Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

Chadema hata cku moja huwa hawaropoki mkuu, tena kwa mtu makini kama mnyika ndo kabisaa we subiria gunia la ushahidi na hautapigwa dana dana kama ule wa lema kwa mzee wa liwalo na liwe sijui...!! Yetu masikio..
 
Mleta mada una matatizo ya kichwa na inawezekana unafanya kazi gazeti la Uhuru au huwa unasoma sana gazeti la Uhuru.Ulivoanza kuandika kama labda Mnyika kaaibishwa baadae ukajichanganya.Chadema hakuna anayeongea kwa kukurupuka kama nyie magamba kuanzia mwenyekiti hadi nyie watu kibao wote waropokaji.
 
Ushahidi mbona kila mtu anao mweka hazina wa ccm lazima atakuwa anajua pesa anazo tunza chanzo chake ni kipi?
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Mwenyezi Mungu anatupenda sana sisi watoto wake sote kwa haki sawa. Alituumba na kutupatia akili nzuri na busara za kutosha kutuwezesha kumtumika vizuri ipasavyo. Ila baadhi yetu kama wewe uliamua kumuasi mwenyezi mungu na kutupilia mbali akili timamu alizokupa kusudi umtumikie shetani.!
 
Mkuu Kichuguu karibu siku nyingi sijaona hiyo signature yako. Huwa inanifutrahisha sana, ina ujumbe mzito nadhani ni ujumbe wa amani pale penye makundi tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Wewe dhaifu kweli,,wachunge kauli gani mtu atathibitisha soon,,waajabu kweli wewe
 
Sijui kwanini watu wahajiulizi ilikuwaje huyu 'rookie' akapewa cheo cha Treasurer wa chama? Kumbuka hii nafasi iliwahi kushikiliwa na RA!

mara nyingi poor thinkers hupewa u treasurer ili waue chama na neno litimie ' hata yuda iskarioti alikuwa treasurer wa yesu ' kwa hiyo chemba amebeba uhusika huo ili aje aue chama.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mnyika amekuwa ni kiongozi mzuri mstaarabu aliyekuwa akiheshimika kwa pande zote iwe CDM ama CCM. Nakumbuka mama Anna Abdallah kuna siku alimsifia sana Mnyika kwa hoja anazozitoa Bungeni akasema kuna vijana kama Mnyika ambao wanakuja vizuri sana Bungeni. Pia juzi nakumbuka Spika alisema kuna watu walikuwa wanakuja vizuri lakini sijui wamepatwa na nini. Kwa kweli Mnyika amekuwa ni nguzo bungeni kwa hoja zake zenye mashiko lakini kuanzia Bunge hili naona kama anapoteza mwelekeo. Ameingia kwenye mkumbo ambao si sahihi; mkumbo wa kutafuta umaarufu kwa kukashfu watu. Mbona alikuwa maarufu tu hata kwa wanywa kahawa wenzangu lakini tangia aanze mambo ya kashfa watu wanaanza kumsema ambavyo sivyo.
Mheshimiwa kalewa sifa,It's not what you say but how you say it!
 
Mwenyezi Mungu anatupenda sana sisi watoto wake sote kwa haki sawa. Alituumba na kutupatia akili nzuri na busara za kutosha kutuwezesha kumtumika vizuri ipasavyo. Ila baadhi yetu kama wewe uliamua kumuasi mwenyezi mungu na kutupilia mbali akili timamu alizokupa kusudi umtumikie shetani.!
Mwalimu!
ni kwanini hii forum siku hizi inapotokea mtu ana mawazo tofauti na wachangiaji wa Pro Chadema basi anaandamwa na kejeli na matusi au kukatishwa tamaa ,Hoja kwa hoja zimekwenda wapi?
 
siku nyingine ukiwa unaleta hoja uwe una specify mbunge wa IRAMBA ipi? huyu chemba ni wa iramba maghribi, sasa unasababisha watu wa iramba mashariki wananung'unika kuwa umewadharirisha kwa kuwajumuisha pamoja na mbunge mropokaji na ambaye ushahidi upo kuwa anahusika na EPA.
By the way siku saba bado hazijaisha au umehesabu na siku za wikiend ambayo ambapo kulikuwa na sikukuu ya saba saba?
 
pepeta This is an irrefutable testimony that there is nothing between your ears. Mnyika na wanaharakati wengine wa Chadema wamekuwa waropokaji ambao hawajui kwamba jamii iliyowapa dhamana inawaangalia na pengine wanaingia katika upotoshaji huu. Suala hapa siyo la mafisadi wa CCM kama unavyojaribu kurukia hapa. Suala hapa ni whether Mwigulu alihusika na wizi wa EPA na kwa hili naweza kukuhakikishia kwamba HAKUHUSIKA. Sasa kitendo cha Mnyika kutafuta political mileage na kudhani kwamba anaweza kuropoka chochote ni kutumia vibaya privileges za ubunge na sasa ataaibika.

Wabunge wetu na wanasiasa wengine wawe waangalifu na inflammatory statements ambazo kwa kaisi kikubwa zinatokana na kutaka sifa na kukosa elimu na ukomavu.
 
Last edited by a moderator:
wakuziba Hivi Stella Manyanya a.k.a Engeeneera wa DIT enzi hizo advanced diploma < degree, aliposema kuwa CHADEMA inahusika kwenye mgomo wa madktari aliambiwaje? anadhibitisha lini?
 
Last edited by a moderator:
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)
Umetumwa? Hiyo tabia yako ya ukuhadi itakupeleka pabaya.
 
Chadema hata cku moja huwa hawaropoki mkuu, tena kwa mtu makini kama mnyika ndo kabisaa we subiria gunia la ushahidi na hautapigwa dana dana kama ule wa lema kwa mzee wa liwalo na liwe sijui...!! Yetu masikio..

Na kweli jamani UKWELI INAUMA CHADEMA ni Chama makini na mambo yao ni Makini. Kwani wakati huyo MCHEMBA anaiiba amesahao kua atagundulika? SIKU ZA MWIZI ni 40 days. MSHENJI KWELI KWELI HUYO JAMA wanaiba pesa za wananchi nakutajirika alafu anasema nini? Tutamfira asipoka kimya huyo MCHEMBA na atakutwa ametokea PEMBA
 
Back
Top Bottom