- Thread starter
- #41
mimi sifanyi biashara,Weka picha biashara Matangazo
mimi sifanyi biashara,Weka picha biashara Matangazo
nashukuru kwa ushaurikila la heri but kuwa makini
Hunishindi mie. Huwa najaribu kufikiria shida ni nini hasa? Kama tunakosea hata pale unapochagua kwa kuona na macho je kwa njia hii? Huenda nimezeeka sana! Inabidi tu kukubaliana na mabadiliko katika maisha na maendeleo kwa ujumla.
asante piper naamini kwa msaada wa mungu pia hakuna linaloshindikanaCongrats mdada naamini utafanikiwa
Kuwa tayari kukubali mabadiliko, kwa kuwa huna ubavu wa kuyazuia.
Nimegundua (kutokana na thread zinazokuja humu) ya kwamba wanaume wenye miaka 30+ ndio wanaotafutwa na wasichana kwa lengo la kuanza maisha. Acha mimi nipige harakati na mishemishe ya hela. Ee Mungu nisaidie.
Mawasiliano gani mkuu zaidi ya PM?Kama wewe uko serious weka mawasiliana yako hapa sasaivi ili tu pm au nikupe yangu jibu
sina kikomo cha umri ubungo!Mdala weka range 32 mpaka ....?
yaa mparee 2 nakuunga mkono kwa 100% mapenzi hayna fomula kabisa mnaweza kukutana kanisana na bado ndoa ikawa ndoanoo, nashukuru sana kwa ushauri wako.Mimi naona hakuna formula ya kupata mchumba; njia yoyote utakayo itumia as long as inaweza kukupatia mume mwema...naona ni sahihi. Wengine hupata wachumba mashuleni, kwenye mabasi wakisafiri, kwenye sherehe, makanisani/misikitini na hata kwenye vilio; hivyo uko sahihi kabisa kutoa ombi lako. Nimefurahishwa na kigezo chako cha umri kwani kitakupunguzia wasumbufu (serengeti bys)
Nakushauri tu usiweke namba ya sim hapa watakusumbua bureee. ukipenda fungua email mpya uiweke kwa ajili ya kupoa mawasiliano tuuuuu.
Nakutakia mafanikio mema mdogo wangu na nipo tayari kukushauri..ukihitaji msaada wangu
asante piper naamini kwa msaada wa mungu pia hakuna linaloshindikana