Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Bahati nzuri huwezi kuwa nae. Badilika kwanza
teh teh
Bahati nzuri huwezi kuwa nae. Badilika kwanza
My fiancee ana first class najua watoto watakuwa vipanga!
Courtesy: http://haki-hakingowi.blogspot.com/
Hongera Immaculate. Cha maana ni kuendeleza uzi huo huo, upasue form 6, na chuo.
Rudi kwenye mada Kiongozi
hivi nini maana ya kipanga?...siyo maana yake zero?...hahaha mazazi unaweza kuwa smart lakini not necessarily na watoto wawe smart kama mzazi wake...na kuna aina 2 za smart kuna smart wa darasani na smart wa mtaani......
Soma thread yote hii shem, intelligence is heritable.....binafsi sitaki mtoto aliye kipanga wa mtaani!
sidhani kama kuna mtu anayetaka mtoto wake awe kipanga....maana ukiangalia zamani zile kila mzazi alikuwa ana claim kuwa alikuwa anakuwa wa kwanza darasani....sasa sijui mzazi gani alikuwa anakuwa wa mwisho?
HAhahahah haya bana na mimi nitaambia vijukuu vyangu enzi zangu nilikuwa situmii hata scientific calculator was very smart than old computers! teh teh teh teh
Shem GPA yako ilikuwa ngapi vile?
Kumbe ndo maana uko kichwa !
Hiyo ya mtaani wala sikupi fagizi
hahaha why shem?ya mtaani una make money pia....au ulidhani vingine?....
ila real talk shem i need to be like you when i grow up....
U will get lost, mwenzio I am working hard to be fired......nataka nikalime kuitikia wito wa raisi wako Kilimo kwanza