Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Waislam pamoja na allah wao wameonyesha kuwa wao si wastaarab kabisa. Allah wao amekuwa mstari wa mbele kulazimisha watu wamswalie tena kwa bakora kule kweye mad-rassa.
Mwenye akili timamu anajuwa kuwa KIBAYA CHAJITEMEBEZA tena kwa kupiga swalaaa alfajir, lakini KIZURI CHAJIUZA CHENYEWE, bila ya kulazimishana.
........... zile SEBENE za PROMOTION kama kampuni za SIMU za kina Mwaitege, Flora Mbasha na Rose Mhando ....... sijui Chidumule na kina nanihii ! unazionaje !? YESU anafanyiwa MATAMASHA na UZINDUZI !