Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

Ndugu uwe unaelewa kwanza kabla ya kuja na zako ulizozizoea. Kwenye eneo la shule hakuna kanisa, isipokuwa jirani na shule kuna kanisa katoliki ambalo ni la watawa wabenedictine ambao ndio walikuwa wamiliki wa shule hiyo kabla haijachukuliwa na serikali. Kanisa hili sio kwa ajili ya wanafunzi bali wanajumuia wote wa ndanda.

Tena kama kungekuwa na wanaostahili kudai basi labda ni wale wa jumuia nyingine kama UKWATA, SABATO nk ambao vipindi vya kuabudu wanavifanyia madarasani, hao ndugu zako wana chumba maalum kwa ajili ya mambo yao tokea miaka mingi, wanaswali na kughani kila wanapohitaji na hawabughudhiwi na yeyote.

Mkuu, kujaribu kumwelewesha FF nadhani ni sawa na kumpigia ngoma kiziwi. Nimesema hapo juu kwamba hilo kanisa (chapel) haliko kwenye eneo la shule, ingawa liko karibu na shule, na pia siyo mali ya shule, ni mali ya Ndanda Mission. Lakini yeye kanijibu jibu la ajabuajabu!
Wao wapewe upendeleo wa kujenga nyumba ya ibada kwenye eneo la shule kama nani? Dini zingine hawana nyumba za ibada kwenye eneo la shule, wao tu ndo wapewe upendeleo, kisa nini?
 
Al haramain ni shule ya kiislamu, Je Ndanda ni ya serikali au kikristo?

Acha hiyo Ndanda ilikuwa ya kanisa na haina kanisa ndani ya eneo la shule, na hii sekondari ya serikali inayoitwa MUSTAPHA SABODO ya Mtwara Mikindani manispaa ni ya category gani mbona ina msikiti tena ndo uko mbele mbele, kabla hujaona admin. block unaona kwanza msikiti. hapa wakristo waandamane pia? Hawa ghasia anahusika moja kwa moja na formation yote ya shule hii.
 
Jamaani mimi naomba kuuliza kwa wenzangu ex-Ndanda, kwani hi shule ya Ndanda si imekuwepo miaka yote? na wapo waislam kibao ambao wamesoma hapo? mbona hizi vurugu za kutaka kujenga mskiti hazikuwepo? na kama kujenga watajenga wapi?

Maybe kule kwenye mazizi ya ngombe kama bado yapo maana wengine tumesoma long time sidhani kama dada yetu FF alikuwa kazaliwa au kama anaifahamu shule ya Ndanda.

Dada FF ubishi mwingine haufai, pata details kwanza ndipo ubishe au kutoa hoja zako.
 
Tatizo ni hawa watu wazima wasioelewa wanachofanya, wanapandikiza mambo vichwani mwa vijana hawa nao wanalipuka ili waonekane wameelewa walichofundishwa. Wamefundishwa kukata suruali zao zisigusane na viatu wametii, wamefundishwa karate wametii, sasa nadhani wana hamu ya kutumia skills walizopata. Pale biology lab. pananikwaza, sina imani napo kama hapahusika na hili.
 
Na hao watoto huko shule kwani wamefuata kusoma dini ya kiislam? Kama tatizo ni kanisa kuwa jirani basi watafute shule za kiislam wasome hapo.

Wangegoma toka mwanzo waseme hawataki kwenda Ndanda maana hapo karibu na shule kuna kanisa watu tungewaeelewa, lakini wanagoma after several years of them being in Ndanda...? thats madness nothing else.
 
Kwani wao wameenda kuswali au kusoma shule? Ndanda ilikuwa shule ya mission sasa wanachoshangaa nini? Wasome bana hiyo ni shule sio kanisa. Wakubali yaishe miaka minne si mingi
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.

shule ya ndanda ilikuwa shule ya kanisa (RC) lakin ilichukuliwa na serikali toka miaka ya 1980's kama sijakosea na sehemu kubwa ya eneo ambayo hiyo shule iko katikati la eneo hilo bado linamilkiwa na kanisa hilo na kanisa lina hospital, viwanda, uzalisha umeme nyumba zakuishi na kanisa lao , ila kanisa hilo liko nje ya mipaka ya shule na si kanisa la shule , ukikamatwa eneo la kanisani bila sababu maalum ni kosa kw mwanafunzi.
 
Hilo siyo tatizo, kwa sasa shule si ya kanisa na ina kanisa ndani kwanini na Waislaam wanapotaka kujenga mskiti wakataliwe?[/QUOT

kanisa liko nje ya shule, na si ruhusa mwanafunzi kuonekana mazingira ya kanisa hilo ispokuwa siku na time za ibada tu
 
Ki-uhalisia Mungu ametuumba ili tuje kumuabudia yeye.hyi inshu ya kusoma ndo sub-roles za Mwanadam.so na katba ya nchi hii inaruhusu uhuru wa kuabudu,kama ndo hvyo basi.kwann wasipewe sehem nzuri ya kuabudia.kwani Mungu na uongozi wa shule yupi wa kuogopwa sana?
 
Jamaani mimi naomba kuuliza kwa wenzangu ex-Ndanda, kwani hi shule ya Ndanda si imekuwepo miaka yote? na wapo waislam kibao ambao wamesoma hapo? mbona hizi vurugu za kutaka kujenga mskiti hazikuwepo? na kama kujenga watajenga wapi?

Maybe kule kwenye mazizi ya ngombe kama bado yapo maana wengine tumesoma long time sidhani kama dada yetu FF alikuwa kazaliwa au kama anaifahamu shule ya Ndanda.

Dada FF ubishi mwingine haufai, pata details kwanza ndipo ubishe au kutoa hoja zako.

hakuna ubishi hapo kama kuna kanisa na ilikuwa ni shule ya kanisa, ni simply kuwa ililkuwa haina Waislaam wengi, kwa sasa si shule ya kanisa tena na ndiyo maana Waislaam wameongezeka na wao wanataka sehemu yao rasmi ya kufanyia ibada na inabidi utwala uwape sehemu ya kujenga hilo ni lazima na si ombi.
 
Hilo siyo tatizo, kwa sasa shule si ya kanisa na ina kanisa ndani kwanini na Waislaam wanapotaka kujenga mskiti wakataliwe?[/QUOT

kanisa liko nje ya shule, na si ruhusa mwanafunzi kuonekana mazingira ya kanisa hilo ispokuwa siku na time za ibada tu

Na Waislaam wapewe sehemu na wao wajenge na wasionekana huko mpaka time na siku za ibada tu, kuna tatizo lipi hapo? au utawala wote ni wakristo na hawataki kuwatafutia sehemu Waislaam?
 
nakumbuka kesi hii ilishatokea korogwe ttc miaka ya nyuma kidogo, ila walipuuzwa tu na mambo yakaisha. ukiwaendekeza hao watadai zaid ya hayo, wengi wao ndio wanaoshusha tasisisi zetu kitaaluma kwa matokeo yao mabovu. ukichunguza vizur utakuta wametumwa na mashekhe waliopo karibu na shule. warudishen makwao wakaswalie misikitin, hawajaja kusoma hao.
 
jaman hii vita ya dini imeshashika kasi, walidai ohh kikwete ana mvuto, kumbe walikua na mvuto wao. wenzetu waliiinza zaman, sisi hatukujua, ila saiv na sisi tushajipanga, tutapambana sasa.
 
Nisichoelewa ni kwanini wasiruhusiwe kujenga mskiti wao?

sasa ww FF kila dhehebu(kkkt, pentecoste,assmbly of god, n.k) likitaka kujenga sehemu ya kuabudu si itakuwa vurugu sio shule tena, au unafikir wakristo wanasali kwenye kanisa moja (be great thinker)
 
Hao hawajakwenda Ndanda kusoma. Nanyie ambao hampajui Ndanda na historia ya eneo hilo msichangie chochote kwa kuwa mnawachekesha hata waliokuwa Wendawazimu kwa ushabiki wenu wa kidini, au tembeleeni pale Ndanda mkajionee mazingira yalivyo halafu mje kucomment.
 
Jamani namaliza kwa KUTOA TAARIFA HII KWA UCHUNGU SANA TOKA SIKU YA KWANZA NILIVYOLIPOTI KWENU....LEO NDANDA SECONDARY SCHOOL Imesitisha masomo na taratibu zote za kiualimu na kiuanafunzi mpaka pale tamko kikatapotolewa. CHAKUSIKITISHA walio husika na wasiohusika wanaathirika kwa matakwa ya watu wachache wasiojua umuhimu wa elimu na nafasi ya imani zao katika maisha ya sasa. Sikatai mchango wako wala sikubali mawazo yako 100%. Wahenga wanasema YAKUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO, Thanx all THE GREAT THINKERS.

Fitina ni ngozi ya tembo haifai kwa kuwabwa.....fitina chuchu ya paka haifai kwa mtindi.
 
Back
Top Bottom