Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

Sikiliza kama uko serious, nenda pale chuo cha ardhi chuo kikuu cha dar, waulize wale walimu pale wao ni wataalamu wa ujenzi na architecture. Rafiki yangu alifanya hivyo na sasa amejenga nyumba nzuri kwa mil. 15. Humu ndani kuna watu watakukatisha tamaa bureeee!
 
Watu wa hapa ndio wale wanaosemaga eti kila Square meter moja unaijenga kwa Laki5. Yaani wanavyodai wao eti 15Mil unajenga 30Squaremetres tu, ambayo ni vyumba viwili
 
Jamani msaada wenu wa ushauri kuhusu ubora wa interlocking bricks kwa ajili ya ujenzi wa ukuta wa fence.
 
Million 20 ni pesa nyingi sana ukijenga mwenyew bila kutumia kampuni, hata 10m unahamia kwako.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Million 20 ni pesa nyingi sana ukijenga mwenyew bila kutumia kampuni, hata 10m unahamia kwako.

NAOMBA UFAFANUZI NA MACHANGANUO MKUU KUN MAANA KWA UMASKINI WANGU NATAMANI SANA KUWA NA KIBANDA ILA GHARAMA NI KUBWA KWA KWELI
 
20m no way labda zile nyumba za kuchora chini na mfuko mmoja wa cement zitoe tofali hamsini. Vinginevyo mambo yataharibika. Tafuta ramani ya vyumba vinne, jenga vyumba ziwili toa matoleo hamia ndani ya nyumba, mwendelezo mwingine uendelee mdogomdogo.
 
NAOMBA UFAFANUZI NA MACHANGANUO MKUU KUN MAANA KWA UMASKINI WANGU NATAMANI SANA KUWA NA KIBANDA ILA GHARAMA NI KUBWA KWA KWELI

km kiwanja unacho

Vyumba 3 vya kulala, sebure ya kawaida, choo na jiko.
Bati 60x17,000= 1,020,000
mbao 2x6 @ 12,000 30pcs= 360,000
mbao 2x4 na 2x2 =40pcs x8,000=320,000
tofali 2600x900 = 2,340,000
cement mifuko 20x16000=320,000
mchanga lorry 2X70,000 = 140,000
kokoto lorry 1(3.5m3) 150,000/= 150,000
nondo pc 24 (ring beam na ground beam) @ 18,000/= 432,000
dirisha 6x90,000/= 540,000
milango na frame zake 5x230,000/=1,150,000

Labour charges
tofali 2600x @ 300/= 780,000
kuezeka 200,000/=
milango na frame zake @ 15,000/=*5= 75,000
madirisha 6x 8,000/= 48,000/=

Jumla around 8,000,000/=

hiyo balance ya 2m unafanyia finishing na vitu vidogo vidogo vinavopungua.
 
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...

Thanks,

unaweza kujenga kama una kiwanja ila inabidi uongezee kiasi hela ya finishing.
Mimi nilikuwa na kiwanja nikajenga kwa kutumia kama tshs. Million 28 ikamalizika
unaweza ukisimamia kila kitu mwenyewe
 
km kiwanja unacho

vyumba 3 vya kulala, sebure ya kawaida, choo na jiko.
Bati 60x17,000= 1,020,000
mbao 2x6 @ 12,000 30pcs= 360,000
mbao 2x4 na 2x2 =40pcs x8,000=320,000
tofali 2600x900 = 2,340,000
cement mifuko 20x16000=320,000
mchanga lorry 2x70,000 = 140,000
kokoto lorry 1(3.5m3) 150,000/= 150,000
nondo pc 24 (ring beam na ground beam) @ 18,000/= 432,000
dirisha 6x90,000/= 540,000
milango na frame zake 5x230,000/=1,150,000

labour charges
tofali 2600x @ 300/= 780,000
kuezeka 200,000/=
milango na frame zake @ 15,000/=*5= 75,000
madirisha 6x 8,000/= 48,000/=

jumla around 8,000,000/=

hiyo balance ya 2m unafanyia finishing na vitu vidogo vidogo vinavopungua.

bei zako za milango na madirisha naona rahisi
mimi nilinunua bei kubwa sana
je wewe ni fundi mjenzi?
 
km kiwanja unacho

Vyumba 3 vya kulala, sebure ya kawaida, choo na jiko.
Bati 60x17,000= 1,020,000
mbao 2x6 @ 12,000 30pcs= 360,000
mbao 2x4 na 2x2 =40pcs x8,000=320,000
tofali 2600x900 = 2,340,000
cement mifuko 20x16000=320,000
mchanga lorry 2X70,000 = 140,000
kokoto lorry 1(3.5m3) 150,000/= 150,000
nondo pc 24 (ring beam na ground beam) @ 18,000/= 432,000
dirisha 6x90,000/= 540,000
milango na frame zake 5x230,000/=1,150,000

Labour charges
tofali 2600x @ 300/= 780,000
kuezeka 200,000/=
milango na frame zake @ 15,000/=*5= 75,000
madirisha 6x 8,000/= 48,000/=

Jumla around 8,000,000/=

hiyo balance ya 2m unafanyia finishing na vitu vidogo vidogo vinavopungua.

Nakubaliana na wewe....Ninaye fundi aliyenihakikishia kuwa naweza kujenga bila finishing kwa Mil 7 na alimjengea jamaa nyumba ninayoishi mimi sasa hivi... Vyumba vitatu, sebule, jiko stoo...ni nzuri sana.
 
  • Thanks
Reactions: KUN
Ndio hapo, mafundi wako wa daraja na bei tofauti. Mie siwezi :]]

Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
  1. Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
  2. Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
  3. Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
  4. Mbao zote TZS4,000,000/=
  5. Bati 60 @ 15,000=900,000/=
  6. Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
  7. Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
  8. Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
Hiyo bei ya tofali ipo sawa? si ishafika 1000 kwa sasa?
 
Ndio hapo, mafundi wako wa daraja na bei tofauti. Mie siwezi :]]

km kiwanja unacho

Vyumba 3 vya kulala, sebure ya kawaida, choo na jiko.
Bati 60x17,000= 1,020,000
mbao 2x6 @ 12,000 30pcs= 360,000
mbao 2x4 na 2x2 =40pcs x8,000=320,000
tofali 2600x900 = 2,340,000
cement mifuko 20x16000=320,000
mchanga lorry 2X70,000 = 140,000
kokoto lorry 1(3.5m3) 150,000/= 150,000
nondo pc 24 (ring beam na ground beam) @ 18,000/= 432,000
dirisha 6x90,000/= 540,000
milango na frame zake 5x230,000/=1,150,000

Labour charges
tofali 2600x @ 300/= 780,000
kuezeka 200,000/=
milango na frame zake @ 15,000/=*5= 75,000
madirisha 6x 8,000/= 48,000/=

Jumla around 8,000,000/=

hiyo balance ya 2m unafanyia finishing na vitu vidogo vidogo vinavopungua.

Bei ya mchanga imefika laki na 20-30,kokoto ndio usiseme inategemea unataka za aina gani 1/2" ama 3/4" nazo bei ni kuanzia 260,000-320,000.
 
Bei ya mchanga imefika laki na 20-30,kokoto ndio usiseme inategemea unataka za aina gani 1/2" ama 3/4" nazo bei ni kuanzia 260,000-320,000.

any way mchanga inategemea unaenda sehemu gani ya mji, lakini gari ya ukubwa wa 3.5m3 ndo bei yake km unakuwa hauendi umbali zaidi ya km5, pili kokoto za 19mm ndo bei yake hiyo na hata kokoto ya quality yoyote inafaa maana nyumba ya kawaida haina uzito mkubwa kiasi kwamba unahitaji kokoto za mwamba km wa Lugoba, no, hata zile za kigamboni zinatosha.
 
bei zako za milango na madirisha naona rahisi
mimi nilinunua bei kubwa sana
je wewe ni fundi mjenzi?

Inategemea na ukubwa wa madirisha na milango uliyotengeneza, hizo ni bei za madirisha ya vyuma tu na urembo katikati kiasi (urembo ukiwa mwingi na bei inakuwa juu) mbao ziko bei ya juu, dirisha la 1.2m upana na 1.5m urefu ndo bei yake, Milango vile vile inategeemea na haina ya mbao na mafundi wenyew, kuna milango mpaka 150,000/= unapata (flash doors) ya 0.9m upana na 2.1 m urefu lakini ukitumia mninga mlango mpaka 400,000/= unauziwa,

mimi sio fundi mjenzi ni mdau kwenye sekta hii.
 
Haukuwa na haja ya kujenga sis getruda,kama unacho kiwanja hela yako inatosha kabsa na hata kama hauna kiwanja viwanja vipo vya kuanzia mil 1 mpaka 6,na hiyo 14 itamalizia mpaka unahamia ni pm nikupe michongo yote hadi una maliza nyuma yako,ya kisasa kabisa.

thread ya zamani mkuu lakini nimependa comment yako, hiyo michongo ungemwaga hapa tukafaidika mkuu. dada naona kauliza tu generaly bila kusema anataka nyumba ya ukubwa gani, na "mainjinia" wanamjibu kifupi tu kuwa kama mimi haiwezekani, bila kudodosa zaidi, labda mdau ana materials zote ndani, au ana ramani ya chumba na sebule, au hata wamshauri kuwa atajenga mpaka level flani tu! matokeo yake wanajibu kifupi tu kama vilaza flani!!!!
 
mungu awabariki ,kale kahela nilikala :frusty::frusty::frusty: nataka nijipange tena :amen::smile-big:
 
Back
Top Bottom