Siko hapa kushindana maneno na wewe maana naona mnafanana kwa kiasi kikubwa! Hapo nmetoa clarification watu wajue mchumi daraja la kwanza manake nini!hzo A unazijua wewe aliekuonyesha vyeti ingawa nazo sio hoja kuna wengi wana A lakini ni vilaza vile vile!Acha wivu wa kike ww, na kwenye amepasua vile vile ana AAAAA tupu, km mtu ni kilaza hawezi pata hizo, jamaa ni mashine na jembe atawasumbua sana sana huyu jamaa