VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Yapi yanakubalika na yapi hayakubaliki? kelele ni kelele tu... mi nikitaka kuuchapa usingizi wangu sina haki kweli ya kufanya hivyo...Kuna mambo yanakubalika kuna mambo hayakubaliki.
Yapi yanakubalika na yapi hayakubaliki? kelele ni kelele tu... mi nikitaka kuuchapa usingizi wangu sina haki kweli ya kufanya hivyo...Kuna mambo yanakubalika kuna mambo hayakubaliki.
Waswis walishindwa waislamu less than percent itakuwa hapa mkuu, nakuhakikishia hilo huwezi mpaka kiama
Hizo njia mkipata na mimi zitanisaidia kuna ma-bar na majirani wengine hawana ustaarabu kelele from dusk till dawn.... sijui kwanini wasitengeneze vyumba soundproof....
Hawa jamaa si wasikivu ukijaribu kuwaambia utasikia kelele zao tena watataka wewe ndiye uhame hapo. Shauri yako. Go ahead, nenda mahakamani huko ndiko utamalizia mzizi wa fitina.Jaribu kusema nao one to one. Wasiposikia tafuta wakili mzuri, lazima zipo njia za kufungulia mashtaka
Kikubwa tuwe wastaarabu.. kama unajua shughuli unazofanya zina kelele na upo karibu na watu tengeneza sound proof... sio wote wanataka au wanapenda kusikia unachokifanya.kikubwa tuvumiliane ili kuishi pamoja tena kwa amani na upendo maana leo ukichukia kelele za kipaza sauti cha nyumba ya ibada kikitolewa utalalamikia tena sauti ya redio ya mpangaji wako au jirani yako.
Ally, Mimi kuna kanisa hapa jirani la waroma kengere zao asubuhi jpili zinanitibua ile mbaya.... natamani kesi mojawapo kati ya hizi zifanikiwe na wengine tupate reference mahakamani............ hiyo njia ukiipata na mie itanisaidia ! kuna Kanisa jirani yangu linaitwa "wapo" kila IJUMAA kuanzia saa nne usiku linamwagwa SEBENE mpaka asubuhi, ukizingatia KANISA lenyewe wameezeka mabati tu juu ili wasinyeshewe na mvua ! pia alipoona mgao waDOWANS unamzingua kafunga kinu kikubwa kweli cha kufua umeme, ili aliendeleze libeneke! Bora wewe unaamshwa, sie hatulali kabisaaaaa !!!!!:crying:
Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa sauti kubwa kwa kipaza sauti, ambayo huwa inanisababishia usumbufu mkubwa nikiwa nimelala kiasi kwamba nimeanza kufikiria kuuza kibanda changu ili kuepuka huu usumbufu, kabla sijakimbia nataka nijue kama naweza kushtaki mahakamani ili waache kufanya hivyo. Je naweza kuwashtaki? niya yangu si fidia nataka court injunction wasiendelee na huo utaratibu.
Kikubwa tuwe wastaarabu.. kama unajua shughuli unazofanya zina kelele na upo karibu na watu tengeneza sound proof... sio wote wanataka au wanapenda kusikia unachokifanya.
kikubwa tuvumiliane ili kuishi pamoja tena kwa amani na upendo maana leo ukichukia kelele za kipaza sauti cha nyumba ya ibada kikitolewa..
Twende na wakati hio ni miaka ile watu hawana saa wala alarm clocks sasa sababu zipo tusiwasumbue wengine wanaopenda utulivu na usingizi waokumbuka adhana ndio inakumbusha waislamu kwenda kusali na kwa upande wangu ile kengere ndio hua ina ni alati kwenda kanisani kusali hivyo basi ukiweka sound proof utaharibu dhana nzima.
Msikiti nyumba ya pili hujui vya kukutana nao? Huna rafiki jirani hapo ambae ni Muislam akakusaidia kukukutanisha nao basi?
Kesho kuna mwingine atalalamikia kelele za kengele za kanisani za ibada ya asubuhi.
Hapana hiyo inaitwa kuingilia haki ya kuabudu usiibring hapa plz Shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Namimi nayatafutia ufumbuzi yale makengele ya kanisani yanayopigwa asubuhi na jioni na wale wakristo wanaosimama kwenye vituo vya mabasi na kupigia watu kelele.Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa sauti kubwa kwa kipaza sauti, ambayo huwa inanisababishia usumbufu mkubwa nikiwa nimelala kiasi kwamba nimeanza kufikiria kuuza kibanda changu ili kuepuka huu usumbufu, kabla sijakimbia nataka nijue kama naweza kushtaki mahakamani ili waache kufanya hivyo. Je naweza kuwashtaki? niya yangu si fidia nataka court injunction wasiendelee na huo utaratibu.
step 1: tafuta suluhu kistaarabu. ikishindikana nenda step 2
step 2: peleka malalamiko rasmi serikalini (ngazi yoyote). ikishindikana nenda step 3
step 3: tafuta msaada wa kisheria. ikishindikana nenda step 4
step 4: nunua kipaza sauti chenye sauti kali kuliko cha huyo unayemlalamikia. akiwasha chake, unawasha chako.
am sure step 4 itachochea uwezekano wa step 1 au/na step 2 kufanya kazi.
give it a shot!!
Acha kuhukumu watu ndugu..ngojea ukifa halafu ukichmwa moto, utawafungulia mashtaka