliwa lini? Kama ni wa juzi (I hope so)jifunze. Ndanda Sec (kama ilivyokuwa Pugu sec) zilikuwa shule za Wakatoliki, hivyo sio ajabu kuwa na Kanisa shuleni. Unataka Serikali iloshindwa kujenga shule zenye kiwango kile imege maeneo ajili ya Masjid?
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.

kumbuka hyo shule ilkuwa ya wakatoliki so kanisa lilijengwa hapo ktambo
 
Nilijua tu foxy atakuja.Yaani huyu dada asisikie uislamu hata kama watu wanauchafua yee anawatetea tu.
 
kumbuka hyo shule ilkuwa ya wakatoliki so kanisa lilijengwa hapo ktambo

Sawa limejengwa kitambo sasa na Waislaam na waowanataka mskiti uwepo na uwezo wao ndiyo sasa, kwanini wakataliwe? hakuna nafasi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom