Natafuta mchumba awe anaishi Dar

Huwa nashangaa mtu kutafuta mke au mchumba mitandaoni nachojiuliza kuanzia kazini, mtaani,barabarani au hata sehemu za starehe kama ni muhudhuriaji wenza wanakosekana, au kuna kitu hakipo sawa?
Hawa wengi wao wanachangamsha jukwaa, wanatafuta watu wa kuchit chat
Faida mojawapo ya kuanzisha uzi ni unapata watu wa kuchat nao muda huo

Acha tuchit chat nae upweke umtoke
 
Huwa nashangaa mtu kutafuta mke au mchumba mitandaoni nachojiuliza kuanzia kazini, mtaani,barabarani au hata sehemu za starehe kama ni muhudhuriaji wenza wanakosekana, au kuna kitu hakipo sawa?
Yaaah ni possible hayo yote unayo waza mtaani kuna mengi..
Kuna watu hata kusimamisha mdada ni ngumu...

Na huko kwa starehe bado hatuwezi pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom