Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

Toa Ushauri sasa. Vihela vidogo kwako km kwangu hivi naona km Bilion kadhaa.
Hapo sasa, 20m/- haimalizi nyumba per se, ila waweza achana na kupangisha na kadha za wenye nyumba zao...
Nina uhakika yaweza toa vyumba 2 au 3 vya kulala, kasebule, jiko na vyoo...
Ukitaka nyumba iishe yatakiwa zaidi ya hapo, ila kuachana na kupanga za watu yawezekana kabisa, itaisha ukiwa humo humo ndani, leo lipu, kesho kile na keshokutwa lile, inaisha..
 
Jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo Dar kwa milioni 20? Niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...

Asante
Inawezekana sana Waone Kifaru real estate watakujengea
1008a98875029bfd024b36e3c5f1a1ec.jpg

+255713860510
Piga hiyo no au njoo PM
 
Nyumva hata mil 2 unaweza ukaanza kujenga mkuu usitishwe na majitu mengine hayaja wahi kujenga ni kuogooesha watu tu

Unaweza kuidesign upendavo maana mil 15 msingi, boma na kupaua nyumba ya vyumba 3 na master inawezekana then ukahamia ukamalizia ukiwa ndani
 
Back
Top Bottom