Nataka kuwashtaki waislam!!

Inna lilah...

wainailah,rajiuun!huwa nasoma thread nying hapa,lakin inaonesha baadh ya wadau wa jf hawapend kuheshm iman za watu,huwa wanatoa maneno ya kebeh,dhihaka,kejeli na masikhara tele.

ifike hatua 2heshimiane kiimani,kwenye masuala ya ibada huwez kuwakataza watu wasitumie vpaza saut,kutokana na maendleo ya sayansi na teknolojia kipaza sauti ndio nyenzo ya kuitia waumini,kwa waislam na wakristo.
CHOKOCHOKO HZI 2ZIACHE,
 
acha ujima wewe, zama hizi kila chombo tukitumiacho nyumbani kina alarm: tv, saa, simu, computer- wewe una ngangania lazima uamushe hata wasiohusika?!, huu ni ubabe, hata makanisa haifai kutumia makengere makubwa kupigia kelele hata wasiohusika, huu ni ufalisayo. Yaani unataka watu wakuone au wakusikie kuwa unafanya ibada?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom