Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

kivipi? kwa nini isiwe udsm?au cbe?

hahahahaha!..you made me roll on the floor laughing!.....but you are right! kwa nini isiwe vyuo vya hapo hapo tanzania.

The same thing huwa najiuliza kwa nini wazazi wengi these days wanapeleka watoto wao wakasome Uganda,kenya au south africa????......manake kama ni kwa sababu ya kujua lugha they so wrong wengi wanaosoma huko wakirudi hakuna kitu kichwani ni bureee!...
 
Na wengi utakuta wanasoma kwenye vyuo vya grade za chini kuliko hata vyuo vya nyumbani,sema akirudi sisi hapa tunamuogopa tunajua ananondo kichwani kume no difference with our local universities
 
kivipi? kwa nini isiwe udsm?au cbe?

Sasa mtu mwenye average ya A+ awe na aspiration ya kusoma CBE ili iweje? Huyu mtoto akienda Harvard University au chuo chochote Top 10 duniani atanufaika zaidi kuliko akisoma vyuo vya Tanzania. Am sore, lakini ndio ukweli uliopo.
 
sitaki kukuudhi but akisoma vyuo vyetu nadhani sio mbaya
 
nanmpongeza binti sana maana wanasema mmea imara husawi kwenye udongo na maji murua
lakini ninaamini kwamba kuna watoto wengi sana ambao wangeweza kufika alipofika huyo binti iwapo wangekua Marian school

tuwafikirie pia wa kantalamba, kondoa girls, ashira, shemsanga, rugambwa kama kweli walipata vitabu vya kiada, walimu na maadnalizi ya kutosha let alone walimu na chakula bora

sisemi vibaya ila miaka yetu pia walikua wengi sana hao lakini badae wakawa wa kawaid

nawapongeza wazazi na walimu wake lakini binti atambue safari ndio kwanza inaanza, O level ya sasa ni primary ya miaka 15 tu nyuma

BTW; hivi sasa wanalinganishaje michepuo ya sayansi na art? naona kama wanatakiwa wawe washindi tofauti??
 
Mkuu nimekubali huo mchanganuo wako.Kiukweli binti ni kichwa lakini mazingira na shule vimeplay role kubwa sana.
 
Ni kweli, si ana kipaji, kwahiyo kokote pale ninaamini nyota itawaka.
'

Katima...siyo kwa sababu amefaulu vizuri tanzania basi atachukulia na Havard....hizo pass mark za tanzania sisi tunamuona yupo juu wakati Havard watamuona bado yupo nyuma sana.....so ni afadhali tumfikiri akwenye shule za hapo hapo nyumbani kuliko kuanza kumfikiria shule kama Havard.....

Najua kuna watu walikuwa wanafanya vizuri sana back then na wengine wapo hapa hapa JF (vichwa mpaka leo hii)...lakini hawakufuika huko Havard na licha ya scholarship walizokuwa anzo kuja kusoma State.....
 
Akiendelea na uzi huo huo atafika kokote tu. The sky is the limit
 
Safi san hata mimi nilipata point saba O'level...jamani makofi kwa koba papapa pa papa pa paaaaaa!
 
Alafu naambiwa mabinti wenye sura za mbuzi ndo huwa wanafauru sana au ndo vichwa darasani.

Sijui..,lakini labda inaweza kuwa kweli maana hata ukienda UDSM utawakuta wengi kweli pale CoET (formely Faculty of Engineering), they are very serious na wana akili sana nadhani labda kwa kuwa hawa hawana muda wa kuhangaikia urembo zaidi ya usafi wao wa kawaida..,lakini pia kwa upande mwingine it depends on nurture rather than nature.,hongera Immakulata hakika wewe utawa-inspire mabinti wengine wengi kuweza kufanya vizuri kama wewe.
 
Hongera sana binti eeeeh! Angalia mafataki ndiyo audi yako mkuu na namba moja. Kazana sana kusoma na kumuomba Mungu akusaidie ufike mbali.
 
Maji hufata mkondo! Baba ni full Professor wa Pharmacology and Toxicology na mama Mhasibu tena mwenye CPA unategemea nini kwa watoto wao! Exception huwa zipo Mtoto kwa outliers.....hongera tena binti
 
kweli umetamani angekuwa binti yako!!!!!
 
Back
Top Bottom