Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

Jitahidi shem siku moja na wewe mtoto wako atakuja kuwa kama Immaculate!.....just pray for her/his health na mpe muongozo mzuri.....usife moyo!...everything is possible..
 
My fiancee ana first class najua watoto watakuwa vipanga!
 
hivi nini maana ya kipanga?...siyo maana yake zero?...hahaha mazazi unaweza kuwa smart lakini not necessarily na watoto wawe smart kama mzazi wake...na kuna aina 2 za smart kuna smart wa darasani na smart wa mtaani......
 
i1715_IMG0061.jpg

Courtesy: http://haki-hakingowi.blogspot.com/

Hongera Immaculate. Cha maana ni kuendeleza uzi huo huo, upasue form 6, na chuo.

i got screen saver
 
hivi nini maana ya kipanga?...siyo maana yake zero?...hahaha mazazi unaweza kuwa smart lakini not necessarily na watoto wawe smart kama mzazi wake...na kuna aina 2 za smart kuna smart wa darasani na smart wa mtaani......

Soma thread yote hii shem, intelligence is heritable.....binafsi sitaki mtoto aliye kipanga wa mtaani!
 
sidhani kama kuna mtu anayetaka mtoto wake awe kipanga....maana ukiangalia zamani zile kila mzazi alikuwa ana claim kuwa alikuwa anakuwa wa kwanza darasani....sasa sijui mzazi gani alikuwa anakuwa wa mwisho?
 
HAhahahah haya bana na mimi nitaambia vijukuu vyangu enzi zangu nilikuwa situmii hata scientific calculator was very smart than old computers! teh teh teh teh
 
hahahaha uwiii shem this is funny! so wewe kichwa ulikuwa maana ulikuwa una deal na vidole tuu....unakumbuka wazazi walikuwa wanasema wanaweka miguu kwenye maji ili wasisale waweze kukaa macho wanasoma...i tried to do that lakini wala it didnt work sijui ni science ya wapi ile?hahahahah
 
hahaha why shem?ya mtaani una make money pia....au ulidhani vingine?....

ila real talk shem i need to be like you when i grow up....

U will get lost, mwenzio I am working hard to be fired......nataka nikalime kuitikia wito wa raisi wako Kilimo kwanza
 
duh never heard that kuwa mtu ana work on to get fired....Kilimo cha nini?...siyo kila kilimo kina maendeleo...once upon a time nilikuwa na shamba la mahindi pale kibena lakini sikuwa napata faida yoyote zaidi hasara tuu i end up kubadilisha na kulima chai....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom