Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

60% Akili inafuata familia either baba au mama, wachache sana wana perform kuwa bidii zao - nakumbuka tukiwa kidato cha pili kuna mwanafunzi mwenzetu form II 5 moshi technical miaka hiyo (mechanics) tulikuwa tunamwita Engineer - tulimwita hivyo sababu hakuna somo alikuwa anapata chini ya 90%. hasomi anapenda michezo lakini hatari kichwani kwake.

Sasa hivi jamaa ni Professor pale mlimani kitengo cha Mechanical Enginering -

Ndani ya mada yetu nampa pongezi sana huyu dada, pongezi pia kuzaliwa katika koo nyenye IQ kubwa - wote tunapenda kufauru ila inashindikana - wengine huwa wanasoma hadi wanalia lakini hakuna kitu - wengine mpaka kuloweka miguu kwenye beseni la maji ya baridi wasipate usingizi ili wasome - matokeo yakija four ya 28.

Hongera binti na kwa sababu alisema anapenda kusoma kombi yetu na PCM basi huyu tayari ni FUNDI - i guess atachukua Computer Engineering akiingia mlimani Sababu application yake inahitajika sana hasa kwa nchi yetu ambayo inatumia just 5% tu ya ICT.

Hata mi ningetamani uwe last born katika familia yetu.
 
hahaaa kwani darasa la saba kuna GPA hata hivyo!!!??

From today onward no wasting my precious time .....sawa? unatoka nje ya mada, toa hongera kwa Immaculata na ushauri. Majina pia kwa watoto yana maana sana wewe unamwita Mtoto wako Matatizo Fidel, unategemea nini mtoto akikuwa?

Kama hujui maana ya Immaculate ni

1. Impeccably clean; spotless.

2. Free from stain or blemish; pure.
3. Free from fault or error
4. Having no markings

Go go go my daughter!!! ....you have an immaculate records.
 
From today onward no wasting my precious time .....sawa? unatoka nje ya mada, toa hongera kwa Immaculata na ushauri. Majina pia kwa watoto yana maana sana wewe unamwita Mtoto wako Matatizo Fidel, unategemea nini mtoto akikuwa?

Kama hujui maana ya Immaculate ni 1. Impeccably clean; spotless.

2. Free from stain or blemish; pure.
3. Free from fault or error
4. Having no markings

Go go go my daughter!!! ....you have an immaculate records.

au unamwita mtoto MATATIZO!!!

anyway nishampa binti hongera sana mie pia natamani angekuwa mdogo wangu!!! eti sura ya mbuzi ....who says

binti ni mrembo tu hapo hakajajua kujikwatua.......

Immaculate anafanya mambo kwa wakati!!! huu sio wakati wake wa kuanza kujipodoapoda ngoja amalize kukamua kwanza!!!!!!!!!
 
Hahahaha unamwita mtoto Bakuli, DICK ama Hamnazo unategemea nini?
 
Hahahaha unamwita mtoto Bakuli, ama Hamnazo unategemea nini?

hahaaa!! Kitunguu, Sikujua, Sikudhani, Shida, Kigulu na njia.............wazazi wangekuwa na kesi ya kujibu kwa kweli!!!! sio haki utampaje mtoto such names??
 
Just kuuliza tanzania tumepata watu wengi kama Imaculate, its okay but woote hao wametusaidia nini? Wenzetu haswa Wamarkani wanatafuta hivi vipaji, wengi sana nawafahamu wapo huko, otherwise wanaishia ktk frustration za maisha, amekuwa kipanga all that long akija mtaani hapati hela, wapo wale waliopata zero ndo wanadrive maisha yake na wanadictate yaweje, ni vipanga wachache tz wenye maisha wanayoridhika nayo kutokana na jitihada wanazofanya au walizofanya, by the way hongera Immaculate!!
 
Binti Kinara 'form 4' afichua siri
attachment.php

Mosha ni mtoto wa mwisho katika familia ya Profesa Resto Mosha wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) mkoani Morogoro na mama Agatha Mosha Mhasibu wa NSSF mkoni humo.
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu...
Karithi kutoka kwa baba yake!
Hongera dada...
 
Mtoto wa namna hii niko tayari kujinyima kila kitu nimtimizie ndoto yake.....! hongereni wazazi pia
Watoto wote wanaweza kuwa kama huyu binti ila inatakiwa sacrifice,dedication,love,understanding etc etc tangu anazaliwa na kukua.
HONGERA SANA WAZAZI WA BINTI
 
Maji hufata mkondo! Baba ni full Professor wa Pharmacology and Toxicology na mama Mhasibu tena mwenye CPA unategemea nini kwa watoto wao! Exception huwa zipo Mtoto kwa outliers.....hongera tena binti

Kuna Familia moja baba ni Dokta mama ni mama wa nyumbani hajasoma hadi std 7 only ....wakabahatika kupata watoto 4 wote wanaume.....watoto 3 wamefuata nyao za baba (dokta) mmoja yeye kaingia kwenye anga za upaparazi!.....
 
I love this comment...umenianzishia Jumatatu vizuri! Mimi kigezo ni GPA kama demu hana zaidi ya 4 na kwenda juu wala siwezi mdate, asije nipakazia mimba tukazaa kilaza. Mzenj wangu anafirst class teh teh teh eteh

mmmmnh!!!!!! ati GPA yaani do you ask to be shown the transcripts ama????
 
mmmmnh!!!!!! ati GPA yaani do you ask to be shown the transcripts ama????

Hahahahaha usiumize kichwa chako na Masa LOL!....Yeye anaangalia GPA lakini siyo personality hajui kama kupata 4.0 GPA ni very easy!.....Kuna watu wana capacity kubwa na kukrem just to earn that 4.0....
 
shostito upo
 
Back
Top Bottom