Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

Harafu we don't judge someone by higher GPA they hold we judge them by contribution they have to the society. Kuna mtu huwa anasema elimu ni kile kilichobaki kichwani sio vyeti ulivyonavyo, maana watu wanadesa kweli kweli na wanapata GPA kubwa kumbe hamna kitu.
 
you are very right mess,ndomana nasema politicians wanacheza na watu wenye uelewa mdogo!mtu ukiwa bright tunaona tu mawazo yako na contribution yako!
 
Mimi ni form Four Graduate lakini huyu Mwigulu Nchemba hawezi kufanya Debate yoyote na mimi hata inayohusu uchumi huo anaokariri kwamba yeye ni Mchumi Grade A.

Sijawahi kumsikia Lipumba akijitamba kwamba yeye ni Profesa wa uchumi, na nadhani hajui au ameshasau kwamba JK naye aligraduate Economics vilevile pale UDSM lakini kinachoendelea wote mnakiona .
 
Mbona unatoa utetezi? Si ungeshauri Kikao cha Kamati Kuu cha CDM kikumbushane kutafuta ushahidi dhidi ya Nchemba na si vinginevyo? Namshauri Mnyika aje humu na aombe mwenye ushahidi ammwagie...hatakosa hakika!

Sawa Mchemba kamshika pabaya Mnyika. Je ushahidi alioleta Godbless lema dhidi ya Pinda ka kulidanganya Bunge wakati wa vurugu za arusha ulishatolewa hadharani ....? Mnyika atauleta . Na bahati nzuri wapiga filimbi dhidi ya ya mafisadi wa benki kuu watoa ushahidi wa kutosha. A photo copies kibao. zipo kwenye stored yahoo.

Aendelee kushika pabaya tuone
 
ofisi ya bunge iko busy sana, nitashangaa kama ushahidi wa mnyika utachukuliwa so serious.

Lema aliombwa apeleke ushahidi kuwa "liwalo na liwe" alisema uongo na kulidanganya taifa, ushahidi ulipelekwa na haukuzungumzwa mpaka lema akaondolewa bungeni.

Zitto naye aliombwa apeleke ushahidi kuwa baraza la mawaziri lilirubuniwa, ushahidi ukapelekwa lakini hakuna chochote kilichofanyika mpaka sasa.

Sasa nchemba atulie tu, hiyo ndiyo siasa ya bongo.

nimeipenda hii comment sana, natumai mtoa uzi atakuwa amejifunza na si kushadadia mambo.
 
Ukiona mtu anajisifia kwa usomi, uzuri, mali, au sifa yoyote yake binafsi tena kwenye public, jua huyo mtu ni matatizo matupu, na kichwa kitupu. Mtu mwenye akili hawezi kujisifia. Watu ndo watampa sifa wanaomwangalia.
 
Kuna watu wanafurahisha sana wanavopenda kutumia uelewa mdogo wa watu kujitwisha misifa. Nlimsikia bungeni eti yeye ni mchumi daraja la kwanza. Kwa watu wengi wasioelewa taratibu za kupandishwa vyeo serikalin wanaweza kudhan kuwa yeye ni kichwa ile mbaya au alifaulu mno masomo ya uchumi, kumbe hilo daraja unapewa baada ya kuwa umefanya kazi kwa muda kadhaa.Mchumi anaemaliza chuo kwa degree ana ajiriwa kama Mchumi daraja la 2, akikaa kama miaka 6 anapanda kwenda daraja la 1, kwahiyo ndugu zangu tuwe makini sana na hawa wanasiasa ambao wanapenda sifa ambazo hata hawastahili

Utamweza Mwigulu Nchemba kwa masifa ndugu yangu?????......wasiojua wanaweza kudhani mchumi daraja la kwanza ni cheo kimeshushwa toka mawinguni.....Ahsante kwa ufafanuzi!
 
Ukiona mtu anajisifia kwa usomi, uzuri, mali, au sifa yoyote yake binafsi tena kwenye public, jua huyo mtu ni matatizo matupu, na kichwa kitupu. Mtu mwenye akili hawezi kujisifia. Watu ndo watampa sifa wanaomwangalia.

Mtu akijiamini hawezi kujisifia hata siku moja RUBERTS!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa. Mchumi I ni level ya Junior Officer serikalini. Kuna wanasiasa wanafikiri kuwa bado tupo karne ya 7 - kwamba unaweza kusema upuuzi wowote kwa watanzania wakakuamini. Tumeshatoka huko!
 
Mimi ni form Four Graduate lakini huyu Mwigulu Nchemba hawezi kufanya Debate yoyote na mimi hata inayohusu uchumi huo anaokariri kwamba yeye ni Mchumi Grade A.

Sijawahi kumsikia Lipumba akijitamba kwamba yeye ni Profesa wa uchumi, na nadhani hajui au ameshasau kwamba JK naye aligraduate Economics vilevile pale UDSM lakini kinachoendelea wote mnakiona .
Mkuu hapo umejishusha tu ili kumdegrade jamaa au sio?
 
Mnyika amekuwa ni kiongozi mzuri mstaarabu aliyekuwa akiheshimika kwa pande zote iwe CDM ama CCM. Nakumbuka mama Anna Abdallah kuna siku alimsifia sana Mnyika kwa hoja anazozitoa Bungeni akasema kuna vijana kama Mnyika ambao wanakuja vizuri sana Bungeni. Pia juzi nakumbuka Spika alisema kuna watu walikuwa wanakuja vizuri lakini sijui wamepatwa na nini. Kwa kweli Mnyika amekuwa ni nguzo bungeni kwa hoja zake zenye mashiko lakini kuanzia Bunge hili naona kama anapoteza mwelekeo. Ameingia kwenye mkumbo ambao si sahihi; mkumbo wa kutafuta umaarufu kwa kukashfu watu. Mbona alikuwa maarufu tu hata kwa wanywa kahawa wenzangu lakini tangia aanze mambo ya kashfa watu wanaanza kumsema ambavyo sivyo.

Mabwepande Master plan in action!
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)
Katika wapuuzi wewe ni mmoja wao, nadhani unahitaji kujipanga upya ndio ulete mada hapa
 
Kuna watu wanafurahisha sana wanavopenda kutumia uelewa mdogo wa watu kujitwisha misifa. Nlimsikia bungeni mbunge mmoja anajisifia eti yeye ni mchumi daraja la kwanza. Kwa watu wengi wasioelewa taratibu za kupandishwa vyeo serikalin wanaweza kudhan kuwa yeye ni kichwa ile mbaya au alifaulu mno masomo ya uchumi, kumbe hilo daraja unapewa baada ya kuwa umefanya kazi kwa muda kadhaa.Mchumi anaemaliza chuo kwa degree ana ajiriwa kama Mchumi daraja la 2, akikaa kama miaka 6 anapanda kwenda daraja la 1, kwahiyo ndugu zangu tuwe makini sana na hawa wanasiasa ambao wanapenda sifa ambazo hata hawastahili

Acha wivu wa kike ww, na kwenye amepasua vile vile ana AAAAA tupu, km mtu ni kilaza hawezi pata hizo, jamaa ni mashine na jembe atawasumbua sana sana huyu jamaa

muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)
unatoa ushauri kama nani wewe!mbona unajisahau hivi?mbona humshauri mkuu wako,kaa kimya usiwashwewashwe wewe utakunnwa pabaya!!tulia uzae usibwabwaje!
 
nimeipenda hii comment sana, natumai mtoa uzi atakuwa amejifunza na si kushadadia mambo.

hao waliotuhumiwa na lema pamoja na zitto hadi zikapelekwa ripoti, walishawahi kuomba ripoti zipelekwe haraka? soma tena thread yangu uielewe. ncemba amekua tofauti. amesimama leo na kumkumbusha mwemyekiti kuwa leo ndiyo siku ya saba. anataka huo ushahidi unaomhusisha na EPA uletwe! hili ni jambo la ajabu. kuwa great thinker. ni tofauti na mifano ya lema na zitto. yetu macho!
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Kichwa maji kana baba yako dhaifi
 
Poor u!.....ss hapo pabaya alipomshika ni wapi?do u think mnyika mjinga kiasi cha kukurupuka kuongea asivyovijua?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom